Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

NIMEZAMA* 07๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

9th Aug, 2025 Views 7



Kusikia vile aibu jamani aibu mkojo ukanibana .....hahahaaha...kaka Robby nataka niende chooni..... kufanya nini.... ..aliniuliza ...khe๐Ÿคฏ huyu mbuzi nini kwani chooni wanaendaga kupika sambusa au ๐Ÿง...niliwaza .....eeh wamama mlijua nmemwambia subutuuuuu.... weeee nimwambie nije nifukuzwe kazi tamuonea wapi Robby mie hahahah,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚........naenda kujisaidia kaka....nilimwambia ohooo sawa. Nenda.....niliinuka kuufata mlango wa kuelekea nje .....wewe sikitu choo kile pale .....๐Ÿ˜ณ Mamamamamamamama ....hapa sina ujanja kumbe pana choo hapahapa ndani ........kaka cha nje ndo nimezoea ....... nilimwambia.... kumbuka tumekubaliana usiondoke bila ya ruhusa yangu.......hapohapo nikanywea .....nikarudisha vigimbi vyangu ndani๐Ÿšถ......aibu kama kobe......

huyu sasa anataka kunizoea mbona ana amri hivi kwani mi mkewake .......niliwaza. ....kwanza kikazi chenyewe naacha leoleo sipendagi vimtu vyenye amri mimi.......mmmh Lkn niache kazi ? Wee Robby nitamuona wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ....

yooote hayo yalikuwa ni mawazo ambayo niliyawaza Fasta Nikiwa natembea taratibu kuelekea toilet kwa Robby.......nilifungua mlango .....kabla sijaingia toilet.......ukimaliza uniite nije nikuvalishe ๐Ÿ˜ณ.....Robby aliongea...huyu kichaa nini kwanza hata kutembea hawezi anivalishe nini kwani mimi sina mikono kione kule....hahahahaha...niliwaza na kuzama toilet ........nilikojoa mpaka mkojo ukaisha Lkn nikabaki nimeduwaaa kushangaa kile ni choo au saloon ya kiume?

Khe...... jamani kuna watu wanaishi sisi wengine tuna sukuma wiki tu.......choo kimejaa vioo ...choo kina mashine ya kunyolea na kiti cha kuzunguka choo kinanukia marashi ....yaan chooni kimejaa spray jmn kha.....
hakuna harufu ya kmba kama ukipita kule bonyokwa kila chocho unakutana na harufu ya kmba๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ...mkaka huyu huwa hanyi au ...nilijiuliza.....mbona hakunikii hata mkojo.......nilivomaliza kukojoa yaani nilimwaga maji ndoo tatu kubwa ili kuzuia harufu isije haribu choo cha watu bure๐Ÿคฃ....je ningekuny je walau ningemwaga pipa zima๐Ÿคฃ...sikujua jinsi ya kuflash kabisa ......hivyo nilipomaliza tu kumwaga maji ...nikavuta mlango ili nitoke....kufika tu pale chumbani uso kwa uso na mama lulu๐Ÿ˜ณ....

Khe mama shkamoo ...nilijibalaguza......mwanangu si tulikuwa wote hapa mda cyo mrefu? Mbona shkamoo tena....aaah aaaash aaah.....okay leo ni Ijumaa kesho ni sabato naomba utamuandaa kaka yako kwaajili ya kwenda kufungua Sabato jion saa kumi na mbili ...pia ikiandaliwa nguo smart za kwendea kesho kanisani....wewe pia unakaribishwa kama utapenda kushiriki nasi ibada .....anhaa sawa mama hakuna shida tutakuwa pamoja ...... Sawa mwanangu sasa .....njoo huku jikoni umchukulie Robby chai atakuwa na njaa ...... na wewe pia uje unywe chai mwanangu.....sawa mama .....

nilitoka na mama lulu nikaenda hadi jikoni nikachukua sles nane za mkate nikazipaka pinet na jam na makolokolo mengine maana nilifundishwa na mama lulu.....nikabeba chupa ya maziwa fresh na kikombe kisha nikaenda chumbani kwa Robby........niligonga mlango.....ingia tu mamy ......ila nyie tuache utani Robby anaita vizuri daah yaaan ile mammy mpaka unahisi roho inachomoka kwa raha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ......niliingia na kuweka kile kisinia cha chai pale kitandani kwake.......oooh asante mamy ....kuna meza pale kwenye kabati kailete .... Nilienda kufungua kabati na kutoa kimeza flani kilikuwa kizuri kimekunjwa kama vile vya wakorea nikampelekea ........akakichukua na kukiweka pale kitandani kisha akaniambia nimmiminie chai ........nilimimina chai nikampatia .....waao leo tunakunywa chai pamoja kwenye kikombe kimoja....๐Ÿ˜ณ Kaka Robby .....abee dada sikitu...aliitikia ....nilivunja mbavu baada ya kusikia Abeee ......mimi chai yangu ipo kule sebuleni .. ngoja nikainywee ...nikainuka fasta ili nikimbie.......subiri kwanza mamy .... tulikubaliana usiondoke bila ruhusa yangu....sijakuruhusu kwenda popote chai tunakunywa wote hapa ......tutapokezana kama togwa........nilishindwa kujizuia jamani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ....nilivunja mbavu........

ITAENDELEA
FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIMEZAMA* 07๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹  >>> https://gonga94.com/semajambo/nimezama-07
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest