Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

NIMEZAMA* 12๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

9th Aug, 2025 Views 3


Nyanyuka haraka ondoka hapa mnuka mjasho wewe.........kwa uoga jmn nikasimama Fasta nikarudi nyuma๐Ÿ˜ฅ......vile viatu vilinipa shida kutembea haraka nilitembea ile ya mtoto teteee teteee๐Ÿ™Š...... bahati nzuri nilimuona Justine nyuma amekaa na pale alipokuwa kaka palikuwa na siti.........
basi nikamfata ....alivoniona tu....... waao ni wewe mama? You look so sweet( umenoga Sana) njoo ukae hapa๐Ÿ˜‹ japo nilikua na hasira.....Justine aliongea na kunipisha miguu yake nikapita nikakaa......hellow mama vipi unaendeleaje.....salama tu kaka Justine za nyumbani......nzuri sana......mbona hauna raha mama nini shida ..... justine aliniuliza....amna kaka niko sawa.....

basi nilivo na michozi ilianza kumwagika ๐Ÿ˜ญ......jmn J akawa ndo ameamsha hisia zangu za kulia....nililia kilio cha kujibana maana kanisani tayar ibada ilikuwa imeshaanza..... Justin alijaribu kuninyazisha Lkn niliona ndo ananikngezea machungu......niliinuka na kuenda nje nikajikalia nje kabisa ya geti๐Ÿ˜ฅ.....nililia kama mwehu huwa sipendi kabisa kuonewa bila sababu za msingi........

Lkn ghafla nikaona kuna baba anamtoa Robby nje๐Ÿ˜‹....bas nikimuona robby moyo unakua mweupe peeeee si mnajua nakapendaga ee ila navunga hahaha.......akamtoa hadi pale getini na kumuacha pale nje ....Robby aliangaza macho huku na kule Lkn hakuniona......alibaki amekaa kihuzuni sana nilikua nikimuona ......bas kuna katoto nilikaona pale jirani nikakaita nikakatuma kakamlete Robby......kalienda na kumleta mpaka pale nje ....nilijiinamia huku machozi yakinitoka....Robby aliponiona Tu .....

sikitu mama njoo mama angu.....njoo mylove...nisamehe mimi ni makosa yangu nilishindwa kukutetea kutokana na hali yangu nisamehe sana mama angu....robby aliongea kwa uchungu jmn๐Ÿ˜ญ....yaan nilivyosikia vile ndo nililia balaa ....njoo mama nyamaza hatakuliza tena yule mjinga mpuuzi.....robby alininyanyua na kunikumbatia jmn what a beautiful moment๐Ÿ˜‹.......nikajiskia Raha Sana.....naomba twende kwenye gari mpaka ibada iishe tutasikiliza humuhumu kwenye gari.....robby aliongea...tulienda kwenye gari kisha tukakaa.....sikitu mama leo nina jambo na wewe naomba usihuzunike kiasi hicho.....utanivunja moyo wangu mama.....sawa kaka robby sina kinyongo yameisha ....nilimjibu ....

bas ibada ikiendelea kule ndani Lkn pia na sisi tulishiriki kule nje .......Lkn katikati ya ibada maua alitoka nje na kuanza kuangaza macho huku na kule hakuona mtu...akachukua simu yake na kumpigia robby ...robby aliiangalia simu na kuikata kisha akaizima kabisa.......kaka Robby Kwan huyu dada ninani? Na kwann anakufatili hivi? Nilimuuliza robby ......leo utajua kila kitu kumhusu naomba uvute subira mpaka saa sita usiku pale chumbani kwangu nitakuelezea mama......sawa kaka robby......ibada ilipoisha tu......tulimuona mama mmoja anakuja kwenye gari na kumuita robby ....robby hujambo ...sijambo mama za kwako.....salama....nina maongezi na wewe dakika tano tu zinatosha.......sina muda kabisa mama naomba nikapumzike nyumbani......robby kumbuka unaongea na mama mchungaji ugomvi wako na maua mimi usinihusishe nataka tuongee jambo moja dogo tu naomba dakika zako......sawa na kusikiliza mama......robby alikubali ......we binti naomba utupishe hapa tuongee.......yule mama aliniambia kwa sauti ya ukali....sawa mama nilimjibu ....

hapana sikitu kaa hapahapa ......mama kama huwezi kuongea mbele ya rafiki yangu kipenzi naomba uende
nakuheshimu sana.....anhaaa sawa....naomba unipe muafaka wako na maua ni upi maana kila anapojaribu kukuleta uwe sawa hutaki unataka mwanangu ashindwe kusoma masters yake? .......yule mama alifoka.......mama nakuheshimu sana ........naomba mniache na maisha yangu ......simtaki huyo mwanao na sina mpango nae kabisa.....nia yenu nyinyi ni kuniua hamtaki niishi....mimi na maua yalishapita nilishafunga chapter kuhusu......naomba umwambie Asinifatilie wala kumsumbua sikitu kwa lolote tafadhali sana.....wakati huo mama lulu alikua ndo anakuja kwenye gari... walisalimiana na mama mchungaji wakacheka kisha wakaagana.......mama mchungaji aliahidi kuja jion nyumbani kwa kina Robby......karibu sana mama mtumishi...mama lulu alimkaribisha......Justine alikuja tuliondoka pale kanisani na kurudi nyumbani .......

Robby unashida gani Kaka......Justin alimuuliza baada ya kufika nyumbani. .....kaka naomba tuongee pembeni......walisogea pembeni na kuongea mambo yao waliporudi nilimuona Robby akiwa na furaha kidogo .......niliandaa chakula mezani tukakaa kama kawaida mimi na robby hapa... kule mama lulu na Justine katikati Mwaj.......shem umeionaje ibada yetu kanisani....justine aliniuliza.... Hee shem tena.....nilikodoa macho ๐Ÿ˜ณ.....aah sory sikitu ๐Ÿคฃ.......Dah ibada ilikua nzuri tu kaka J ........karibu zaidi ikiwezekana uolewe kanisani kwetu....j aliongea ......umeongea pointi sana mwanangu huyu sikitu inabidi apate mume pale pale kanisani wala asiende mbali ......mama lulu alidakia.......kweli kabisaa yaan huyu haendi popote niwa hapahapa.....Robby alimalizia ...hahahaha๐Ÿคฃ nilibaki Naona aibu tu......

Tulimaliza kula muda wa kurudi kanisani ukawadia .......mama naomba nibaki na sikitu sijiskii vzr kabisa nyie nendeni kanisani....... robby aliongea....sawa mwanangu... sikitu muhudumie kaka yako vzr ..sawa .....sawa mama
Tukibaki mimi na Robby......Mwaj akaenda zake kwao ......ngoja kwanza hapo wamama mnawazaga tu kukoboana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhakuna Robby wala hana hilo wazo โ˜บ๏ธ hahaha.......

naomba nipeleke chumbani tafadhali .... nilimpeleka.......nenda ukaoge ....Robby alinambia.......khe๐Ÿง Kaka Robby sisikii joto mbona.....nilimjibu huku nimetoa macho......kumbuka makubaliano yetu......utanisikiliza kwa kila jema .....haya kaoge....jmn nilienda kuoga nikavaa taulo ....nae akaenda kuoga...... hahahaha Kwan mnawaza nn nyie wamama๐Ÿคฃ......hakuna hicho mnachowaza hakikutokea kabisa hahaha.......

Robby alitrudi nikamvalisha nguo za kulalia kisha akaomba massage ya miguu ......bila hiyana wala lawama nikamfanyia massage kijana yule๐Ÿ˜‹.......

nahitaji utulivu mkubwa kifuani kwako tafadhali naomba ruhusa yako.......kabla hata sijajibu kitu robby akanilaza kitandani na kuniwekea kichwa chake kifuani kwangu .....aaaaaash what a wonderful time๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ........jmn ni rahaaaa..... tukalal usingizi mwororoooo.... hahaha hatukufanya bana acheni kuwaza minyanduo๐Ÿคฃ....

ITAENDELEA

FULL STORY UNAIPATA KWA TSH 1000 njo WhatsApp 0715906120
LIPIA KWA NAMBA 0715906120 YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIMEZAMA* 12๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹  >>> https://gonga94.com/semajambo/nimezama-12
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest