I LOVE YOU DADY ๐โค๏ธ๐07
"By Babie Love 0742133100"
Basi bwana mimi na Rouhy tuliondoka kuelekea hospital kwa ajili ya kufanya chekapu tujue afya kabla ya kukulana jamani hahahaa afya muhimu..
Tulienda kwenye hospital fulani hapa jijini Dar es salaam tukachukuliwa vipimo kibao ikiwemo virusi vya ukimwi๐ฅฐ๐ฅฐ
Katoto cha watu nilikuwa safi hata UTI tu sikuwa nayo ๐๐๐ hata mme wangu hakuwa na tatizo lolote la kiafya ni jambo la kumshukuru Mungu...
Tulipita mlimani City my wenu nikafanyiwa shopping nikanunuliwa na simu ๐๐mjue sijawahi kumiliki simu tangu nizaliwe ndo nilikuja kuimiliki baada ya kuolewa..
Kipindi hicho ndo zimetoka iPhone 12๐๐๐nikainunuliwa promax allooh kumbe kuwa na mme ndo utamu hivi๐..
Nilinunuliwa na nguo tamu tamu viatu mikoba naye honey wangu akachukua nguo na viatu tukapita sehemu wanauza maua humo humo mlimani City bae akaninunulia nikajikuta tu naanza kumpenda na moyo woteโค๏ธโค๏ธ
Kabla hatujaondoka kurudi nyumbani bae akaniambia tupite kwenye ice cream ๐ฆ โฅ๏ธ akaninunulia ice cream.... then tukaondoka kurudi nyumbani..
Wakati tuko kwenye gari akawa anadrive mkono mmoja kanishikilia dah๐๐nilijikuta naanza kumuwazia na moyoni nikawa najiambia...
Rouhy anaonekana ni mwanaume na nusu I think of loving him with all my heart ๐๐๐...
Niliendelea kula ice cream yangu badae nikawaza kumlambisha na yeye๐๐tulifika sehemu ya mataa tukasimama๐ฅฐ๐ฅฐ
nikamsogezea bae ice cream mdomoni akainyonya then akaninyonya namm mdomoni๐๐nilisikia utamu nikaziba macho kwa aibu๐๐alinikiss na kuondoa gari..
Tulikwenda mpaka nyumbani tukaanza kupima nguo zetu tulizonunua mara bibi akaja kutugongea ...
Tulimfungulia akaingia pale chumbani... Rouhy aliniambia huyo ni bibi yake mzaa baba wanaishi naye pale nyumbani...
Aliniambia pia baba yake alifariki kwa ajali ya gari miaka kadhaa iliyopita...
Rouhy ni mtoto pekee kwao amezaliwa peke yake...
baada ya bibi kuingia pale chumbani alikaa kitandani...
Then akatuuliza kitanda mbona hakijavurugika mlifanya kweli๐ณ๐ณ๐ณau lnaogopana??.khaa๐
Yani nilivyo na aibu nilitamani kujificha bibi hata haogopi๐๐๐ Rouhy alicheka tu akamwambia bibi sitomfanyia huku nitaenda kumfanyia huko mbali mpaka azoee๐๐
Heee mbali wapi nasisi tunataka kwanza tuone kama yaliyomo yamo tuongeze mahari๐ณ๐ณ
Nyieee๐๐๐nilitaka kukimbilia chooni nikajifiche mpaka wamalize kuongea Rouhy akanizuia๐๐ unaona anavokuone aibu hujaonja bado๐ณ
Bibi aliendelea kukazia๐๐ Rouhy akamwambia basi bibi leo nitaonja kesho utapata majibu๐๐๐ bibi alipiga vigelegele akasema hapo sawa..
Tunataka kujua na wewe kama jogoo anapanda mtungi tuendelee na mambo mengine khaaaaaaaa๐๐
Itaendeleaaaaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
.jpg)


.jpg)
Maoni