I LOVE YOU DADY ๐โค๏ธ๐12
"By Babie Love 0742133100"
Basi bwana namimi nikaanza kumiliki mkwanja๐คฃ๐คฃ๐คฃnilimshukuru sana mme wangu..
Ni wachache sana walio na moyo wa kutoa๐ฅน๐ฅน๐unaeza ukaolewa na mwanaume ana kila kitu lakini mbinafsi๐
Namshukuru Mungu Rouhy wangu hakuwa mbinafsi pesa ipo na anaitoaaaa...baada ya kumaliza kilichotupeleka bank tulipitia Veta Rouhy aliniambia natakiwa nijifunze kudrive๐๐ผ..
Hizi zitaniuwa nilijisemea tu kichwani๐๐๐nilichukua form ya Driving baada ya hapo bae akaniuliza najisikia kwenda wapi anipeleke๐คฃ๐คฃ
Hahahaaaa nilimwambia popote tu๐๐๐ akasema sawa mke wangu mzuri๐๐๐yani haezi kuniita mke wangu kavu kavu bila kusema mrembo au mzuri๐๐..
Rouhy alinipeleka sehemu moja hivi pale pale masaki wanachoma mishikaki mitamu niajee๐๐๐ tulikula mishikaki nyieeeeee๐๐..
Mara anilishe mara aniambie anapenda ninavotafuna๐๐yani raha juu ya raha au ndo mambo ya penzi jipya hahaaaaaaa..
Baada ya kula mishikaki akaniuliza tena Do you need something maybe wig๐ฅฐ๐ฅฐ na vitu vya vacation ๐๐nikamwambia yes babe๐
Nilipelekwa tena mlimani City tukaenda kufanya shopping special for vacation๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผmme wangu alinichagulia vile vinguo fulani hivi๐
Mnazijua buana zile nguo za chumbani zile๐๐ mwanaume anapenda mizagamuo yule hahahaaa... tuliendelea na shopping mida ya saa nane mom akanipigia..
Nilipokea simu nikamwambia hey mom.... akaitikia hi Maya uko sawa.... nikamwambia yes mom niko okay..
Mko wapi Rouhy hakuchoshi kweli??? Hahahaa hapana mom niko okay thanks ๐ฅฐ๐ฅฐ...ok muwahi basi kurudi chakula kinapoa huku๐ค๐คhahaa nyie mama mkwe si ndo huyuuu๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ..
Ushawahi kupigiwa simu na mama mkwe akwambie chakula tayari au wewe ndo unakurupushwa uende kupika๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nilimwambia mama hatuchelewi tunamalizia shopping hapaa๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐOK sweetheart take care nikamwambia thanks mom I love youuu๐ฅน๐๐๐...
Love you too Maya ๐๐.... Rouhy aliona wivu akaninyakua simu ๐คฃ๐คฃakamuuliza mama kwa hiyo mimi sifai tena mom๐ฅน
Mbona hata huniulizii unamjali Maya peke yake๐๐ hahahaaaa mama alimbembeleza aisee wanapendana sana ile familia๐ฅน๐ฅนโค๏ธ..
Basi tulicheka wenyewe pale tukaagana na mama tukamalizia shopping tukarudi nyumbani๐ฅฐ๐ฅฐ..
Tulipokelewa home๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ mizigo yetu ikapelekwa chumbani sisi tukabaki chini ukumbini tunapiga story na bibi na shangazi pamoja na Mom...
Waliuliza ni lini tumepanga kwenda vakei Rouhy akamwambia et anasubilia tu mimi niamue hahahaa jamani yani kila kitu naulizwa mim๐
Basi bwana tuliandaliwa chakula pale tukala mmmhhh kwa ulaji huu sijui kama nitakosa kuwa na kitambi maana all the time ni vitamu tu๐คฃ๐คฃ๐..
Baada ya chakula shangazi alituaga akatuambia yeye kesho anarudi kwake huko majuuu shangazi aliolewa huko nchi za nje๐ฅฐ๐ฅฐna ni rich auntie kinoma..
Alituhusia pale namna ya kuitunza na kuilinda ndoa baada ya hapo akatuambia tukishatoka vacation tupite kwake tumsalimie๐ฅฐ๐ฅฐ
Rouhy alikubali na akamuahidi shangazi ndoa atailinda na kuitunza vile vile๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐbasi bwana siku hiyo tena tulitoka kwenda kumtafutia shangazi zawadi za kwenda nazo majuu๐ฅฐ๐ฅฐ
Tulimfanyia shopping ya vitu vya kiafrica vitu asiliaaa kama mihogo...viazi vitamu๐๐๐nyanya chungu๐๐๐ni vingi sana tulinunua vikafungashwa na siku iliyofuata auntie aliondoka Tanzania rasmi...
Tulibaki wapweke sana๐ฅน๐ฅน shangazi alikuwa changamsha kambi mtu fulani hivi very charming ๐ฅฐ๐ฅฐ๐๐๐๐..
Zilipita kama siku tatu hivi tukiwa tunajiandaa na safari yetu ya Paris kwa ajili ya kwenda kuenjoy zetu honeymoon ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ..
Safari ilikamilika hatimaye mimi na Rouhy tuliondoka zetu Tanzania kuelekea Paris huko ufaransa๐ฅฐ๐ฅฐndiko nilikochagua kwenda kufurahia utamu wa ndoa...
Baada ya kufika Paris tulipokelewa kwenye hotel tulokuwa tumefanya Booking ๐๐ tulikuta maandalizi ya kufa mtu...
Chumba kimepambwa maua ya kuvutia yani kinashawishi tu minyanduano๐pale chumbani tulikuta Wine za kutosha๐ท๐ท ๐๐
Rouhy for the fast time akanishawishi ninywe wine nyieeee kilichotokea baada ya kulewa ni aibu๐๐๐
Itaendeleaaaa...
WhatsApp 0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

.jpg)

.jpg)