Klabu ya Simba SC imempatia mkataba mlinzi , Hernest Malonga, aupitie aangalie kama ataridhika nao basi akubali kusaini katika Klabu hiyo.
Tarifa za awali zinaeleza Kuwa mazungumzo yamekuwa mazuri kati ya mchezaji na Klabu ya Simba SC, lakini pia nyota huyo Ndie alikuwa chaguo la Kocha Fadlu Davies ukimtoa Mlingo ambae tayari amesatambulishwa katika timu hiyo..
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.