LOVE????
????????????????Brother najua uko hapo na mpoa wako unafikiria mnapendana juu hakuna kelele nyumbani mnaelewana vyema.Sasa ukitaka kujua kama kweli unapendwa nitakupa kisa kidogo ndio uone iwapo unapendwa au la!
Sasa hapo 2017 nilijaribu kuoa kidogo hata kama sikuwa nimejipanga lakini pesa nazo hata kama zilikuwa kidogo nilikuwa nazo.Nilipatana na mrembo kwa jina la Jacinta.Mrembo moto wa kuotea mbali,tulikuwa tunapendana hadi siku moja nikapewa leave ya 30days(1 month)
Kutoka kazini.Hizi siku nilizopewa nikaamua nataka kuona iwapo huyu Jacinta ni wife material or not,iwapo kwa kweli ananipenda kwa dhati amah anapenda pesa zangu.
Mimi sikumwambia Jacinta kuwa nimepewa leave amah aje.
The follow day alikuwa anajua Mimi kazi huwa naamkia asubuhi ilivyokawaida lakini sikuamka hiyo siku????.
Akaanza mazungumzo;
Her:Beb mbona leo huendi kazini?
Me:Akh wacha tu nashindwa nitaanza kukuelezea kutoka wapi?
Her:Nambie my Darling kwani kuna shida?
Me:Ndio Beb
Her:Gani hiyo?
Me:Kazini kuna kitu kilipotea Jana Sasa tukasimamishwa kazi Mimi na Rafiki yangu Vinny?
Her:Mkasimamishwa kabisaa amah?
Me:Eeee sijui kama watatuita????.
Her:Wue,Beb Sasa tutaishi aje bila pesa huku kwa wenyenye?
Me:Mungu ataprovide tu my Darling?
Her:Kuprovide aje????,Eeiiiish Mimi sioni nikikaa huku nitaenda kwetu nyumbani.
Me:Uende kwa nini mpenzi?
Her:Haya maisha yatakuwa magumu sana.
Me:Wah! Unaweza nivumilia huwezi jua ya kesho my love.
Her:Lewamo Mimi Sina uvumilimu.
For the first time huyu mrembo akaniita kwa jina langu after kuoana for 6 months time????.Mrembo akatoka nje akaniwacha nimeketi juu ya kiti huku nikiwa najifanya niko na mafikirio chungu mzima.
Baada ya kitu kama 30minutes hivi akarejea.
Me:Beb surely tunaongea vile tutaweza tatua hayo matatizo kisha waniondokea.
Her:Hivi wewe una nini la kuniambia?
Me:Beb tulia tutaongea tusikizane.
Her:Kusikizana nini?
Me:Beb akh kuna shida gani sie watu wakubwa tunaweza ongea tusikizane.
Her:(Kimya)
Me: Sweetheart mbona Kimya.
Her:...
Part 2 is coming.
Maoni