Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
Gonga94 Β· Stories

MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya kuona ananilazimisha nilimtishia kuwa nitapiga kelele. ilibidi nimzuie mzoa taka nakumwambie akavae nguo zake huku nikiwa na sura ya ukauzu.

Mzoa taka alienda kuvaa nguo zake na baadae nilimwambia atulie ili niangalie mazingira ya kumtoa ndani ya nyumba yetu bira kugundulika.

Nilienda kuhakikisha mazingira vizuri na baada ya kugundua kuwa baba yupo chumbani kwake nilirudi haraka chumbani kwangu na kwenda kumtoa mzoa taka.
"Ondoka na ole wako nikuone hapa" nilimwambia huku nikimpiga mkwala asije kurudia tena kunichezea mchezo wa kufanya mapenzi na mimi bira ridhaa yangu.

Mzoa taka kabra hajaondoka alijitambulisha kwa jina la Damian na aliniambia kama nitalimisi penzi lake basi nimtafte kwa jina la "Damian mzoa taka".

Aliondoka huku nikimsindikiza kwa macho na baadae ndiyo nilipata mda wa kutafakari vizuri kile alichonifanyia mzoa taka.

Nilikuwa siamini kama Irene na urembo wangu wote nimefanya mapenzi na mzoa taka.
ilifika mda nilikuwa nikiomba iwe ndoto ila ukweli ulibaki kuwa pale pale kuwa nimefanya mapenzi na mzoa taka.
"Hapana haiwezi kuwa kweli sijafanya nae mapenzi" niliongea nikiwa mwenyewe chumbani na sauti yangu aliisikia baba yangu hivyo alisogea kwenye mlango wa chumba changu na kugonga.

Niliamua kuufungua na baadae baba aliniuliza mbona naongea mwenyewe. Sikutaka kumwambia ukweli zaidi ya kumuongopea.

Wiki mbili zilipita na mzoa taka sikuwahi kumuona tena nyumbani kwetu.

Wiki ya kwenda kufanya graduation ilifika, na mimi nilienda kujumuika na wahitimu wenzangu huku nikisindikizwa na familia yangu.

Miongoni mwa wahitimu wenzangu alikuwa ni Alex aliyekuwa boyfriend wangu.

Baada ya sherehe kutamatika mimi na Alex tulipiga picha za ukumbusho.

Wazazi wangu waliondoka baada ya sherehe kuisha nakuniacha niendelee kusherekea pamoja na wahitimu wenzangu.

Siku hiyo Alex hakutaka kukaa mbali na mimi, na usiku ulipofika mimi na Alex tulienda kulala pamoja.

Kiukweli ni kili wazi kuwa boyfriend wangu Alex alikuwa dhaifu sana kitandani kwani tulitumia mda mchache sana kufanya mapenzi na baadae Alex alilala nakudai kuwa hana hamu tena ya kuendelea kufanya mapenzi.

Nilijikuta nikilikumbuka penzi nililopewa na mzoa taka na kilichokuwa kikinitatiza ni kuhusu Alex kwani ndiye mwanaume niliyekuwa nikitegemea siku za usoni aje anioe.

Niliamua kulala na ilipofika asubuhi nilishituka baada ya kugundua kuwa Alex ameweka mwichi wake kwenye kinu changu, nilishangaa sana ni mapenzi ya aina gani aliyonayo mwenzangu ya bira ata kuandaana.

Niliamua kumuacha afanye kile anachokitaka na baada ya mda Alex alifunga goli la mkono lisilokuwa na uwezo wowote ule kisha baada ya hapo aliniuliza.
"Umeridhika kipenzi changu!?"
baada ya kuniuliza nilitamani kumjibu kuwa sijaridhika ila nilihisi lazima atajisikia vibaya hivyo niliamua kumjibu kuwa nimeridhika na penzi alilonipatia.

Karibu siku nzima tulishinda wote na baadae niliamua kumuaga na kurudi nyumbani, Alex hakuacha kunikumbushia ahadi tulizowekeana za kuja kuoana baadae baada ya sisi kumaliza chuo.

Nilifika nyumbani na kuwakuta wazazi wangu wakinisubiri kwa hamu kwani tayari walikuwa wameshaandaa Sherehe nyingine kwa ajili yangu.
Siku hiyo dada yangu Judith nae alikuwepo pamoja na mme wake.

Nilikuwa ni mwenye furaha zaidi kwa upendo nilioneshwa na familia yangu lakini nikiwa kwenye furaha nililetewa taarifa za mtu kuhitaji kuniona.

Baba ilibidi amuulize mtu aliyenipa taarifa lakini kabra hajamjibu mimi tayari nilikuwa nimeshaondoka kwa ajili ya kwenda kukutana na mtu aliyekuwa akihitaji kuonana na mimi.

Nilifika nje na kukutana na kijana aliyekuwa amevaa tisheti na jinsi.

Kijana huyo alifurahi baada ya kuniona.
"Ni mda mrefu sana sijakuona Irene" aliongea na sauti yake ilinifanya ni mkumbuke vizuri.
"Ni wewe mzoa taka!?" nilimuuliza baada ya kumgundua sababu siku hiyo alikuwa amevaa vizuri kidogo tofauti na alivyokuwa akija siku zote.

Mzoa taka aliniambia amekuja kusherekea sherehe yangu, na nilipomuuliza amelijuaje jina langu na nani alimwambia kuwa kuna sherehe nyumbani kwetu aliniambia kuwa yeye anajua kila kitu kinachoendelea kwenye mtaa wetu.

Sijui nilipatwa na nini tu kwani nilijikuta nikimkaribisha ndani Damian au mzoa taka ili akaungane na familia yangu kwenye sherehe yangu.

Damian aliingia ndani na mama alipomuona alishituka kwani alikuwa akimfahamu kuwa ni mzoa taka. Alinisogelea na kuninong'oneza sikioni kwangu.
"Irene umemtoa wapi huyu mzoa taka!?" Mama aliniuliza.
"Mama, ameomba aje asherekee sherehe yangu, hivyo sikutaka kumzuia kwa sababu familia yetu ingeonekana ni wabinafsi na wachoyo"

Baada ya kumjibu mama aliamua kunyamaza na mambo mengine yaliendelea.

Kipindi sherehe inaendelea Damian macho yake yote yalikuwa kwangu na kuna mda alikuwa akinikonyeza pale tulipokuwa tukikutanisha macho yetu.

Sherehe ilitamatika na baadae Damian aliniaga na kuondoka.

Siku hiyo ilipita na kilichokuwa kikinishangaza ni mpenzi wangu Alex kwani alikuwa hanitafuti kabisa na nikimtafuta mara nyingi alikuwa hapatikani. Sikutaka kuumiza kichwa kwa ajili yake zaidi ya kuendelea na maisha yangu.

Siku tatu zilipita na siku hiyo nikiwa nyumbani peke yangu, mzoa taka alikuja huki akiwa kavaa nguo za kawaida.

Niliogopa kumkaribisha ndani sababu nilijua tu lazima yatatokea kama yaliyotokea siku za nyuma......ITAENDELEA.

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž


Baada ya kuona ananilazimisha nilimtishia kuwa nitapiga kelele. ilibidi nimzuie mzoa taka nakumwambie akavae nguo zake huku nikiwa na sura ya ukauzu.

Mzoa taka alienda kuvaa nguo zake na baadae nilimwambia atulie ili niangalie mazingira ya kumtoa ndani ya nyumba yetu bira kugundulika.

Nilienda kuhakikisha mazingira vizuri na baada ya kugundua kuwa baba yupo chumbani kwake nilirudi haraka chumbani kwangu na kwenda kumtoa mzoa taka.
"Ondoka na ole wako nikuone hapa" nilimwambia huku nikimpiga mkwala asije kurudia tena kunichezea mchezo wa kufanya mapenzi na mimi bira ridhaa yangu.

Mzoa taka kabra hajaondoka alijitambulisha kwa jina la Damian na aliniambia kama nitalimisi penzi lake basi...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mahaba-ya-mzoa-taka-03

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.18K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

1.91K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest