Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

NIMEZAMA๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹22.

9th Aug, 2025 Views 20



Niliogopa kumwambia Robby kuhusiana na Lulu ......Kaka Robby takuja usiku ngoja niende nikasaide kazi kidogo kule jikoni.... nilimwambia......hapana mama jikoni siyo jukumu lako kule kunamuhusu Mwaj na mama Lulu Tu ....wewe ni Mimi kwahyo relax hapa........daaaah๐Ÿค” nifanyeje.....bas nikakaa pale kifuani huku nikiwa sina Amani kabisa......ikafika saa tisa nikaskia naitwa huko nje๐Ÿคฃ.....

sikitu sikitu ukowapi sikitu.....alikuwa ni Lulu ......Robby akasikia naitwa.....yupo huku .....akaitikia๐Ÿคฃ......hapo Mimi mkojo unagonga pichu naogopa balaaa....yaan nlikua namuogopa Lulu kuliko hata boss wangu mama Lulu.......Yuko wapi huyo....akauliza Lulu......Robby akajibu Yuko huku chumbani kwangu....chumbani? Lulu akashangaa....bas akaja mpaka pale mlangoni akagonga....usiingie tuna maongezi private kidogo ....Robby akajibu........maongezi gani hayo Robby na huyo mtoto nilimkataza kuingia huko chumbani......Lulu akauliza.....maongezi kuhusu maisha yetu ya baadae Bana Kwan hutaki wifi wewe.......Robby akajibu.....whaaat? Lulu akashangaa......wifi yangu namjua hakuna mwingine ......badae boss we nenda akitoka atakuja .... Robby akamwambia Lulu .....Lulu hakujibu kitu akaondoka pale mlangoni........

Robby tapigwa leo Lazima nipigwe na Lulu......nikaanza kulia๐Ÿ˜ญ......akupige Kwa lipi....yeye ni Nani hapa ndani....yaan akupige ndani ya nyumba yangu....wewe ulisikia wapi ........Kwanza umemkosea nn.....hawez kuleta Sheria zake ndani kwangu vinginevyo ataondoka asubuhi......Robby aliongea Kwa msisitizo hatarious๐Ÿคฃ......kumbe hapa ni Kwa Robby na siyo kwao......nikawaza. ....nilidhan hapa ni nyumbani Kwa mama Lulu kumbe ni nyumbani Kwa Robby.......bas Robby wangu akaniomba nimfanyishe zoezi la kutembea ......Kama kawaida tukakamatana viuno tukaanza kutembea.........

ilifika mida ya saa kumi na mbili jion Robby akawa amepitiwa na usingizi ...nikamtoroka na kurudi chumbani kwangu.......niliingia na kuanza kutafta simu yangu niliiacha pale kitandani lkn haikuwepo .....nilitafta mpaka nikachoka .....wazo likanijia fasta ...nikamuulize Lulu.... mmmmh huyu Lulu anaweza kunipiga jinsi alivyo kisirani........niliamua kuenda ntamuogopaje na amenikuta pale..........nilishuka mkapa sebuleni ........sikuamin macho yangu....nilichokiona pale sebuleni.... alikuwepo Lulu pamoja na Yule dada alieniletaga hapa Kwa mama Lulu......alaf kibaya zaidi walikuwa wanapekua simu yangu ....na kulikuwa na msg za Robby kama zote......OMG ๐Ÿ˜ณ......

nikasogea .......shmakoo dada ....nilimsalimia Yule mwingine hakuitikia akaniangalia Kwa dharau Sana.........samahan dada Lulu naomba hiyo simu yangu...... nikamwambia Lulu.......njoo uchukue akaniita nikasogea pale walipokuwa wamekaa.......wakanivuta Kwa nguvu wakaniweka katikati Yao wakanikalisha.........hivi wewe mtoto nilikuleta hapa kufanya kazi au kuiba mabwana za watu......Yule dada akaniuliza......bwana yupi wa mtu nimemuiba๐Ÿ˜ .......na mm nikamuuliza swali......nikashtukia kibao cha mgongoni pwaaaaaa.......yaan nakuuliza swali na Wewe unaniuliza swali......unajeuri Sana ee......

dada zangu nawaheshimu sana sitaki kuwavunjia heshima naombeni simu yangu niondoke......mnachukuaje kitu changu bila ruhusa yangu? Nikawauliza.........hapo Nina jeuri baada ya kujua pale ni nyumbani Kwa Robby ๐Ÿคฃ......hii simu unajua gharama yake....Lulu akaniuliza ....gharama yake kamuulize Robby ndo alie nunua........nikamjibu ....weee alinikunja akaanza kunipiga alinipiga makofi mpaka Mwaj akatoka jikoni akaja na kuanza kutuachanisha .....uzuri ni kwamba sikumgusa Yule dada nikamfata Yule alieshika simu nikaikwapua .....

dada Lulu Mimi siyo ngoma........Kama umezoea kuwaonea akina Mwaj Mimi sioneeki ........jukumu langu ni Robby pekeake kazi zingine hazinihusu ......anaepaswa kunipiga ni mama yako tu alienitoa kijijini lkn siyo wewe .....naomba hii isijirudie........ niwaambie Tu kitu Mimi Nina hasira za Simba ....yaan nikikasirika naweza kumrarua mtu lkn huwa najitahidi Sana kucontrol hasira zangu nisimdhuru mtu...........mkinga wewe unajibu Nani hivyo yaan wewe Leo kzi huna lazima urudi kijijini kwenu leo.....huwezi kuwa kawifu kangu wewe huna haya .......nilimkadiria Sana Lulu nikaona pale hakuna kitu yaan haniwezi ......nikisema tupigane tamtoa magego tu..... niliondoka nikaenda chumbani kwangu nililia balaa zaidi ya masaa mawili nilikuwa nikilia.....nilitamani Lulu aondoke siku ileile lkn sikuweza maana Mimi ni wakuja Tu๐Ÿ˜ญ......

kutokana na hasira nilizokua nazo usingizi ilinipitia .....Nilikuja kushtuliwa saa tatu usiku....... alikua ni mtoto wa Lulu...... Nikajua Tu hapa Robby ananihitaji......nikanawa uso vzr nikajiweka sawa ili asijue kilichotokea.....nikaenda chumbani kwake........njoo mamy I miss you so much.....Robby akanipokea na kunikumbatia akanikiss kisha akanambia ....... Najua huna Amani tena ...lkn kaa ukijua Lulu ni mgomvi sana ....hicho kisikufanye upoteze furaha akikutendea ubaya wowote naomba uniambie nitamtoa hapa akakae kwenye nyumba ya mama......Robby alinambia ......hakuna kitu Robby usijali akinikose nitakwambia ...nilimjibu ..lkn moyoni nilikuwa na uchungu balaa.....tukapiga story pale.....nikamuaga naenda kulala.....weeee nilikwambia leo tutakuwa pamoja umesahau eee ......hapana Robby takuja kesho kulala...hapana Leo na kesho na milele utalala huku na Mimi ๐Ÿ˜ณ.....daah sikuwa na pingamizi bas akafungulia mziki laiiini๐Ÿ˜‹ ......

pale mezani kulikuwa na chakula spesho kutoka supermarket tukaanza Kula ...hapo tunalishana na kucheka ...bas burudani nikasahau kashkash za Lulu .....usiku tulipeana mautamu Kama kawaida๐Ÿคฃ....safari hii nikaanza kupata Raha hahahahaahaaha........robby Yuko romantic Sana jmn alaf ni mzuri wa kila kitu Sura umbo roho tabasamu yaan each and everything kwake ni fantastic.....bas tukalala zetu mpaka asubuhi......

ITAENDELEA

FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIMEZAMA๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹22.  >>> https://gonga94.com/semajambo/nimezama-22
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest