First time in America🥰🥰🥰🥰tulipokelewa na familia ya aunt..yeye mme wake na watoto wao watatu wazuri hatari🤗..
Tulikaribishwa America kwa furaha🤗🤗🤗auntie alitupeleka nyumbani kwake tukakuta bufeee za kutosha pale tukajiseviaaaaaa🥰🥰..
Story za hapa na pale then tukaenda kupumzika siku iliyofuatia auntie na mme wake walitupeleka kutembea sehemu mbalimbali🤗🤗
Pazuri sana America jamani hahahaaa kila siku ilikuwa kuzurura mtaa kwa mtaaa..baada ya mwezi mmoja Rouhy aliondoka akarudi Tanzania kuendelea na kazi nikabaki America pake yangu🤗
Shangazi alinilea vizuri sanaaaa kunidekeza kama yai vile hahaaaa mimba ilipofika miezi tisa mama na bibi nao walikuja...
Tarehe yangu ya makadilio ilipowadia nilipelekwa hospital nikafanyiwa vipimo nikaanzishwa mazoezi ya hapa na pale kesho yake ndo nilijifungua kwa njia ya kawaida mtoto wa kiume very cute🤗
Familia walifurahi sana... mama, bibi auntie walimpokea mjukuu wao kwa furaha sana🥹❤️..
Bibi Rouhy alifurahi sana kupata kitukuu🥹 kumbuka kila siku alikuwa akiniambia siku nikimzalia kituu atanizawadia zawadi nyingi sana..
Ahadi yake ilitimia siku hiyo🥹🙌 mali zote alizokuwa akizimiliki bibi aliamuru mwanangu apewe alisema hata akifa sasa ni sawa mama amepata mmiliki wa vitu vyake🥹💖
Ile familia ina uwezo mkubwa sana wana mali mpaka za akiba🤣🤣🤣nilifurahi nikamshukuru bibi alichopewa mtoto ni cha mama hicho👌basi bwana hivo ndo ilivokuwa..
Rouhy alipewa tarifa njema za ujio wa Rouhy mdogo hahahaa namuita Rouhy mdogo maana mtoto alifanana naye sana...
Alifurahi sana🥹🥹🥹furaha yake ilichanganyikana na machozi ya furaha aliniliza mpaka mimi🥹❤️..
Alionyeshwa mtoto wake kwa njia ya video call alifurahi sana jamani alinishukuru kwa kumfanya kuwa baba nami nikamshukuru kwa kunifanye niwe mama...
Rouhy alitoa jina la mtoto akaniahidi visa ikitoka tu atakuja kutuona then atuchukue turudi wote Tanzania 🥰🥰🥰❤️
Nilifurahi sana... tuliruhusiwa kutoka hospital tukarudi kwa auntie baada ya two weeks Rouhy alipata visa akaja kutuona🤗🤗❤️
Zawadi nyingi alinibebea mimi na mtoto🥰🥰🥰nilisubiliwa nikamaliza uzazi miezi mitatu kwa auntie ndo tukarudi Tanzania....
Nilikanyonyesha katoto kangu kwa mwaka mmoja na nusu kwa muda huo Rouhy alinifungulia biashara mjini dodoma nikawa nasimamia🥹❤️..
Baada ya mwaka na nusu mama Rouhy alimchukua mtoto namimi nikarudi shule kumalizia masomo yangu..
Sikuweza kuendelea na form five kutokana na muda kunitupa mkono... niliappy chuo dodoma nikaanza course yangu hapooo...
Nilichukua course ya miaka mitatu nilijitahidi kubalance muda nikawa naenda kumuona mwanangu jijini Dar es salaam kila weekend..
Sikuwa naenda peke yangu nilikuwa naenda na mme wangu Rouhy🤗❤️❤️ niliendeleza pia biashara aliyonifungulia mme wangu na maisha ya ndoa kwa upande wangu yalizidi kuwa matamu sana..
Mwaka jana mwezi wa 11 niligraduate katika chuo kimoja hivi cha mjini Dodoma🥰🥰❤️
Baada ya kugraduate nilibahatika kupangiwa kazi katika taasisi fulani hivi jijini Dar es salaam🥰🥰ilinibidi nihamie jijini Dar es salaam lakini Rouhy hakupentaaa🥹
Ana wivu huyooo na kwa jinsi nilivo nawili hahahaaaa aliogopa kuibiwa maana na taasisi nilopangiwa kazi ina mibaba yenye mipunga si kidogo🤣
Nilimwambia mie sina tamaa na pesa maana na kwako ninazioga🤣🤣🤣natembelea gari nalolitaka namiliki biashara kubwa naishi kwenye mjengo wa kifahari..
Nina ajira nzuri nina mme handsome tajiri nina mtoto nitake nini tena huko nje??.hahaha Rouhy aliniambia fimbo ya mbali haiuwi nyoka alisema mapenzi ya mbali yatamtesa maana tyr ameshanizoea..
Ilibidi afanye mpango wa kuhamishiwa kikazi jijini Dar Mungu ni mwema maombi yalikubaliwa🥰 Rouhy alihamishiwa kikazi jijini Dar es salaam tukaendelea kuishi pamoja na mtoto wetu mama pamoja na bibi🥰🥰..
Mpaka leo hii tunaishi hapa Dar es salaam na familia yangu... nawapenda sana hawa watu naomba Mungu atulinde tuendelee kubakia pamoja❤️❤️❤️..
Nampenda sana Rouhy wangu naye ananipenda mnooo🥰🥰🥰tunampenda mno mtoto wetu Mungu akijaalia mwakani tutaongeza mtoto wapili🥰❤️
Namshukuru pia mama mkwe wangu ni moja kati ya wale mama mkwe bora zaidi Duniani hapa❤️❤️ naomba mwenyezi Mungu aendelee kumlinda ili aendelee kunilelea wanangu🤗❤️
Nampenda kipenzi chetu bibi hahahaaa anatupenda huyoo🥰🥰🥰mwenyezi Mungu aendelee kumuweka kwa ajili yetu...
Asante pia kwa wazazi wangu kwa kunizaa na kunilea vyema hapa nilipo ni kwa sababu ya malezi yao mazuri kwangu nawapenda sanaaa byeeeeeee🥰❤️❤️..
*mwisho*.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments