Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 I LOVE YOU DADY💘❤️💘17 "By Babie Love
Gonga94 · Stories

I LOVE YOU DADY💘❤️💘17 "By Babie Love

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
0742133100"

Mlinzi ashaambiwa mimi ni mke ninatakiwa kuheshimiwa kama anavoheshimwa Rouhy...amri yangu aliitii haraka iwezekanavyo..

Alimwachia yule msichana akaja mpaka ndani.... alienda moja kwa moja alikosimama Rouhy akataka kumuwasha kibao Rouhy akamstopisha🤔🤔..

🗣🗣Rouhy wewe ni mbwa alianza kutukana🙁🙁then akamove kunifuata mimi Rouhy akamwambia usijaribu kumgusa mwanamke wangu nitakupoteza🫰..

What???... Rouhy akamwambia get out🫰🫰 oh sijui nini akarudia 🗣🗣get out na iwe mara yako ya mwisho kuleta sura yako hapa🥺🥺..

Rouhy I'm your wife🥹🥹uliniahidi utanioa sijui nini na nini lolo alianza kulia hataki kuondoka😂😂😂nacheka kama mazuri..

Rouhy alimuita mlinzi akamwambia beba hii takataka upeleke nje lolo usijaribu kucheza na ndoa yangu nitakuumiza..

Rouhy alimpiga lolo mkwara mzito na baada ya hapo mlinzi alimbebelea akamtoa nje..

Muda wote huo nilikuwa kimya t nawaangalia😔😔 lolo alipoondoka nilimuomba Rouhy anipe simu yangu...

Alikataa kunipa simu kwa madai et nina hasira ninaeza kuongea mambo mabaya kwawazazi ambayo sisi wenyewe tunaeza kuyasolve😔😔..

Nilichukia sana kiukweli nilikuwa na hasira sana ndo mara ya kwanza nimekuja hapa napokelewa na drama maisha ya hapa yatakuwaje??? Bora hata ningebakia Dar

Furaha nilokuwa nayo ilitoweka😴😴😴nilijuta kuja Dodoma 😂😂😂siku hiyo tulilala bila kula..

Tulipanga tukishafika nyumbani tuoge then tukale nje lakini mambo yalivurugika ikabidi tulale tu..

Nilikataa kulala kwenye chumba cha Rouhy nikaenda kulala chumba kingine😓😓😓...

Rouhy aliniacha hasira ziishe then tuongee siku iliyofuata aliwahi kuamka akaniandalia kiamsha kinywa akafanya usafi ndani baada ya hapo alioga akajiandaa kwenda kazini..

Kisha alikuja kunigongea lakini sikumfungulia mlango😞😞😞aliniambia chakula kiko tayari usafi tayari ameshafanya pesa ameniwekea mezani yeye anaenda kazini😏😏

Hata sikumsemesha aliondoka zake kwenda kazini nikabaki mwenyewe pale ndani😒😒..

Baada ya Rouhy kuondoka niliamka na mihasira yangu nikaenda chumbani kwake kuangalia kama ameacha simu yangu sikuikuta😏

Nilisikia hasira nikajifunika liblanket nikapiga kelele kwa nguvu😞😞😞baada ya hapo hasira zikanituma nihame kile chumba mazima😝😝😝

Nilibebelea nguo zangu na vitu vyangu nikahamishia chumba kingine😏😏

Yale mavyakula aliyopika Rouhy sikula nilipika cha kwangu nikala kile cha kwake nikakiacha😝😝..

Baada ya kushiba nikasema ngoja nikaangalie pesa niloachiwa😂😂😂😂nyieeee mezani ilikuwepo million moja😂😂😂

Pesa yote hii ni ya nini.???. Niliziacha kama zilivyo badae nikawaza hiyo pesa si niichukue nikatafute simu nyingine???.

Niliichukua ile pesa nikatoka kwenda kutafuta simu nimefika getini mlinzi akaniambia madame hauruhusiwi kutoka mheshimiwa amekataa🙄

Nilirudi ndani na hasira kama zote nikatamani nivunje vunje vitu kule ndani aaaa bora tu nikalale hasira zitulie😝😝

Nimeingia chumbani ndani ya dakika 5 nikasikia get linafunguliwa kucheki ni Rouhy anashuka kwenye gari na vitu mkononi akawa anatembea kuja ndani🤣

Nilikimbia mlangoni nijifungie ule mlango ukagoma kulock🙄🙄🙄mpaka Rouhy anafika pale mlango haujilock alisukuma mlango akaingia kule chumbani..

Akaweka vitu kitandani kisha akanivuta karibu yake kwa nguvu akanikiss nikamsukuma😒😒😒 nikageukia upande mwingine akanikumbatia kwa nyuma akaniambia Maya I'm sorry🥹..

Nimeshindwa kufanya kazi mke wangu sina amani naomba unisamehe nakupendaaaaa sitofanya ujinga tenaa🥹

Itaendeleaaaaaaaaaa...

WhatsApp 0742133100
Tangazo - Stake
Stake
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

I LOVE YOU DADY💘❤️💘17 "By Babie Love

0742133100"

Mlinzi ashaambiwa mimi ni mke ninatakiwa kuheshimiwa kama anavoheshimwa Rouhy...amri yangu aliitii haraka iwezekanavyo..

Alimwachia yule msichana akaja mpaka ndani.... alienda moja kwa moja alikosimama Rouhy akataka kumuwasha kibao Rouhy akamstopisha🤔🤔..

🗣🗣Rouhy wewe ni mbwa alianza kutukana🙁🙁then akamove kunifuata mimi Rouhy akamwambia usijaribu kumgusa mwanamke wangu nitakupoteza🫰..

What???... Rouhy akamwambia get out🫰🫰 oh sijui nini akarudia 🗣🗣get out na iwe mara yako ya mwisho kuleta sura yako hapa🥺🥺..

Rouhy I'm your wife🥹🥹uliniahidi utanioa sijui nini na nini lolo alianza kulia hataki kuondoka😂😂😂nacheka kama mazuri..

Rouhy alimuita mlinzi akamwambia beba hii takataka upeleke nje lolo usijaribu kucheza na ndoa yangu nitakuumiza..

Rouhy alimpiga lolo mkwara mzito...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/i-love-you-dady-17-by-babie-love

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi i-love-you-dady
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10
I LOVE YOU DADY💘❤️💘11 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY💘❤️💘11 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY💘❤️💘19 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY💘❤️💘19 "By Babie Love 0742133100"
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘09
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘09
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘20 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘20 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY💘❤️💘15
I LOVE YOU DADY💘❤️💘15
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘18 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘18 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY💘❤️💘16
I LOVE YOU DADY💘❤️💘16
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘12
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘12
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘13
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘13
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘14
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘14
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘08
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘08
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘07
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘07
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘06
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘06
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘04
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘04
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘05
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘05
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

8.91K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.53K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.18K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.91K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest