Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

NIMEZAMA* 11๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

9th Aug, 2025 Views 3



Mama lulu alibaki anashangaa kutuona pale......mbona mko hapa? Nini shida ....Robby aliamka mapajani kwangu na kumjibu aaah mama nilimuomba dogo anilete hapa sebuleni nipate hewa kidogo ila ndo kama hivi tukapatiwa usingizi......ooh jmn Robby unamtesa mtoto unataka akukimbie mapema hivi .....hapana mama huyu ni mbabe wangu ashanizoea hawezi kwenda popote bila ruhusa yangu..........sawa nyinyi siwaingiliii....mama lulu alisema.......daaah kidogo nikapata ahueni maana nilijua mama lulu atafoka na kunitimua kabisa.....

sasa mkajiandae kwajili ya kanisani .......mara Mwaj alifika na kuanza maandalizi ya chai na kusafisha nyumba.....nilimchukua Robby wangu ....aa ngoja kwanza ni Robby tu jmn siyo Robby wangu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.......nikampeleka chumbani kwake nikamsaidia kuvua nguo. ...sasa hivi boksa zake zooote nazijua yaan hunipotezi kwa rangi wala harufu hahahaha.......nikamvalisha taulo huyooo nikampeleka bafuni......aaah nilikuwa sijaandaa nguo yangu ya kanisani nikaenda chumbani kwangu Fasta nikachukua lisket langu la shule lilikuwa na mpasuo na mshati wa bazeeee..mnaikumbuka bazee nyie?? hapo ni bluu na kijani yaan sket bluu shati kijani sikilizia hiyo kachumbari ya kimataifa hahahaha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
halafu viatu sasa... nilikuwa na hizo skuna fulani hivi ambazo mamdogo alininunuiaga kwenye mafungu yaani tatu mia tano ๐Ÿคฃ...yaan viatu ni havifanani alafu vinapangwa kwenye mafungu kama vitunguu vitatu miatano hahahaha.....hivyo viatu nilikuwa nikivaa shuleni nikichelewa kuingia darasani wanafunzi wanajua mwalimu huyo anakuja kumbe ni sikitu maana vilikuwa vinalia kokokokokoko.... skonkoko hahahaha๐Ÿคฃ......

bas nikarudi chumbani kwa Robby nikachukua pasi Fasta nikanyosha na yale maviatu nikafutafuta nikakaa kumsubiri Robby amalize kuoga ili nimuandae na mm nikajiandae ......aliniita ......mamy am done ( mama nimemaliza) .....bas kama kawaida huyooo na kitambaa changu machoni nikaenda kumtoa nikampaka mafuta na kumpa nguo alizoomba nimchagulie akavaa akapendeza balaa......

Kaka robby ngoja na mm nikaoge nijiandae.....huyo nikabeba nguo nataka kutoka ....wewe ukaoge wapi akat bafu hili hapa....๐Ÿ˜ณ Kaka huku ni bafuni kwako ......ndio kaoge hukohuko nakusubr hapa......bas kinyoonge nikawa naelekea bafuni kuoga .......weeee mbona huvui nguo unaenda kuoga na gauni๐Ÿคฃ.....nitavulia hukuhuku kaka .....hapana njoo hapa ....Robby aliniita kibabe kidogo ......mamamama......haya chukua taulo hapo kwenye kabati nikachukua bas nikaanza kuvua nguo .....
kaka ziba macho basi mimi naogopa..... sawa.....robby akaziba mkono mmoja usoni kwake hahaha ujinga mwingi sana.....nikavua lile gauni Fasta nikabaki na kapichu... nilikua sijavaa blezia maana vimatiti vyangu vidooogo vimesimama ๐Ÿ˜‡.....

nikavaa taulo chap kuja kutupa jicho robby kaziba uso jicho moja limekodoka kwangu na vidole pale usoni kavitawanya yan ameshanichungulia muuuda ......niliona aibu nikakimbilia chooni. .....alibaki amezubaa kuduwaaa๐Ÿง......nilioga chap nikamaliza nikarudi kuchukua manguo yangu nikavalie chooni ๐Ÿคฃ.....Robby hakuongea kitu alikuwa akinitazama tu huku kaachia mdomo wazi.... ...bas nikavaa manguo yangu nikatoka chooni yan nilikua naonekana kama kada wa sisiemu kwa rangi zile za nguo alafu imagine nguo zenyewe zimepauka balaa๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ ......kaka nipo tayari ....tunaweza kwenda sebuleni ukanywe chai ......ooh sawa ......naomba nikuagize...Robby alinambia....... Nenda kafungue kabati utakuta ufunguo mdogo ufungue kidroo kile pale chini utakachokikuta humo chukua ulete hapa ........nikaenda nikachukua ufunguo nikafungua drooo ......nikakutana na mifuko miwili nikaichukua nikapeleka kwa Robby......weka hapo kitandani ........nikaweka...

haya fungua utakachokikuta chukua nichakwako......nikafungua jmn uwiiii.....nikakutana na gauni la maroon na mkanda mweusi classic Sana ...pamoja na mfuko mdogo ulikuwa na kiboksi ndani....nikafungua kiboksi
Kulikuwa na viatu vizuri jmn vya juu juu vyeusi ...haya kavae huko chooni unakopenda ......hahaha nikaenda toilet nikavaa kigauni kikanichora vitako na vi hipsi vingii๐Ÿ˜‹ mnajua eee.....bas vile viatu nikashindwa kutembelea nikarudi nmevishika mkononi......Robby kuniona tu ......waaaao waaao waaaao mtoto wewe umependeza balaaaa balaa yani.......em ngoja tukirudi kanisani kuna kitu nitakwambia ambacho hujawahi kuambiwa tangu uzaliwe.....naomba hivyo viatu ujitahidi kuvaa kwaajili yangu upendeze zaidi......sawa mamy mamy ....sawa kaka asante sana.... robby aliongea...sawa kaka tajitahidi ....bas nikavaa vile viatu huyooo nikamtoa robby sebuleni tukapata chai pamoja na mama lulu na Mwaj haaao kanisani....lkn Mwaj akabaki nyumbani yeye hakuwa msabato.....

mama lulu aliendesha gari mpaka kanisani ....Lkn muda wote njiani Robby alikuwa akiniangalia bila kunimaliza daaah๐Ÿ™Œ sema kipenda roho hulaaa? Hula nini eti wamama? nimesahau hapo malizieni hahahaha........tulifika kanisani tukashuka kwenye gari mama lulu akawahi kwenye mafundisho yao nikabaki na robby.......

jana ulinitoroka nikakaa pekeangu ......sasa leo naomba hata kwa bunduki usitoke karibu yangu please sikitu ...furaha yangu ni ww kuwa kando yangu...popote nikiwepo naomba uwepo sawa mama....sawa baba....hee nikajikuta naropoka baba ...sawa kaka Robby tuko pamoja .....

niliona aibu bas iko ki Robby kikatabasam kina fizi nyeusi vimeno vyeupeeeeee peeeee.......huyu mama lulu atakua alizaa na mwarabu maana Robby jmn niliwaambia yukoje ...yukoje ?..nmesahau ee?
Yaani ni lile super white handsome languvu halafu lina garden love kifuani uwiiii nakojoaaaaa ๐Ÿคฃ......

nikamuendesha robby mpaka ndani na mm nikachukua kiti nikakaa karibu yake.....mara nikaguswa begani.....heee maua huyu hapa mamaa๐Ÿ˜ณ nikakodoa......naomba unipishe hapo nikae na mchumba angu.....maua aliniambia kwa sauti ya chini akiwa kainama sikion kwangu......sikitu usitoke hapa kama tulivyokubaliana nje ......toka sikitu takuwasha makofi humuhumu kanisani kama husikii wakubwa ......maua akaongea kwa ukali ....kheeee๐Ÿ˜ณ

macho yakanikodoka nifanyeje nikiwashwa makofi na huyu maua nani atakusaidia? wakati Robby Wang hata kusimama hawezi .....mai weeee

ITAENDELEA

FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIMEZAMA* 11๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹  >>> https://gonga94.com/semajambo/nimezama-11
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest