VYOTE NDANI GONGA94
MAHABA YA MZOA TAKA 20 ππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nilishangaa kumuona Mzoa taka akibadirika gafra na kuwa kichaa kwani alitoka nje akiwa hivyo hivyo uchi.
"Wewe Damian" nilimwita lakini Damian hakutaka kunisikia.
Nilihisi kuchanganyikiwa baada ya kumuona Mzoa taka ametoka nje akiwa uchi, haraka nilienda kuvaa dela langu nakutoka kwa ajili ya kumfatilia mzoa taka.
Nilifika nje nakumuona Mzoa taka akikimbia huku akiwa uchi na baadhi ya watu waliokuwa wanamwangalia walianza kumcheka baada ya kuona mtalimbo wake.
Ilibidi nianze kupiga kelele kwa ajili ya kutafta msaada na bahati nzuri kulikuwa na vijana waliomuona Mzoa taka nakuanza kumkimbiza nakufanikiwa kumshika.
Damian aliletwa huku akiwa anachekacheka kama mtu aliyelukwa na akili.
"Naombeni mnisaidie kumfunga kamba" niliongea na vijana walimfunga kamba mzoa taka na kumpeleka mpaka ndani kisha baada ya hapo waliondoka.
Nilibaki njia panda huku nikiwa sijui cha kufanya na wazo nililolipata nikumtafta dada yangu nakumweleza kile kilichomtokea mzoa taka.
Dada aliniahidi atakuja nyumbani mda sio mrefu na baada ya masaa kadhaa kupita alifika nakuingia mpaka ndani nakunikuta nikiwa mimi pamoja na mfanyakazi wangu aliyekuwa amembeba mtoto wangu.
Alitaka nimpeleke mahali tulipomfungia Damian na kutokana na mawazo niliyokuwa nayo nilisahau mpaka kumvalisha nguo mzoa taka.
Tulifika na Dada badala ya kuniambia cha kufanya alibaki akiwa anauangalia mtalimbo wa mzoa taka na baadae aliniambia.
"Mdogo wangu kumbe ulikuwa unafaidi ivi!?" aliongea na mimi ilibidi nimuulize.
"Kwanini dada!?"
"Mua wa mme wako unaonekana mtamu balaa yani mpaka nimeutamu bure" dada aliongea.
Nilimuona ni kama mtu aliyekumbwa na pepo la ngono nakujikuta akitamani kufanya mapenzi na mzoa taka.
"Dada unaongea nini!! mimi nataka kumuona Damian akipona alafu wewe unaniambia habari za kuwa nafaidi?" niliongea huku nikiwa nimekasirika kidogo.
"Basi yaishe mdogo wangu ila huyu inaoneka kalogwa" dada aliongea na mimi nilikubaliana nae sababu hali ya Damian ilibadirika gafra kipindi tunafanya mapenzi.
Nilikubaliana nae na baadae alinishauri tukamwite mchungaji ili aje amwombee mzoa taka. Nilichukua kitenge na kwenda kumfunga Mzoa taka nikisaidizana na dada na baada ya kumfunga tulitoka kwa ajili ya kwenda kumtafta mchungaji.
Tulielekezwa na moja kwa moja tulielekea kwa mchungaji na bahati nzuri tulimkuta akiwa na wanamaombi wenzake.
Dada aliongea tatizo lililotufanya tukawa pale na bahati nzuri mchungaji alikubali kuongozana na sisi huku akifatana na wanamaombi wenzake mpaka nyumbani kwangu.
Tulipofika walianza kumuombea mzoa na baada ya mda Damian alipona nakurudi kwenye hali yake ya kawaida huku akiniuliza kilichotokea mpaka yeye kuwa kwenye hali hiyo hasa baada ya kuwaona watu wamaombezi ndani ya nyumba yetu.
Niliamua kumwambia ukweli kuwa alikuwa kichaa na mzoa taka alibaki akishangaa.
"Mimi Irene nilikuwa kichaa!?" aliniuliza ili kupata uhakika na mimi nilimhakikisha kuwa alikuwa kichaa.
Waombaji waliondoka nakutuacha sisi wenyewe ndani na Damian alishikwa na aibu na kwenda chumbani na mimi ilibidi nimfate kwa ajili ya kwenda kuongea nae.
Nilimkuta Mzoa taka akiwa kakaa kitandani huku ameshika kichwa chake.
"Irene ivi ilikuwaje mpaka nikawa kichaa maana nakumbuka nilikuwa juu ya kifua chako tunafanya mapenzi!?" Damian aliongea.
"Hayo yameshapita Damia.... nilisita kuongea baada ya simu yangu kuita hivyo nilienda kuipokea na nilikutana na namba ngeni.
Niliipokea mbele ya Damian mwenyewe na sauti ya mpigaji ilisikika kwenye masikio yangu ikiwa ni ya Alex aliyewahi kuwa mme wangu.
"Irene ulifikiri nitakuacha kwa ujinga ulionifanyia wa kunidanganya kuwa mtoto ni wangu kumbe sio wangu!, mpaka ujute na huo ni mwanzo tu" aliongea na baadae alikata simu.
Mimi na Damian tulibaki tukiwa tumeangaliana na moja kwa moja nilianza kuhisi huenda Alex ndiye aliyeamua kumloga Damian.
"Nitamuonesha huyo mpuuzi" Damian aliongea ila upande wangu sikutaka kuona tukiendelea kuwa na visasi na Alex hivyo nilimshauri Mzoa taka aachane nae.
Baadae alinielewa na alitaka tufanya mapenzi kwa wakati huo ila mimi nilimzuia.
"Nitakupa utamu ila sio sasa ivi Dam!?" niliongea huku nikijianda kunyenyuka kwa ajili ya kwenda sebleni nilipomuacha Dada.
"Subiri kwanza Irene nataka nione kama nitakuwa kichaa tena huoni nilibadirika na kuwa kichaa wakati tukiwa tunazagamuana...!" Damian aliongea na hakutaka kupoteza mda palepale alinilaza kitandani vizuri na mimi sikutaka kukataa zaidi ya kumwacha afanye kile alichothamilia.
Alinivulisha dela nililokuwa nimevaa na tukaanza kuzagamuana.
Tulitumia mda mrefu kufanya mapenzi na baadae tulimaliza pasipo Damian kubadirika na kuwa kwenye hali ya ukichaa.
"Umelizika sasa Damian!?" nilimuuliza nimuone atajibu kitu gani.
"Tena sana na jinsi ulivyomtamu basi sahau kabisa mimi kuwa mbali na wewe, ata kama ningekuwa kichaa bado ningekuwa nakuja kupata utamu wako Irene" Mzoa taka aliongea huku tukiendelea kushikana na mda huo nilisahau kama Dada yupo ndani ya nyumba yetu..........ITAENDELEA.
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka

