VYOTE NDANI GONGA94
MAHABA YA MZOA TAKA 10 ππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Tulipokaribia kufika nyumbani nilimwambia anisubiri ili nikaweka mazingira sawa na baada ya kuhakikisha kuwa mfanyakazi amelala nilirudi kumchukua mzoa taka na kumpeleka mpaka chumbani kwangu.
Tulivyofika chumba mzoa taka alitaka tuanze kufanya mapenzi mida hiyo hiyo ila mimi sikutaka kwani nilitamani siku hiyo mzoa taka awe kwenye hali ya usafi ili nimfaudu vizuri.
Kwakuwa alikuwa na bustani ya kutosha nilimwambie aende akajifanyie usafi na kuoga vizuri. mzoa taka alienda bafuni na baada ya mda alirudi akiwa hivyo hivyo uchi huku akiwa tayari ameshajifanyia usafi.
Kiukweli siku hiyo niliamua kumpa ushirikiano wa uhakika na kumpa mahaba ambayo sikuwahi kumpa tangu tulipoanza kufanya mapenzi.
Mzoa taka alikuwa akiweweseka kwa raha nilizokuwa nikimpatia na nilijisahau kabisa kama sipo peke yangu ndani ya nyumba yangu, sikujua kama sauti zetu mfanyakazi alikuwa akizisikia au la ila tuliendelea kuzagamuana na wote tulijikuta tukipitiwa na usingizi baada ya shughuli pevu.
Tangu siku hiyo ilikuwa tabia yangu ya kumuingiza mzoa taka ndani ya chumba cha mme wangu na kiukweli nilikuwa staki kabisa Alex aweze kurudi nyumbani mapema yani nilitamani akae ata miaka 10 huko alikokuwa ameenda, kwakuwa kilikuwa ni kipindi cha kupokea mishahara nilimpatia kiasi cha pesa mzoa taka ili akatafute chumba chenye hadhi kidogo ili siku nikienda basi tuzagamuane kwenye mazingira yanayovutia pia nilimpatia na pesa ya kununua baadhi ya vitu vya ndani.
Siku hiyo baada ya geto la mzoa taka kukamilika nilienda kwenye geto lake kulala usiku na ilikuwa imebaki wiki moja ili Alex mme wangu aweze kurudi nyumbani.
Nakumbuka ilikuwa ni mida ya saa 7 usiku nikiwa kitandani mimi pamoja mzoa taka simu yangu iliita na mpigaji alikuwa mme wangu.
Niliamua kuipokea simu huku mda huo nikiwa nimelala kwenye kifua cha mzoa taka.
"Hello mme wangu, habari za kazi!?" niliongea baada ya kupokea simu.
"Njema kabisa Irene upo wapi kwa sasa!?" aliniuliza swali na nilishikwa na kigugumizi na kushindwa namna ya kumjibu hivyo niliamua kujifanya kuwa mtandao unasumbua na simsikii vizuri.
"Hello hello hello hello hello" niliongea kwa kurudia mara nyingi na baadae nilikata simu kisha baada ya hapo niliizima kabisa.
Mzoa taka alikuwa akiniangalia maigizo niliyokuwa nikiyafanya.
"Irene siungemwambia tu upo nyumbani kwani kulikuwa na ubaya gani!?" aliniuliza na mimi niliamua kumjibu sababu iliyonifanya nimkatie simu na kuizima.
"Je? kama yupo nyumbani sasa ivi, siitakuwa vyepesi kugundua kuwa mke wake nipo kwa mchepuko...!?"
"Una akili wewe mwanamke mimi sikuwaza huko kabisa" mzoa taka aliongea kwa kunisifia na baadae alinisogeza vizuri kwenye kifua chake na kuanza kuupapasa mwili wangu.
Tuliingia kwenye ulimwengu wa mahaba kwa mara nyingine na kitu kilichokuwa kikinifurahisha ni mzoa taka kunilizisha na mpini wake ulikuwa ukitoshea kwenye jembe langu vizuri pasipo kuongeza msumali wowote ule.
Baada ya kumaliza kufanya mapenzi tulilala na nilipoamka asubuhi niliwasha simu yangu na kukutana na jumbe mbalimbali kutoka kwa Alex mme wangu.
"Uko wapi!?, mbona hupatikani, mke wangu nipo nyumbani nimesharudi, umelala wapi leo!!?" hizo ni baadhi ya jumbe zilizokuwa zimetumwa na Alex nilinyenyuka kitandani bira kumuamsha mzoa taka kisha baada ya hapo nilielekea bafuni kuoga na baadae nilivaa haraka kwa ajili ya kuondoka.
Mzoa taka alishituka kutoka usingizini baada ya kusikia pulukushani zangu za kuvaa nakuniuliza.
"Kipenzi unaenda wapi asubuhi hii!?"
"Naenda nyumbani, Alex tayari amesharudi nyumbani" nilimjibu huku nikiendelea kuvaa.
Mzoa taka ilibidi anyenyuke kitandani akiwa uchi na kunisogelea.
"Huoni kama mmeo atagundua kuwa ulikuwa kwangu sababu ni asubuhi sana sasa ivi!?"
"Mimi hilo sijali Damian mhimu nataka niwahi kwenda nyumbani" niliongea huku nikimalizia kuvaa nguo.
"Unaniachaje Irene kipenzi!?, njoo unipe cha asubuhi basi" mzoa taka aliongea na mda huo mtalimbo wake ulikuwa umeshasimama.
Japo nilikuwa natamani kumpa penzi ila niliona itakuwa kazi kwa sababu tayari nilikuwa nimeshaoga asubuhi hiyo, ilibidi nimwambie nitarudi baadae lakini mzoa taka hakutaka kuniacha niende ivi ivi alinisogeza ukutani na kunibananisha huku akinipumulia kiukaribu zaidi.
Alinisogezea mdomo wake na mimi niliupokea na tulianza kukisiana.
"Basi inatosha nitarudi Damian" nilimwambia na baadae mzoa taka aliamua kunipa nafasi ya mimi kuondoka.
Niliondoka kwa ajili ya kuwahi nyumbani na sikuchukua mda niliweza kufika na kumkuta Alex akiwa bado kalala.
Nilifikiria cha kumwambia pindi atakapoamka na nikiwa nafikiria aliamka na kuniongelesha.
"Jana umelala wapi Irene!?" nilishituka kwa swali aliloniuliza.......ITAENDELEA.
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka

