Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH๐Ÿฅต๐Ÿ’˜12

9th Aug, 2025 Views 53



Maria alipokea na kuvishikilia mkononi, bado alikuwa na mshangao pia uwoga maana anamjua Sana Bryan hakuwa mtu wakujali wengine.
" Vipi mbona umeshikilia hauli?
" Nakula. Maria alipeleka mdomoni kipande Cha biscuit akaanza kula kidogo kidogo Bryan aliendelea kumuangalia kwa jicho la kuibia huku akiendelea kupiga story na wenzake. Maria alikuwa kimnya mda wote lakini alikuwa anamkata jicho Bryan ambae alikuwa anajisogeza karibu nae na kusababisha kugusana. Walipogisana Maria alishituka na kumuangalia wakajikuta wote wanaangaliana jicho la Bryan lilikuwa limebeba hisia flan Maria aligeuza macho akawaangalia watu wote waliokuwepo pale akakuta wanawaangalia Maria akajisogeza kidogo.

Maria aliendekea kuwa kimnya hukucakiwa anakumbuka maneno ya rafiki Yake Liya alivyokuwa anamwambia kuwa mwanaume alitokea kumpenda mwanamke anakuwa msumbufu, anapenda kumuangalia na kuwa nae karibu muda wote pia anakuwa mchangamfu.
" Mmmmh Sasa huyu Bryan kanpenda Nani hapa ? Maria alijiuliza Hilo swali huku akiwaangalia wakija Derick na jordan ambao walikuwa wamekaa na wapenzi wao.
" Ila Mimi mjinga hili Ni swali gani najiuliza. Ina maana Bryan ananipenda ndio maana hizo ishara zote anazionesha? Hapana Bryan hawezi kunipenda mtu kama Mimi. Maria usinidanganye wewe sio wa hadhi yakekabisa. Maria aliikanya nafsi yake alafu akazidi kusogea pembeni.

Baada ya kupumzika wanaume walinyanyuka wakaenda kutengeneza nahema. Monica , Vivian na Maria wakiendelea kupiga story. Monica akawa anawasimulia Ile sehemu jinsi ilivyo maana haikuwa Mara ya kwanza kufika pale.
" Hii sehemu naipenda Sana na huwa na enjoy Sana ninapokuja na mpenzi wangu. Ina vitu vingi vya kuvutia kwanza kulala kwenye hema, Pili Kuna mlima nzuri alafu Kuna maporomoko ya maji.
" Kweli inavutia lakini Mimi naogopa ikifika usiku. Alisema Maria. Vivian alitabasamu alafu akasema
" Sasa unaogopa Nini wakati utakuwa pembeni ya mpenzi wako?
" Nashangaa anaogopa Nini wakati shukaa wake Bryan atakuwa akimlinda malki wake.
" Hapana Bryan alikuwa boss wangu sio mpenzi wangu.
" lakini mnaonekana Kama wapenzi wapya . Alisema Monica na Vivian akaongeza kwa kusema
" Tena wanapendezana mnoo, jaribu kumpa nasafasi anaonekana aba mahaba mazito kwako. Maria hakuwa na lakuongea zaidi ya kuona aibu.
" Mnaonaje tulienda kutembea kidogo maana tumekas Sana hapa . Monica alisema na wote watatu walisimama na kuanza kutembea kwenye ule msitu mdogo ambao pembeni yake kulikuwa na mto mkubwa uliokuwa unatiririsha maji. Walikutana na baadhi ya watu wengine waliokuwa wameweka mahema yao na wengine wakitembelea mazingira na kupiga picha wengine walikuwa wanaogele kifupi watu waliokuwa huko walikuwa wanafurahia Sana. Waliporudi matembezini walikuta mahema matati yametengenezwa.

Ilipofika usiku waliwasha moto wakauzunguka wakiwa wanaota Jordan alikuwa karibu na mpenzi walijifunika blangeti pamoja kuzuia baridi pia kwa upande wa Derick ilikuwa hivyo hivyo . Maria alikuwa kajikunyata pembeni akisubiri kupewa kazi iliyompeleka lakini ilikuwa tofauti na makubaliano yake na Derick chakula kililetwa kutoka kwenye hotel iliyokuwa ndani ya Lile eneo. Bryan alikuba bize na simu yake . Jordan akimrushia jiwe Bryan akamuangalia , Jordan akamuonyesha ishala ya kuwa amfuate Maria. Bryan alitingisha kichwa alafu akaendelea kutumia simu yake.
Alipomaliza alichokuwa anafanya kwenye simu aliiweka mfukoni alafu akasimama na kuvua koti lake kubwa na zito linalozuoa baridi na kwenda kumfunika Maria aliyekuwa kajiinamia. Maria alishituka akamuangalia, Bryan alikaa pembeni yake
" Vipi mbona umetulia hivyo?
" Hamna
" Usiwe mpweke tupo pamoja unaweza kuniambia chochote unachojisikia. Maria alitingisha kichwa akasema
" Sina chochote Cha kukwambia . Kwa Hali aliyokuwa anaiona pale Maria alianza kupata wasiwasi hasa alipofikiria sehemu ya kulala maana mahema yalikuwa matatu Kama Vivian na Monica wataenda kulala kwenye mahema waliyotengeneza yeye ataenda kulala na Bryan. Akiwa bado anafikiria akasikia Derick anaaga wanaenda kupumzika akanyanyuka na mpenzi wake wakaondoka , baada ya muda kidogo Jordan na mpenzi wake wakanyanyuka na kwenda kwenye hema Lao wakawaacha Bryan
KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH๐Ÿฅต๐Ÿ’˜12  >>> https://gonga94.com/semajambo/bamtu-mr-sasampa-utam-wangu-mwenyeweeee-aaaasssshh-12
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

never give up harmonize
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest