Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

EPS 2 SIMULIZI;MCHEPUKO WA RAIS
Gonga94 · Stories

EPS 2 SIMULIZI;MCHEPUKO WA RAIS

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
EPS 2
SIMULIZI;MCHEPUKO WA RAIS
________________________________
CHAMA HURU MEDIA

SEHEMU ILIYOPITA.....
Matukio ya Sehemu iliyopita,Gray ambaye ni Bwana harusi amemuua mke wake Leyla masaa machache baada ya kufunga ndoa yao,Askari polisi wakaanza kumtafuta kila kona ndani ya hoteli waliyokuwepo lakini hawakufanikiwa kumpata ingawaje walitumia mfumo wa CCTV kamera.

Maswali yalikuwa mengi sehemu iliyopita,kwanini Gray amemuua mke wake Leyla..! Na imekuwaje askari polisi wafike eneo la tukio mapema Sana?.

Vilevile tuliona jinsi gani Maumivu na machungu ya Baba Leyla kumpoteza mtoto wake akajikuta akitaka kwenda kumpiga Mama yake na Gray aliyekuwa anahojiwa na askari polisi..

SONGA NAYO.....
Baba Leyla akaunyenyua mkono juu akitaka kumpiga mama Gray,endapo ngumi aliyoikunja ikimpata Mama Gray lazima atapatwa na maumivu makali,lakini kwa bahati nzuri mkono wa Baba Leyla ukazuiliwa na askari polisi mmoja aliyewahi kabla Baba Leyla hajafanya alichokikusudia.
"Baba naomba utulie" alisema Askari polisi huku akiwa ameushika mkono wa Baba Leyla.

"Niachee...niache nimuue huyu mjinga,mwanae kaniulia mwanangu kwanini nisimuue,hee...!namuua" (Baba Leyla akaendelea kulalama)

Askari polisi aliyekuwa anachukua maelezo kwa mama Gray akasema
"Mzee tunakuheshimu Sana,endapo ukiendelea usumbufu utaenda kunyea ndoo" (utaenda jela)

Baba Leyla akamtazama Askari polisi yule kwa hasira,alitamani kumpiga lakini hawezi kushindana na mamlaka,Baba Leyla akamtazama mama Gray ambaye anatokwa na machozi, hakujali hilo,akatupa macho kwa mke wake akawaona wanawake watano wakiwa wamemzunguka mke wake wakimpepelea,Mama Leyla ameshindwa kusitahimili taarifa za kuuawa kwa mtoto wake Mpaka akajikuta akipoteza fahamu(kuzimia).

Baba Leyla akatumia sekunde saba kutazama Pande zote za ukumbi ambao ulikuwa unatakiwa kutumiwa na mtoto wake ,lakini imekuwa Kama ndoto kwake kumpoteza mtoto wake wa pekee.Baba Leyla akaanza kutokwa na machozi,alishindwa kabisa kuvumilia kinachoendelea.

Askari polisi wa kwanza "pole Sana Mzee wangu,nikuhakikishie kwamba muuaji atakamatwa hawezi kwenda sehemu yeyote ile"

Askari wa pili akiwa ameshika kalamu na karatasi "Mzee wangu naomba ujipatie muda wa kutulia ili usije Fanya maamuzi mabaya, na ukiendelea kutoa vitisho kwa mama huyu ,tutakukamata bila kujali heshima yako uliyonayo nchini Tanzania"

Baba Leyla akatoa kitambaa (leso)akajifuta machozi kisha akawaacha Askari wale wawili wakiwa wamesimama na mama Gray,ukumbi ambao muda mchache uliopita ulitumika kufurahia uwepo wa wanandoa wapya umegeuka kuwa ukumbi wa maombolezo.Ndugu,jamaa na marafiki wa familia ya Leyla walikuwa wanahuzuni kubwa ,lakini pia waliingiwa na chuki dhidi ya familia ya Gray.

**
Baba leyla anafahamika kwa Jina la Jamal Ismail Omar,ni miongoni Mwa majina maarufu nchini Tanzania, huyu ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki viwanda vya utengenezaji wa vinywaji pamoja na mabasi yanayosafirisha abiria na mizigo mikoa mbalimbali nchini.

Jamal Ismail Omar,asili yake ni kutoka Somalia,alikuja Tanzania miaka therathini na tatu iliyopita kwa ajili ya kufanya biashara,akapapenda na kuanzisha makazi ya kudumu ndani ya mkoa wa shinyanga wilaya ya kahama.

Sophia mihayo,ni mama yake mzazi na Marehemu Leyla,huyu ni Mtanzania kutokea mkoani singida,walikutana na Jamal wilayani kahama,mkoa wa shinyanga. Mahusiano yao yalizaa matunda wakampata Leyla ambaye ni mtoto wao wa pekee.

Leo hii mtoto wao wa pekee ameuawa na mume wake siku ya harusi,Maumivu wanayoyapitia Jamal na Sophia hayakuwa na kifani,Mama Leyla ameshindwa kustahimili taarifa za kumpoteza mtoto wake amejikuta akipoteza fahamu,wageni waalikwa wamepata jukumu la kumpepea Sophia.

**
Upande wa pili kwa inspekta Alexander Dickson alikuwa nje ya hoteli na askari wengine wakiendelea kufanya uchunguzi wa kina ,walitumia Mpaka mbwa waliofundishwa mafunzo ya kijeshi lakini hawakuweza kumuona Gray.

Inspekta Alexander akiwa anamulika mulika ukutani akasema
"Hii inashangaza Sana,muuaji ameelekea wapi baada ya kufanya tukio..!"

Askari mmoja akajibu.
"Kwani mkuu ilikuwaje ukafahamu Kama hapa kuna mauaji yametokea?"

Inspekta Alexander akajibu
"Kuna mtu alinipia simu wakati nikiwa ofisini kwangu"

Askari akasema
"Vipi Kama aliyepiga simu akawa ametuchezea huu mchezo..?"

Inspekta Alexander akamtazama askari wake
"Afande Morice, kazi yetu ni kufanya uchunguzi wa kina Mpaka tupate mwafaka wa haya yote,majibu yetu yatapatikana endapo tukimpata muuaji,kuhusu aliyepiga simu naomba tuachane nayo kwa sasa,sawa?"

"Sawa mkuu"

Inspekta Alexander akamuacha afande Morice aendelee kusaidizana na askari wenzie kuchunguza kuta za hoteli ili Kama muuaji ametoka ndani ya jengo la hoteli wafahamu.
Ndani ya mjengo wa hoteli kubwa ya kifahari, askari polisi walikuwa wanaendelea kufanya uchunguzi wao kila kona,waliingia Mpaka stoo na jikoni lakini jitihada zao hazikuzaa matunda.

Gray ametoka kufanya tukio la mauaji kwa mke wake na cha ajabu haonekani alipoelekea,Askari polisi waliumiza vichwa vyao usiku wa Leo kwa sababu wanamtafuta mtu ambaye hawafahamu yupo wapi,kwa wakachokifanya askari polisi ni Kama mchezo maalufu kutafutana unaochezwa na watoto wadogo.

**
Inspekta Alexander Dickson akasogea eneo la waandishi wa habari waliokuwa wamesimama kando ya geti kuu la kuingilia hotelini,walipomuona wakamsogelea huku wakiwa wamebeba vifaa vyao vya kurekodia sauti na picha mjongeo(video).

Askari polisi watatu wakasogea karibu na inspekta Alexander kwa ajili ya kumpatia ulinzi na usalama dhidi ya waandishi wa habari.Maswali ya waandishi wa habari yakaanza kuulizwa,mwandishi mmoja wa kike akasikika akisema.

"Kwa majina naitwa Caren jumanne,natokea katika Gazeti la Mtanzania,nilikuwa naomba kufahamu ni hatua ipi ambayo jeshi la polisi limefika baada ya tukio la mauaji kutokea ndani ya hii hoteli?"

Inspekta Alexander Dickson akajibu
"Hatua tuliyofikia siyo mbaya Sana,wala siyo nzuri Sana ,naomba mnielewe tu,kwa sasa siwezi kuongelea kinachoendelea Mpaka pale tukikamilisha taratibu zote,lakini niwahakikishie tu,mtuhumiwa atakamatwa na ataadhibiwa kwa mujibu wa vifungu vya sheria ya Tanzania" Inspekta Alexander hakutaka kuendelea kufanya mahojiano tena na waandishi wa habari,akageuka na kurudi kuendelea kufanya uchunguzi.

Waandishi wa habari walitamani kuuliza maswali mengi kwa inspekta Alexander lakini hawakupatiwa muda huo tena kwa sababu Alexander ana uchu wa kumpata muuaji,na hii ndio sifa pekee inayomtofautisha inspekta Alexander na wapelelezi wengine waliopo nchini Tanzania, yeye hupenda kulitafutia ufumbuzi tatizo lililopo mbele yake mpaka pale afanikiwe.

Waandishi wa habari wakaanza kurusha matukio mbalimbali yanayojili pamoja na alichokisema inspekta Alexander Dickson muda huu,kila mwanahabari alikuwa anajitahidi kurusha haraka kwenye chaneli yake anayofanyia kazi.

**
(Dar es salaam; 09-50usiku)
Saa Tatu na dakika hamsini usiku,vyombo mbalimbali vya habari vilianza kuripoti taarifa ya habari kuhusu tukio la mauaji ya Leyla ambaye ni Binti wa pekee katika familia ya mfanyabiashara mkubwa nchini Tanzania.

Kwenye sebule moja ya kifahari ambayo inavito vya thamani,alionekana mwanaume mmoja mwenye umri wa makamo ya miaka arobaini akiwa anatazama runinga,alivalia bukta nyeusi pamoja na tisheti nyeupe.
Sura yake ilishamili tabasamu baada ya kusikia sauti ya msomaji wa taarifa ya habari.

“Shinyanga” Ndivyo alivyoanza msomaji wa taarifa ya habari katika kituo kimoja kikubwa cha runinga.
*“Jeshi la polisi mkoani shinyanga linapenda kuujulisha umma juu ya tukio la mauaji lililotokea wilayani kahama ndani ya hoteli ya Malunga,tukio hili linamhusisha mtoto wa pekee katika familia ya mfanyabiashara Jamal Ismail anayefahamika Kama Leyla,kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Inspekta Alexander Dickson ambaye ni mkuu wa kitengo cha upelelezi mkoani shinyanga,amesema,Mtuhumiwa wa kifo cha Leyla ni mume wake aliyefunga naye ndoa siku ya leo,Mtuhumiwa anafahamika kwa jina la Grayson Mwailubi.Jeshi la polisi linawaomba wananchi kutoa taarifa pale ambapo mtuhumiwa akionekana uraiani"*
Msomaji wa taarifa ya habari ya dharura akaweka kituo na kuruhusu runinga kuonesha video ya mahojiano yao na inspekta Alexander Dickson.

Anayetazama runinga peke yake sebuleni akazidi kuachia tabasamu, haikuwa inafahamika ni nani na kwanini ameachia tabasamu baada ya kupokea taarifa zile.

Mwanaume yule akachukua simu yake aliyokuwa ameiweka mezani, akabofya batani mara kadhaa ,akatafuta namba ya mtu anayetaka kumpigia,akapiga.
Simu ikaanza kuita,baada ya sekunde kadhaa kupita simu ikapokelewa, Mwanaume Yule akasema.
"Kazi imeisha" Upande wa pili wa simu haukusikika,alipomaliza kusema maneno Yale akakata simu kisha akazima runinga,moja kwa moja akaanza kupiga hatua kuelekea chumbani kwake.

Maisha ya mwanaume huyu ni mazuri sana,nyumba yake inakila kitu kwa mahitaji maalumu ya mwanadamu,sofa ,meza na viti vyote ni vya kisasa zaidi.
Ukutani kulikuwa na picha ya huyu mwanaume akiwa amevalia suti nyeusi,tai ya bendera ya Taifa pamoja na saa ya gharama,chini ya ile picha kulikuwa na maandishi madogo yakiwa yana maana Fulani.

**
Upande wa pili kwa Baba Leyla (Jamal Ismail Omar),akasogea mbali kidogo na askari polisi kisha akatoa simu yake aina ya iPhone 15,akabonyeza kitufe cha kutunza namba halafu akachagua namba anayotaka kuipigia, Jamal Ismail akaipigia namba moja aliyoisevu 'Mr P'.

Simu ikapokelewa upande wa pili,baada ya simu kupokelewa Jamal Ismail akaiweka sikioni huku akiwatazama askari polisi ambao walikuwa bize kulinda amani kwa wageni waalikwa waliokuwa wamehudhuria harusi ya Bwana Gray na marehemu Leyla.

Baba Leyla (Jamal Ismail) akazungumza kwa sauti ya chini na iliyojaa hisia ya maumivu ndani yake.
"Nadhani kazi yako unaifahamu"

Upande wa pili wa simu sauti ya mwanaume ikajibu.
"Ndiyo mkuu"

Jamal Ismail akakata simu na kuirudisha mfukoni,akashusha pumzi 'huuuuu'.
Inspekta Alexander Dickson akaingia ukumbini huku akiwa ameongozana na askari watatu pamoja na wahudumu wa afya wawili ambao wamekuja kwa lengo la kumpatia huduma mama Leyla.

Wahudumu wa afya wakasogea mpaka kwa mama Leyla ambaye kapoteza fahamu, wakawaondoa wamama wote waliokuwa wamenzunguka mama Leyla,wakaanza kumpatia huduma ya kwanza.

Inspekta Alexander na askari watatu wakaanza kumsogelea Baba Leyla huku sura zao zikionekana kuwa za mkazo maana walimtazama kwa macho makavu Sana(kukaza sura),Baba Leyla akashindwa kuelewa Kwanini askari polisi wanamsogelea,alipotupa macho mkononi kwa insp.Alexander Dickson akamuona akiwa ameshika pingu,hofu ikaanza kumtanda Baba Leyla kila alipowaona askari polisi wanaomsogelea eneo alilosimama.

Kwa sauti ya chini Baba Leyla akajisemea
"Au wamenigundua nini?" (akavuta pumzi)

Inspekta Alexander Dickson na askari wenzake watatu wakafika aliposimama Baba Leyla, mapigo ya moyo ya baba Leyla yalikuwa yanamwenda mbio,kuna jambo ambalo baba Leyla analificha na hatamani askari polisi walijue.
Baba Leyla na Insp.Alexander Dickson wakatazamana machoni,ukimya baina yao ndio uliendelea kutawala,Baba Leyla anahofu ndani yake lakini inspekta Alexander Dickson anamtazama Baba Leyla kwa macho ya kiudadisi zaidi huku mkononi ameshika pingu.

.......
Soma full story kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0781858056

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

EPS 2 SIMULIZI;MCHEPUKO WA RAIS

EPS 2
SIMULIZI;MCHEPUKO WA RAIS
________________________________
CHAMA HURU MEDIA

SEHEMU ILIYOPITA.....
Matukio ya Sehemu iliyopita,Gray ambaye ni Bwana harusi amemuua mke wake Leyla masaa machache baada ya kufunga ndoa yao,Askari polisi wakaanza kumtafuta kila kona ndani ya hoteli waliyokuwepo lakini hawakufanikiwa kumpata ingawaje walitumia mfumo wa CCTV kamera.

Maswali yalikuwa mengi sehemu iliyopita,kwanini Gray amemuua mke wake Leyla..! Na imekuwaje askari polisi wafike eneo la tukio mapema Sana?.

Vilevile tuliona jinsi gani Maumivu na machungu ya Baba Leyla kumpoteza mtoto wake akajikuta akitaka kwenda kumpiga Mama yake na Gray aliyekuwa anahojiwa na askari polisi..

SONGA NAYO.....
Baba Leyla akaunyenyua mkono juu akitaka kumpiga mama Gray,endapo ngumi aliyoikunja ikimpata Mama...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/eps-2-simulizi-mchepuko-wa-rais

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi eps
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 15
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 15
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 14  © GAMBO ELVIS
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 14 © GAMBO ELVIS
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 23
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 23
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 24
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 24
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 17
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 17
.BABAMKWE epsd 19.
.BABAMKWE epsd 19.
NI WANGU PEKEANGU epsd   16.
NI WANGU PEKEANGU epsd 16.
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 18
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 18
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 5.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 5.
NI WANGU PEKEANGU epsd 3.  Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu
NI WANGU PEKEANGU epsd 3. Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 6.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 6.
 NI WANGU PEKEANGU epsd  5.  Alipoingia Franco akaubana mlango na kumwambia Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 5. Alipoingia Franco akaubana mlango na kumwambia Vanessa
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 19
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 19
NI WANGU PEKEANGU epsd  15
NI WANGU PEKEANGU epsd 15
NI WANGU PEKEANGU epsd  4.  Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 4. Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 25
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 25
MAPENZI  NI  HISIA TAAM  1-----2 epsd 1.
MAPENZI NI HISIA TAAM 1-----2 epsd 1.
NI WANGU PEKEANGU epsd 20
NI WANGU PEKEANGU epsd 20
BABAMKWE  epsd 3...4
BABAMKWE epsd 3...4
BABAMKWE epsd 11.
BABAMKWE epsd 11.
NI WANGU PEKEANGU epsd 14.
NI WANGU PEKEANGU epsd 14.
NI WANGU PEKEANGU epsd  11.
NI WANGU PEKEANGU epsd 11.
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 30
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 30
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 28
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 28
NI WANGU PEKEANGU epsd  7.  Franco akapiga goti chini kisha akaanza kumwambia
NI WANGU PEKEANGU epsd 7. Franco akapiga goti chini kisha akaanza kumwambia
SIKU YA KWANZA  EPSODE 1
SIKU YA KWANZA EPSODE 1
NI WANGU PEKEANGU epsd  17.
NI WANGU PEKEANGU epsd 17.
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 26
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 26
NI WANGU PEKEANGU epsd 18.
NI WANGU PEKEANGU epsd 18.
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 29
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 29
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

1.44K
AFANDE MILLAN😎 *season 3*  *64&65*

AFANDE MILLAN😎 *season 3* *64&65*

680
JOGOO WA KIENYEJI 1----5

JOGOO WA KIENYEJI 1----5

263
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.

220
SHAMIRA Sehemu ya 65&66

SHAMIRA Sehemu ya 65&66

215
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12.

201
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 13.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 13.

200
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 14.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 14.

171
SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3)

SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)

165
SHAMIRA 67 to 70

SHAMIRA 67 to 70

113

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.76K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.84K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.91K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.72K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*BILLIONS OF LOVE💓💓*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVE💓💓* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"💓😽 BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea💵" Nyie njooni niwaambie kitu ……… mnazijua chapati? Sambusa je ? 😂😂 nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

SHARON 1 mpka 5 Post Mpya
SHARON 1 mpka 5
@majario LIVE

🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺 *SHARON* Sehemu ya 1 Kwa majina naitwa sharon hillary, mm ni mtoto wa 3 kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, so mm ni wa mwisho kuzaliwa wa kwanza ni kaka yetu anaitwa...

Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy 🇸🇳 Post Mpya
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy 🇸🇳
@majario LIVE

Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake. Kuna afisa mmoja wa benchi la Al Ahly alitaka kwenda,baada ya kuona kadi nyekundu imeshikwa...

SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3) Post Mpya
SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 SHAMIRA Sehemu ya 71 Mwandishi; lissa wa huru media Nikamwambia sawa nashukuru kama mimi ndo kiboko yako. Basi mchumba akaenda kuoga akatoka mwepesi kabisa akavaa kisha akachuku pochi aknihasabia laki 8 .akanipa...

🚨 SIMAMA KWANZA USIPITE! 🌍 BATTLE YA WAREMBO WA DUNIA Post Mpya
🚨 SIMAMA KWANZA USIPITE! 🌍 BATTLE YA WAREMBO WA DUNIA
@majario LIVE

Tanzania 🇹🇿, Kenya 🇰🇪, Congo 🇨🇩, Burundi 🇧🇮, Rwanda 🇷🇼, South Africa 🇿🇦 na USA 🇺🇸 Wote wamevaa rangi za nchi zao… lakini NANI AMEUA STYLE ZAIDI? 👑🔥 ⚠️ CHAGUA NCHI MOJA...

SHAMIRA 67 to 70 Post Mpya
SHAMIRA 67 to 70
@majario LIVE

62 MPK 70 (SEASON THREE) 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 SHAMIRA Sehemu ya 67&68 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikiwa nawaza sana pale akaingia husna .akagonga mlango...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
@majario LIVE

:01 Natafuta ni wapi nianzie na ni wapi nimalizie, sijui kabisa yaani kwa maana moyo wangu, roho yangu, na hisia zangu vyote kwa pamoja vimejawa na furaha isiyo kifani. Maisha yangu ni...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 14. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 14.
@majario LIVE

Alinilegesha jamani king anajua kuandaa, anajua kutia sio Polepole jamani, nilijikuta nimempa yote bila kumbania, jamaa kumbe kiu ilikuwa kubwa na Mimi nilikuwa naukata kweli make kufanya hii kitu na...

AFANDE MILLAN😎 *season 3*  *64&65* Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 *season 3* *64&65*
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi nikapata na kipaji cha kubembeleza huu usiku mana zena hakuwa sawa kabisaa, na alikuwa na stress mnoo maskini na ni baada ya kumkubusha ya nyuma uko maskini, tulibembelezena mpka...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 13. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 13.
@majario LIVE

Tulifika nikakuta mke mwenzangu tayari yupo ukweni na anamimba japo ilikuwa haionekani, nilitukanwa matusi yote, Mimi tasa, maskini sina msaada wowote, nilikuwa niwakulia tu ukizingatia, sijawai tumia hats uzazi wa...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Baada ya king kuzimia,ilibidi apate huduma ya kwanza, Mimi ilibidi niludishwe kwenye Sheree, tulimaliza saa Saba usiku, nilikuwa nimechoka mno, nilioga nakuingia kulala, hata vicram pia alikuwa hoi,...

JOGOO WA KIENYEJI 1----5 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 1----5
@majario LIVE

🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 sehemu ya 1 Mwandishi:lissa mwalla Naitwa Talya jones,ni mtoto wa pili katika familia ya watoto wawili,wakwanza kakangu tommy na mie ndio last born sasa,baba yetu alikua mwanajeshi na mama yetu ni nesi.baba...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11. Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua...

SHAMIRA Sehemu ya 65&66 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nilimuangalia sana nikamuuliza unamuongeleaa mtoto gani kwanza .akanambia ahaa si mtoto wangu ambae ulikuwa unakujaga nae nyumbani kuomba msada ama.nikasema sawa kumbe unakumbukumbu. Unahisi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest