Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH๐Ÿฅต๐Ÿ’˜13

9th Aug, 2025 Views 50


Baada ya Maria kuona Ile Hali alizidi kupata wasiwasi, Bryan aligundua hilo alinyoosha mkono wake na kunishika mkono wa Maria. Maria aligeuka kumuangalia akamuuliza
" Mbona sielewi Mambo yanavyoenda alafu wewe mbona upo hivyo.
" Kwani nipopoje?
" Sijazowea kukuona ukiwa hivyo....
" Umemzowea kuniona nikiwaje?
" Tuachane na hayo nenda kalale.
" Alafu nikienda wewe inakuwaje?
" Sijui nyie mlikuwa mnamaana gani unajua sielewi kabisa.
" Nini usichokielewa Maria?
" Wewe utaenda kwenye hema na Mimi notalala wapi?
" Mimi nitakuwa na wewe.
" Inamaana unataka tukalale wote kwenye hema?
" Kwani Kuna shida gani mbona ni kitu Cha kawaida. Maria alisimama
" Hapana hatuwezi kulale pamoja hatuna uhusiano wowote. Bryan alisimama wakawa wanaangaliana Maria akageuka Bryan alimsogelea akamkumbatia kwa nyuma na kumbusu maeneo ya shingoni. Ilikuwa ghafla Sana Maria alishituka akataka kujitoa lakini Bryan akimkumbatia kwa nguvu Maria akatulia . Bryan alisogeza mdomo wake karibia na sikio la Maria alafu akasema
" Maria Mimi sio mtu mbaya kwako na Wala siwezi kufanya kitu chochote kwa mwanamke ninaempenda. Nakupenda Sana Maria unajifanya niwe mgonjwa kwa kukufikiria naomba unifungulie moyo wako, unipokee kwa mikono miwili nikuonyeshe mapenzi . Sauti ya Bryan ilizidi kumsisimua alihisi mwili wake upo tofauti mpaka akajikuta amefumba macho kwa msisimko ambao hakuwahi kuupata na Bryan alikuwa bado kamkumbatia . Walikaa kwenye hiyo Hali kwa muda Maria alishituka na kuitoa mikono ya Bryan akataka kuondoka Bryan alimdaka mkono akamuuliza
" Maria unaenda wapi? Maria hakuweza kumjibu Wala kumuangalia alikuwa na aibu. Bryan hakutaka kulazimisha Mambo akamwambia.
" Ok unaweza kwenda kupumzika , nenda kwenye hema.
" Hapana nenda wewe.
" Mimi Nitalala hapa
" Wewe nenda kalale kwenye hema lako Mimi nitaki hapa kwasababu hayo mahema yenu hayanihusu . Bryan alimuangalia kwa makini ili kuona Kama anamaanisha anachoongea alafu akamjibu
" Sawa acha Mimi niende nikapumzike, lakini Kama utakuwa na shida yoyote usisite kuja kwenye hema langu. Maria hakujibu Bryan akaanza kuondoka
" Chukua kitu lako.
" Baki nalo litakusaidia kuzuia baridi. Maria aliendelea kusimama huku akiwa anamuangalia Bryan anavyoelekea sehemu lilipo hema.

Kabla Bryan hajaingia kwenye hema zilisikika sauti za fisi wakilia, Zile sauti zilimshitua Maria na kusikiliza Tena kwa makini. Na Bryan alikuwa amezisikia zile sauti akapunguza mwendo huku akiwa ametega sikia Kama atasikia Tena . Fisi wakilia kwa Mara nyingine Maria alikurupuka akamkimbilia Bryan na kumdandia mgongoni, ilibidi Bryan acheke.
" Ni Nini hicho kinacholia?
" Ni fisi. Maria alimshikilia vizuri Bryan huku akiwa anatetemeka.
" Naogopa usiniache peke yangu.
" Lakini hawapo karibu wapo nyuma ya ule mlima. Maria aliangaza macho kila Kona .
" Bryan tuondoke hii sehemu sio sahihi twende tukalale hata kwenye gari. Maria aliongea kwa uwoga Bryan akamgeukia na kumshika
Maria tulia unisikilize hapa hakuna tatizo lolote tuingie kwenye hema. Maria alikubali wakaingia kwenye hema Bryan akalifunga vizuri .
" Haya kaa Sasa. Maria alikaa kwenye godoro dogohuku akiwa kashikilia barabara mkono wa Bryan.
" Bado unaogopa? Bryan alimuuliza
" Siwezi kuwa na amani hao fisi wanaweza wakaja kubomoa hili hema alafu wakatutafuna. Bryan alimshika mashavu alafu akaongea kwa upole uliobeba upendo mkubwa ndani Yake.
"Kuwa na amani unapikiwa na Mimi hakuna kitu kibaya kitakachokupata , Yani Bora nidhulike Mimi kuliko kukuona wewe mwanamke ninae kupenda unapata tatizo lolote lile. Maria akajikuta anamshangaa Bryan kwa kile alichokuwa anaongea na Bryan alikuwa anamuangalia kwa mahaba makubwa. Maria aliageukia pembeni na kimnya kikatawala kwa muda mrefu Maria akapitiwa na usingizi akiwa kakaa Bryan alimuweka vizuri na kumlaza kichwa chake kwenye mapaja Yake Kisha akamfunika vizuri
KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH๐Ÿฅต๐Ÿ’˜13  >>> https://gonga94.com/semajambo/bamtu-mr-sasampa-utam-wangu-mwenyeweeee-aaaasssshh-13
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest