Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
Gonga94 Β· Stories

MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????

Kwa jina naitwa Irene ni mtoto wa pili kati ya watoto wanne tuliozaliwa kwenye familia yetu. Watoto wa kike tupo watatu na mtoto wa kiume ni mmoja tu ambae ni mdogo wetu wa mwisho.

Karibu katika mkasa huu ulionikuta wa kuangukia kwenye penzi zito la mzoa taka.

Siku hiyo nilikuwa chuoni mimi pamoja na wanachuo wenzangu, tulikuwa tukifurahi na kupongezana mimi pamoja na wanachuo wenzangu baada ya kumaliza kufanya mitihani yetu ya mwisho ya kuhitimu elimu yetu ya chuo kikuu.

Kila mmoja wetu alikuwa kwenye furaha na kwakuwa zilibaki wiki mbili ili graduation iweze kufanyika ya kuhitimu niliamua kwenda nyumbani kwa ajili ya kutuliza akili yangu.

Kila mtu alinipongeza kwa kumaliza mitihani yangu vizuri hasa wazazi wangu na walipanga kunifanyia sherehe ya kunipongeza.

Siku mbili zilipita nikiwa naishi nyumbani na mara nyingi nilikuwa nikibaki mwenyewe tu kwani dada yangu alikuwa ameshaolewa tayari na wadogo zangu walikuwa wakisoma shule za bweni na walikuwa shuleni kwa wakati huo.

Nikiwa nyumbani peke yangu nilisikia mtu akigonga geti kwa nguvu, nilitoka nikiwa nimejifunga kanga na ndani nilikuwa sijavaa nguo yoyote ile zaidi ya kuvaa chupi tu.

Macho yangu yalimshuhudia kijana aliyekuwa amevaa nguo zilizochakaa huku akiwa na mkokoteni wenye taka ndani yake.

"Mambo mrembooo wangu" alinisalimia huku akiniita mrembo wake, nilibaki nikishangaa sababu ndiyo kwanza siku ya kwanza naonana nae lakini cha ajabu hakuonesha ata kuniogopa licha ya yeye kutoa kila ina ya harufu kwenye mwili wake kutokana na nguo zake kuwa chafu.

Sikutaka kumpa nafasi ya kuendelea kuongea zaidi ya kumwambia. "Ongea kilichokuleta sitaki mambo ya kuniita mrembo hapa"
Licha ya mimi kumwambia vile haikumfanya aache kuniitaa Mrembo mwisho niliamua kuwa mpole mbele yake na kumuuliza kilichomleta.

Mzoa taka aliniambia kuwa anafanya kazi ya kuzoa taka na aliniuliza kama kutakuwa na takataka ndani ya nyumba yetu ili aweze kuzizoa.

Kwakuwa ndani kulikuwa na takataka nilimwambie anifate kwa ajili ya kwenda kuchukua takataka zilizokuwa kwenye dustbin.

Kumbe kipindi natembea alikuwa akitazama umbo langu na aliona rangi ya chupi yangu niliyokuwa nimevaa, nilisikia akikohoa na kuniambia.
"Mrembo hongera sana umebalikiwa kuwa na umbo linalovutia, hapa natamani nikutongoze ila nashindwa nianzie wapi" aliongea bira kuniogopa.

Niliamua kumjibu sababu sikutaka kutengeneza mazoea na yeye "Asante kwa kunisifia ila fata kilichokuleta na takataka hizi hapa unaweza kuzoa nakuondoka" nilimuonesha na nilichokuwa nikisubiri nikuona anazoa takataka nakuondoka.

"Mimi nilijua tu watoto mnaotokea kwenye familia za watu wenye pesa huwa mnatudhalau sana sisi wanaume wa hali ya chini, ila uzuri tuna uwezo wa kuwalizisha kimapenzi mpaka mkasahau wanaume mlionao" aliongea huku akizoa takataka na mimi sikutaka kujihangaisha na maneno yake.

Baada ya kumaliza kuzoa taka nilimlipa pesa yake nakuondoka.

Siku iliyofata mzoa taka alikuja mida kama aliyokuja siku iliyopita na alinikuta mwenyewe tu.

Nilishangazwa na ujio wake maana hakuwa na mkokoteni wa kubebea taka hivyo ilibidi nimuulize.
"kipi kilichokuleta kwenye hii nyumba sababu sioni mkokoteni wako?"
Baada ya kumuuliza mzoa taka aliamua kunijibu.
"Wewe ndiyo umenileta kwenye hii nyumba"
"Mimi!?" ilibidi nimuulize na mzoa taka alinijibu kuwa ni mimi.

Nilishindwa kumwelewa anashida gani kwani nilipomuuliza tatizo lililomfanya akawa pale aliishia kunisifia kuwa mimi ni mzuri na anapenda kuniona mbele ya macho yake.

Niliona kama ananipoteza mda tu hivyo nilimwambia atoke haraka nje ya uzio wa nyumba yetu ila nilishangaa kumuona akizidi kunisogelea na aliponifikia alinikumbatia kwa nguvu.

Nilibaki nimepigwa na butwa kwani sikuelewa ametoa wapi ujasiri wa kunishika hasa ukiangalia alikuwa mchafu tofauti na mimi.

Alizidi kunikumbatia na kwakuwa nilikuwa nimeshazoea kushinda na kanga alinigusa na mhogo wake ambao tayari ulikuwa umeshasimama.

Nilishituka baada ya kuguswa na mpini wake hivyo ilibidi nitumie nguvu kujitoa kwenye mwili wake na baadae nilimgeukia na kumpiga kibao.
Licha ya kumpiga kibao Mzoa taka alicheka na kuongea "Wewe ata unipige ila tayari nimeshakukumbatia na hapa nilipo sijiwezi kabisa mrembo natamani twende tukalale wote sasa ivi" aliongea bira ata kuwa na aibu na nilipotazama kwenye zipu ya suruali yake ndipo niliposhuhudia uumbaji wa mungu kwani alikuwa na mhogo mkubwa licha ya kuwa kwenye suruali ila tayari nilikuwa nimeshagundua kuwa mzoa taka ana mpini mkubwa.

Kiukweli ndani ya moyo wangu nilikiri kuwa mzoa taka amejaliwa kuwa na umbile kubwa kutokana na jinsi palivyokuwa pametuna kwenye suruali yake.

Sikutaka kujali kuhusu ukubwa wa umbile lake zaidi ya kuingia ndani na kuelekea jikoni. Sijui mzoa taka kwenye kichwa chake alikuwa akifikiria nini tu kwani alivyoniona nimeingia ndani na yeye alianza kunifata kwa nyuma huku mimi nikiwa sijui.

Nilifika jikoni na kuchukua beseni la maji machafu kwa ajili ya kwenda kumumwagia ila nilivyogeuka nilishangaa kumuona akiwa nyuma yangu.
"Nani kakupa ruhusa ya kuingia humu ndani bira ruhusa yangu!?" nilimuuliza lakini mzoa taka hakunijibu zaidi ya kuendelea kutabasamu.

Sikutaka kujali kama ni ndani, niliamua kummwagia maji mzoa taka yaliyokuwa kwenye beseni.

Baada ya kummwagia maji mzoa taka aliamua kuongea.
"Hauna mengine uje unimwagie sababu na mda mrefu sijaoga" aliongea huku akiwa hana wasi wasi wowote ule.
"Toka ndani ya hii nyumba haraka" nilimwambia kwa msisitizo.

Na kumbe bwana kitenge nilichokuwa nimejifunga kilianguka chini na nguo ya ndani tu ndiyo ilionekana kwenye mwili wangu.

Mzoa taka alianza kunitamani baada ya kuona chupi yangu na nilishangaa kumuona akivua suruali yake pamoja na boxer iliyokuwa haitamaniki.....ITAENDELEA.
full story ????⬇️ watsapp Group
https://chat.whatsapp.com/LWAnH0xOJzHDJxtK0brJIu
Tangazo - GOAL
GOAL
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????

MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????

Kwa jina naitwa Irene ni mtoto wa pili kati ya watoto wanne tuliozaliwa kwenye familia yetu. Watoto wa kike tupo watatu na mtoto wa kiume ni mmoja tu ambae ni mdogo wetu wa mwisho.

Karibu katika mkasa huu ulionikuta wa kuangukia kwenye penzi zito la mzoa taka.

Siku hiyo nilikuwa chuoni mimi pamoja na wanachuo wenzangu, tulikuwa tukifurahi na kupongezana mimi pamoja na wanachuo wenzangu baada ya kumaliza kufanya mitihani yetu ya mwisho ya kuhitimu elimu yetu ya chuo kikuu.

Kila mmoja wetu alikuwa kwenye furaha na kwakuwa zilibaki wiki mbili ili graduation iweze kufanyika ya kuhitimu niliamua...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mahaba-ya-mzoa-taka-01

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.18K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

1.91K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest