Basi bwana boda akanirudisha mpaka nyumbani .....nikifika nikamkuta mama lulu kakaa na Robby pale nje wanapunga upepo nikaenda pale alipokuwa mama lulu ....nikapiga goti mama mzigo huu hapa....kwa sisi tuliotokea bush kupiga goti wakati mkubwa amekaa ni kitu cha kawaida ....mmmh huyu mtoto ana heshima jamani sijawahi kuona....mama lulu akaongea ....daaah nikaona aibu๐....huyu anafaa kabisa kuwa mke wa fulani huyu.....robby aliongea huku akiwa ananikazia macho....akanikonyeza ๐คฃ bas nikaangalia chini.......mmh huyu hana aibu hata kwa mama yake......nikawaza....wakat huo mama lulu alikuwa akimnyoosha robby miguu.....
huo mzigo ni kwaajili yako mwanangu .....mama lulu alinambia .....wa kwangu mama?.....nilimuuliza kwa kushangaa...ndiyo nenda ndani ukaangalie kila kilichopo humo ni chakwako.....asante sana mama Ubarikiwe na Mungu.....amina mwanangu aliitikia....nilinyanyuka na kuondoka kuelekea ndani.....wote waliniangalia kisha wakaongea kitu ambacho sikukisikia wakacheka......
basi nikaenda chumbani kwangu huku nikiwa na hamu ya kujua ninini kimo ndani....chap Kwa haraka nikafungua ule mfuko.......waaao jmn kulikuwa na nguo nzuri pamoja na viatu halafu chini ya kile kifuko nikakutana na kipochi kidogo nikakifungua nikakuta kimemo kimeandikwa " from your love Robby" ( kutoka kwa mpenzi wako Robby) I Love you to the moonโบ๏ธ daaaaaah acheni tu
Jmn sikuamin macho yangu kumbe ule mzigo uliandaliwa na Robby kwaajili yangu ๐.... Nilifurahi nikaskia raha ya ajabu .....nikaanza kujaribu zile nguo yaan mulemule zilinikaa ile mbaya utadhani nilipimwa ....nikiwa katika kujaribu mara mlango wa chumbani kwangu ukagongwa........nikaenda kufungua alikuwa mama lulu ...kaka yako anaomba ukampasie nguo anataka aende mahali...sawa mama.....
nilitoka na Kwenda chumbani kwa Robby .....nikagonga mlango......ingia. ....alijibu nilimkuta amekaa ....nguo ipi utapendelea nikuandalie kaka Robby.......nilimuuliza.......aliniangalia hakunijibu kitu..........naomba hiyo namba uliyopewa kule dukani na yule jamaa....khe ๐ณ๐ณ amejuaje huyu ....hapohapo uoga ukaniingia mmmh asijekuwa mchawi huyu kaka ๐คฃ๐คฃ.......unathubutu kuchukua namba mitaani mama?....unasimu?.....haya mpigie tumsikie anasemaje ....unataka ukampe nini yule kijana? Kwahyo mimi umeniona mzembe siwezi kukupa kitu ambacho kitakuachia alama maishani eeeee.....robby alilalamika ...sikujibu kitu nilibaki nimeinama Sina cha kusema๐ฅ.....kafunge mlango na funguo uzilete hapa kwangu....alinambia.......nilienda kufunga mlango wa chumbani kwake kisha nikampa ufunguo....... haya twende tukaoge .....
... ..alinambia..... uwiiiii leo sichomoki nimelikoroga leo lazima nilinywe......hapa lazima damu imwagike ....afe kipa afe beki mechi lazima ipigwe na mabao yafungwe hahaha๐คฃ๐คฃ......yalikuwa ni mawazo kichwani kwangu baada tu ya kuambiwa twende tukaoge.......sikuwa na ubishi maana nilijua fika nimemkose robby .... nikamchukua mpaka bafuni nikamuingiza kwenye lile beseni kisha nikajaza maji .....haya njoo humu .......akanambia๐ณ hapo kaingia humo na kiboksa tu ๐คฃ......vua nguo njooo....saa nifanyeje ๐คฃ...ungekuwa wewe ungekataa kweli na tayari ulishafanya kosa la kuchukua namba kwa mwanaume.....
bas kiunyonge nikavua nikazama kwenye beseni akanikumbatia humohumo .......umeniumiza sana mama .....unataka nirudie maumivu ya zamani .....sitaki kuumia zaidi ....nakupenda wewe mtoto nina wivu mkuu juu yako mama. why huelewi Nina hasira nitakuumiza leo aaaaaaaaah.........aliongea kwa machungu kisha akanikandamiza kifuani kwake ......uwii jmn hasira za robby zinaishiaga kifuani kwake anakukumbatia kwa nguvu mpaka unahisi mioyo inagusana hahahaha.......
bas akafunba macho pale......sasa leo hauchomoki ulie, utubu ,upige yowe hautatoka salama hapa ndani .... tuoge kwanza mengine kitandani ......akaongea
ITAENDELEA
*NIMEZAMA* 18๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Tulioga jamani Robby alinisugua mwilini yaan ushawahi kuogeshwa na mtu ana hasira alafu anakupiga mabusu Yale ya hasira ? hahahahaha....ndo ilikua hivo ....tulimaliza kuoga tukatoka pale bafuni ...hapo kichwani nishajua Leo nimekwisha๐ .....
Robby alichukua simu yake na kumpigia mama Lulu......haloo mama yeyote atakaekuja kuniulizia mwambie sipo napumzika siko poa kabisa......akakata simu ......akalalia tumbo pale kitandani.....nisaidie Mafuta ...akasema...nikampaka .....haya njoo na wewe nikupake....ikabidi Tu niende naanzaje kubisha sasa na nishafanya makosa..... Basi taratiiibu akanipaka Mafuta na kunifunika taulo.....kiufupi Robby ashaona many*ny* yangu na mwiili wooote ....maana mara nyingi alitaka nivae au nivue nguo nikiwa mbele yake ๐คฃ......
alipomaliza kunipaka mafuta akaniweka kifuani......haya nieleze kuanzia moja Hadi kumi kwanini unachukua namba za wanaume mitaani ? Aliongea huku akichezea nywele zangu.....hapana Kaka Robby.....hapohapo .....alinikatisha......tulikubaliana uniite Nani?......mu......mu....nikashindwakumalizia ..... Kaka Robby ni ngumu kwangu kutamka hilo jina maana halina uhalisia..... nilimwambia....
anhaaaaa kumbe unataka uhalisia sawa Leo nakupa uhalisia wenyewe ili ukamsimulie Yule muuza nguo pale dukani......aliongea Kwa hasira ......akanishika na kuanza maandalizi hahahahaha......hapa patamu sasa๐คฃ......aaf nyie mnauliza Robby mbona mgonjwa anawezaje.....khe Robby anaumwa miguu Tu hakuna kingine kinachomuuma..... Huku kwenye boxer kuna uzima uzima tena uzima wa ajabu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ......miguu na boxer wapi na wapi hahahaha......
Bas bwana akaniandaa vilivyo basi na Mimi pia ni binadamu nina hisia guani hamsini ๐.......
sitaki kusema nini kilitokea ....Ila nachoweza kuwaambia nikwamba pale kitandani palikuwa na shuka ya baby pink....ilibadilika na kua nyekundu ๐ Robby wewe๐ sawa rafk angu .......uliamua kweli siku ile Ila niliyataka mwenyewe sikulaumu Baba lkn nafurahi kumpata rafiki wa milele ...wewe hapo Robby wangu๐......
Nyie Robby akiona damu anachanganyikiwa.....basi alivomaliza mauaji yake ya hasira pale... akaanza kuniamsha akadhani nimekata Moto ๐ ..na kweli nilikuwa sina hali kabisa maana mmmmmmh ....sitaki kusema wakubwa mnajua .....Robby aliiangalia Ile shuka zaidi ya Dakika 20 ......akachukua simu yake akampigia Mwaj fasta.....niandalie maji ya Moto sasa hivi please......akakata simu.....
my love my love...please Amka mama.....basi nikaamka nimenuna balaaa hapo Nina maumivu Makali Atari..... kama kawaida akanivutia kwenye garden love akanibana hapo......mkewangu..... thamani yako kwangu NI zaidi ya Hummer yenye gharama sana duniani.........mmh maneno kuntu ๐......basi kitu pekee nitakupa ni upendo wa dhati usio na doa...... nisamehe nimekuumiza lakni naomba nikupe zawadi kubwa mno Kama hii uliyonipa Mimi......bas muda huo nimevimba Tu kifuani vidam vinachuruzika kidogo kidogo ๐คฃ.....bas Robby akagusa vile vidam kisha akasema asanteni kwa kuja๐คฃ.....ngoja nikaoge Robby nilimwambia .....sawa mama .....nikainuka pale nikachukua taulo jeupeeeeee nikazama bafuni......bas Mwaj akawa ameshaandaa maji akaja kugonga ......ingia yaweke hapo ...Robby alimjibu.......
hee Kaka Robby umeumia au nije nikusaidie๐คฃ....Mwaj si akaona Ile shuka .....hapana bwana kuna kitu nimemwaga usijali tasafisha......hapana Kaka nikusaidie....Mwaj akakazana anataka kutoa msaada ๐คฃ๐คฃ.... asante usijali atakuja sikitu kusafisha. ...ooh sawa Kaka akatoka nje......
nikatoka bafuni......naomba utoe hii shuka uikunje uiweke kwenye kabati....Robby aliongea....khe๐ณ๐ณ Robby ni uchafu huu inatakiwa kufuliwa...nilimjibu ....hapana usiifue hii ni kumbukumbu kubwa Sana kwangu ......hii shuka nitakuja kuwaonesha wajukuu zangu miaka mingi ijayo tafadhali nitunzie hiyo thamani .... aliongea Kwa hisia Robby wangu .....basi nikakunja kisha nikaliweka Kama alivotaka......
mama natamani nikukande ili upunguze maumivu lkn Hali yangu inanibana๐ฅ...alionyesha huzuni Sana ....usijali Kaka Robby naelewa pumzika Tu ....nikachukua Yale maji ya Moto nikaenda kujikanda chooni.....nilitoka nikamuandaa Robby akaoga kisha ule mtoko ukafata.....tulipendeza ilikuwa ni saa moja jioni tukaaga tukatoka out ......yaan nilikua natembea kama nimetoka kukeketwa๐คฃ๐คฃ
ITAENDELEA
19--20
*NIMEZAMA* 19๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Basi tulipanda gari tukatoka wawili Tu pamoja na dereva wetu.....kwanza kabisa tulienda Kwa daktari wa Robby akamfanyia checkup miguuni na kumwambia mwezi mmoja ujao atakuwa fresh kabisa na atatembea tena bila kile kigari .....Omg ....ilikuwa ni taarifa nzur Sana kwangu ......
nilifurahi sana kusikia ndani ya siku 30 tayari Robby atakuwa anatembea......bas tuliondoka na kuelekea eneo fulani tulivuu hapohapo Dodoma.... tulikaa sehemu ambayo ilikuwa imejificha kidogo palikuwa na zile taa zinazowakaga rangi tofauti tofauti.....aaah eneo lilivutia zaidi bas tukakaa hapo๐......Tulikaa muhudumu akaja tukaagiza chakula kikaletwa.....Robby alikua akiniangali Sana haamini macho yake hahahaha.....Sikitu nahitaji siku ambayo nitasimama tena unipeleke Kwa mama yako nikamsalimie na kumpa zawadi nzuuri Sana ya shukrani Kwa kukutunza na kukulea kwaajili yangu......nilishindwa hata kujibu nikaangalia chini ....akaniinua shingo yangu kisha akanipa kiss la mdomo ๐........
naomba ufumbe macho Nina zawadi kwaajili yako......hee nifumbe macho tena....mmmh niliwaz.....basi nikafumba........fumbua ...Robby akanambia.....nyie nyie nyie .....alikua ameshika kikopo kizuuuuri chenye umbo la apple......akafungua ndani kisha akatoa Pete๐......mama utake usitake Mimi nakuoa yaan hauna kipingamizi juu yangu nakuoa tena muda siyo mrefu.......hee mbona kibabe hivi ๐คฃ niliwaza.........bas akachukua kidole changu akanivisha Pete.....daaah sikuwahi kuvaa Pete kidoleni ndo ilikuwa mara ya Kwanza .....Ile Pete ilikuwa ya dhahabu original,๐........badae akatoa kaboksi kadooogo akafungua kisha akatoa simu kubwa samsung kama anayotumia yeye akatoa line akaiweka pale kwenye simu.......mama hii ni kwaajili ya mawasiliano ....lakin inatakiwa iwe na namba tatu Tu.....yangu ....mama Lulu na mama yako....hapo wengine hawana chakuongea na wewe ....daaah Robby anawivu nyie ๐คฃ....akanipa simu hapo nakodoa Tu macho wala sijawahi Tumia simu Tangia nizaliwe.....
asi Robby akanipa simu pale. Akanifudisha kutumia.....then tukala chakula tukamaliza tukaondoka......
tulipita Duka fulani hivi la nguo za ndani nikanunuliwa dazan 4 za pichu.....daaah nyie nilikuwa na vyupi mpaka vingine navisahau hahahaha......basi aliyekuwa anauza lile Duka alikua ni Yule dada alienichukuaga stendi akanipeleka Kwa kina Robby mnamkumbuka eee๐คฃ......alinipa ule mzigo wa pichi huku akiwa amenuna atari ....
kha huyu mbonร kanuna hivi ๐ง nilijiuliza.....sikitu umeoga sikuhizi naona mambo yako simabaya....yule dada aliongea....sikumjibu kitu......bas tupllivoondoka pale .....simu ya Robby ikaita namba ngeni...... Akapokea ....hee alikuwa ni Maua....
Robby kumbe ni kweli unatembea na huyo ma*la*ya.....sasa nitamuonesha kwamba Mimi siyo level zake .....unaniacha Mimi na elimu yangu unaenda kuchukua huyo mnuka jasho ..... Sawa ni wangu fanya chochote ....Robby alijibu Kwa kujiamini kisha akakata simu......nilipata wasiwasi na uoga Sana....lkn kifuani Kwa Robby palikuwa na utulivu wangu๐ akaniweka kifuani .......usijali mama huyu Hana cha kufanya ni mfa maji haishi kutapatapa......feel free relax enjoy maisha ukiwa mikononi mwangu .....sawa mama....sawa Robby nilimjibu......bas tulienda nyumbani tukalala pale chumbani kwake......
Kesho yake kulikucha nikafanya majukumu yangu kama kawaida.....ilikuwa ni siku ya juma Tatu....niliandaa chai kisha nikafanya usafi kidogo kumsaidia Mwaj....tulikaa jikoni kuanda chakula......sikitu Jana Kaka Robby sijui alijikata nilikuta kitandani kwake kuna damu na nilipomuomba nimsaidie kusafisha alikataa akasema utasafisha wewe .....Kwan alifanyaje...Mwaj aliniuliza.....mmh sikuwa na chakujibu....mi sijui maana hata kusafisha sikuenda kiufupi Jana sijakaa na Robby siku nzima ...nilimdanganya Mwaj ....mmmh sawa lkn lazma nimwambie mama Lulu kilichomkuta Robby....usikute anatatizo alaf sisi tunakaa kimya...Mwaj aliongea......Yule n mtu mzima haina haja ya kumwambia mama lulu maana Siyo mtoto Yule ....niliongea .....
Bas mara mama Lulu akaja ......Mwaj naomba uongozane na Joel ( mlinzi getini) mkamchukue Lulu yupo airpot amekuja Mimi sijiskii vzr siwezi kutoka......mama lulu aliongea......khe๐ณ Lulu amekuja kutoka Los Angeles jamani waaaao nilifurahi na nilikuwa na hamu kubwa Sana kumuona Lulu........bas Mwaj na Joel wakatoka kuelekea airport....
.sikitu naomba unisaidie kusafisha chumba cha Lulu maana hakijatumika miezi minne yote kitakua kichafu sana.....mama Lulu alinambia ....bas akanionesha kile chumba nikaanza kusafisha...
ITAENDELEA
FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.