Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜11 "By Babie Love
Gonga94 ยท Stories

I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜11 "By Babie Love

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
0742133100"

Rouhy tangu siku aliponitoa bikra hakuna zawadi aliyonipatia zaidi ya asante pamoja na maneno matamu๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„...

Mpaka niliwaza nimnunie nimejitunza wee nakuja kuambilia asante na kubembelewa na maneno matamu tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila huenda kuna kitu kizuri ananiandalia siwezi kumnunia chibaba wangu jamani๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿ™Œ tayari moyo ulikuwa umeshajaa asilimia mia kwa kwa Rouhy...

Siku hiyo usiku baada ya kula Rouhy aliniomba tuongee...nikamwambia sawa Darling I'm hereโค๏ธ

Mme wangu alitaka kujua malengo yangu...je ninaendelea na masomo??.... nina plan kupata mtoto nikiwa na umri gani ninatamani kuwa nani kwenye future yangu...

Mimi ni mtu wa aina gani napenda vitu vya aina gani kitu gani sipendi kufanyiwa kama mnavojua sisi tulijuania kwenye ndoa๐Ÿ˜‚hakuna aliyekuwa anamfahamu mwenzie kiundani..

Shule nilitaka kuendelea lakini nilimwambia kwa sababu yeye ndo mme tayari akiridhia basi mimi nitaendaa๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

Na kuhusu mtoto mimi ndoto yangu ilikuwa kuzaa baada ya ndoa kwa vile ndoa tayari basi na mtoto niko tayari kumpokea๐Ÿฅฐ

Nisije nikaanza kusema sitaki kuzaa sasa hivi niletewe watoto wa nje nianze kulia lia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..

About future hahahaaa nilifunguka...

Nilimwambia pia vitu navyopenda pamoja na nisivyovipenda nilivielezea kiundani naye mwenzangu akaniweka wazi what he like na kipi hapendi๐Ÿค—๐Ÿค—

Kwanza ana wivu๐Ÿค—๐Ÿค—pili hapendi usaliti๐Ÿค—๐Ÿค—anapenda kupewa muda na mwanamke wake waenjoy pamoja washauriane kuhusu maisha yao na mengineyo mengi tu...

Kuhusu usaliti mi hayo siyo mambo yangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kizuri zaidi umenikuta bikra babangu so ningekuwa kiruka njia hata hii bikra usingeikuta๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“..

Tulipata kupiga story nyingi sana nikazidi kumfahamu Rouhy wangu naye akapata kunijua vizuri mimi ni mwanamke wa aina gani๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—...

Usiku ulipozidi kuwa mkubwa tukaamua kujipumzisha.... siku iliyofuata Rouhy aliniomba nijiandae tutoke๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ..

Sikujua tunaelekea wapi na though sikuwa natembea vizuri bado lakini aliniomba at least nijikaze tu coz hatutochelewa kurudi๐Ÿฅฐ..

Tulijiandaa baada ya hapo akaniomba nichukue na kitambulisha changu๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ nilifanya hivo then baada ya hapo tuliwaaga wakiokuwepo nyumbani tukatoka๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ..

Ni raha sana kuolewa na mwanaume mnaendana afu awe na maisha ya kifahari mkiwa mnatoka mnajichagulia tu leo tutoke na gari gani๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ...

Na mkiwa mnatembea muda wote kaushikilia mkono wako kiatu kikifunguka kamba anainama kunifungia lol nilijikuta nampenda Rouhy kama sina akili vizuri๐Ÿ˜‚

Mtoko wetu wa siku hiyo uliishia Bank๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ๐Ÿ’ƒ๐ŸผBabe alienda kunifungulia account Bank๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ tulifanya exchange ya zile pesa nilizopewa na auntie wa majuuu๐Ÿค—๐Ÿค—

Baada ya hapo nikafungua account nikazieka... Rouhy pia alinihamishia kitita cha pesa kutoka kwenye account yake akaniingizia kwa acc yangu๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Aliniambia nitakupa chochote kile kilicho ndani ya uwezo wangu Maya๐Ÿฅน wewe ni mwanamke wa maisha yangu

nami ndo mwanaume wako wa kwanza naahidi kukujengea historia nzuri ya mapenzi na kamwe sitokuja kukuliza๐Ÿซ‚..

Wewe na huyo mharifu wako mlishawahi kuambiana hivo??... au nyie kazi yenu ni kukoromeana tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ itaendeleaaaa....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜11 "By Babie Love

0742133100"

Rouhy tangu siku aliponitoa bikra hakuna zawadi aliyonipatia zaidi ya asante pamoja na maneno matamu๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„...

Mpaka niliwaza nimnunie nimejitunza wee nakuja kuambilia asante na kubembelewa na maneno matamu tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila huenda kuna kitu kizuri ananiandalia siwezi kumnunia chibaba wangu jamani๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿ™Œ tayari moyo ulikuwa umeshajaa asilimia mia kwa kwa Rouhy...

Siku hiyo usiku baada ya kula Rouhy aliniomba tuongee...nikamwambia sawa Darling I'm hereโค๏ธ

Mme wangu alitaka kujua malengo yangu...je ninaendelea na masomo??.... nina plan kupata mtoto nikiwa na umri gani ninatamani kuwa nani kwenye future yangu...

Mimi ni mtu wa aina gani napenda vitu vya aina gani kitu gani sipendi kufanyiwa kama mnavojua sisi tulijuania...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/i-love-you-dady-11-by-babie-love

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending ๐Ÿ“ Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi i-love-you-dady
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10
 I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜17 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜17 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜19 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜19 "By Babie Love 0742133100"
 I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜09
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜09
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜20 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜20 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜15
I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜15
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜18 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜18 "By Babie Love 0742133100"
 I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜12
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜12
I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜16
I LOVE YOU DADY๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜16
 I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜07
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜07
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜13
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜13
 I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜08
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜08
 I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜14
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜14
 I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜06
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜06
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜04
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜04
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜05
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜05
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 85

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 85

1.37K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 86 na 87

1.36K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89

530
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

342
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*

IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*

167
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

159
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹  11....15

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 11....15

100
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 15

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 15

33
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 13

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 13

23
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 11

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 11

22

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.96K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.65K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.89K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.56K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

3.05K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

3K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.83K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.71K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.69K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹  11....15 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari ๐Ÿš™ lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 15 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 15 (๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 14 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 13 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 12 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) ๐Ÿ‘‰ Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....๐Ÿ‘‡ Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 11 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) ๐Ÿ‘‰ Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...๐Ÿ‘‡ Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 85
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema โ€œsasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.โ€ Dada Maria alicheka na kusema โ€œwewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest