Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
Gonga94 Β· Stories

MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Alex aliniona nikiwa nimeongozana na mzoa taka.
"Heeeh kumbe bado hamjaachana!?" Alex alituuliza na mimi niliamua kumjibu.
"Wewe ulitakaje kwani!?"
"Wewe mwanamke kumbe bado unajifanya jeuri sana subiri utaona" Alex aliongea na mimi mda huo hasira zilianza kunishika hasa baada ya kukumbuka kile alichomfanyia dada yangu na kutaka kuvunja mahusiano yetu mimi na Mzoa taka kwa kumtumia Suzi.
"Baada ya kumuambukiza dada yangu umeona haitoshi unataka uniambukize na mimi sindio!?" Baada ya kuongea Alex alishituka.
"Kumuambukiza...!?"
"Kwahiyo unajifanya hujui ulichokifanya kwa dada!?" niliongea na Alex aliamua kuingia kwenye gari yake na kuondoka kwa speed.

Mzoa taka aliniangalia na kuniuliza "Irene kuna kitu gani kinachoendelea mbona sielewi!?"
"Tuingie ndani nitakwambia tu" nilimjibu nakuingia nae mpaka ndani nakuanza kumweleza kile alichoniambia Dada alichofanyiwa na Alex kisha baada ya hapo tulienda kuogeshana.

Tukiwa bafuni tulianza kufanya yetu na mimi kutokana na hamu nilizokuwa nazo sikutaka kujali kama mzoa taka aliwahi kufanya mapenzi na mwanamke mwingine na huenda akawa na magonjwa.
Niliinama na mzoa taka alichomeka mtalimbo wake kwenye kipusa changu na kuanza kunipa utamu.

Baada ya kumaliza kufanyia mapenzi bafuni mzoa taka alinibeba na kunipeleka kitandani "Leo nataka nitoe upwiru wote ili nisije kutamani tena mwanamke mwingine" Mzoa taka aliongea huku akiniweka style ya kifo cha mende na mimi kasi ya kupumua ilizidi kuongezeka kutokana na mazunguko wa damu kwenda haraka.

Tulifanya mapenzi kwa mda mrefu na baada ya mda tulimaliza huku nikiwa hoi.
"Usije kurudia tena kunisaliti Damian" nilimwambia huku tukiwa tumekumbatiana.
"Usijali Irene sitarudia tena" Damian aliongea.

Mimi na Damian tulirudiana na siku ya jumamosi ilifika hivyo niliamua kwenda nyumbani kama mama alivyoniambia.

Nilifika nyumbani na mama aliniambia kuna mtu aliyepanga kunikutanisha nae.
"Mama ni nani huyo unayetaka niongee nae!?"
"Usiwe na haraka Irene atakuja mda sio mrefu ila tafadhali nisije kukuona ukirudiana na yule mzoa taka" Mama aliongea pasipo kujua kama tayari tumerudiana na kuzagamuana juu.

Sikutaka kumjibu zaidi ya kukaa kimya maana kama ningemwambia basi lazima malumbano yangeibuka.

Baada ya masaa kadhaa kupita mtu aliyetaka kunikutanisha nae alifika na alikuwa ni mwanaume wa makamo mwenye miaka isiyozidi 35.

Sikujua mipango ya mama ilikuwaje ila alikuwa akimchangamkia kijana aliyekuwa pale nyumba.
"Patrick kijana wangu karibu sana na jisikie upo nyumbani" Mama aliongea akimkaribisha kijana aliyekuwa akiitwa Patrick wakati huo mimi nilikuwa mtazamaji huku nikiwa na mawazo yangu na nilitamani kujua kile kilichokuwa kikiendelea.

Mama aliamua kunitambulisha kwa Patrick na alijaza sifa za aina akimwambia kuwa na mtoto mmoja na sipo kwenye ndoa na sifa nyingine nyingi.

Baadae aliondoka na kutuacha sisi wenyewe na ndipo Patrick alipoanza kuniuliza maswali yaliyofatana na moja likiwa kama nitakuwa tayari kuolewa na yeye.
"Sipo tayari kuolewa na wewe Patrick samahani kwa hilo" nilimtolea nje Patrick.
"Mbona mama yako kaniambia kuwa upo tayari kuolewa na kaniomba nikuoe?" Patrick aliongea na mimi sikutaka kumfanya mama yangu aonekane ni mbaya mbele ya Patrick.
"Ni kweli nilitaka kuolewa ila ilikuwa zamani kidogo maana kwa sasa nina mtu wangu na tunapenda nae sana" nilimjibu na maongezi mengine yalichukua nafasi yake.

Baada ya maongezi ya mda mrefu Patrick aliaga na kuondoka na mama alimsindikiza huku wakiniacha mwenyewe sebleni.

Ndani ya dekika kadhaa mama alirudi huku akiwa kakasirika.
"Irene ivi unajua nimehangaika kiasi gani kumshawishi huyo kijana akuoe alafu wewe unamwambia kuwa una mtu na haupo tayari kuolewa na Patrick!?"
"Mama huo ndiyo ukweli mimi sikutaka kumdanganya kijana wa watu" Nilimjibu mama yangu bira kumwangalia usoni.
"Aya mlete sasa huyo mwanaume wako tumuone" mama aliongea na mimi niliamua kumwambia ukweli maana ata ningeficha isingesaidia.
"Mbona nimeshakuja nae hapa mama"
"Kwani hana jina na mimi nitamjuaje bira wewe kunitajia jina lake?" Mama aliongea.
"Ni Damian nimeamua kurudiana nae" niliongea na mama alibaki akiwa kashangaa.
"Umerudiana na mzoa taka tena?" mama aliniuliza na mimi nilimkubalia maana nilikuwa naujua utamu niliokuwa nikiupata kwa mzoa taka wangu.

Hiyo siku mama alitukana matusi ya kila aina akinilaumu mimi pamoja na Dada yangu aliyevunja ndoa yake kipindi cha nyuma. Niliondoka nyumbani bira ya kuelewana na mama.

Nilifika nyumbani na Damian alitambua kuwa sipo sawa kwani sikuwa na raha kabisa siku hiyo.
"Irene kuna tatizo gani au nikuzagamue ili urudi kwenye hali yako ya kawaida!?" Damian aliniuliza.
"Niache kwanza kipenzi sipo sawa kwa sasa" nilimwambia na Damian ilibidi aniache.

Wiki mbili zilipita na maisha yaliendelea na baada ya mda kupita Alex hakuwahi kutusumbua tena nahisi ni baada ya kujua kuwa nimeijua siri yake kuwa tayari ni mwathirika.

Upande wa nyumbani bado familia yangu ilikuwa haijamkubali kabisa Damian kama mme wangu hasa upande wa mama yangu na ni kitu kilichokuwa kikinisumbua kwani niliamini lazima kuna siku nitakuwa matatizoni na familia yangu bado ina umhimu mkubwa kwangu.

Nilitaka kuweka kila kitu sawa ili wazazi wangu waweze kumkubali Damian kama mme wangu.

Siku hiyo nilienda mwenyewe nyumbani kwa ajili ya kuongea na wazazi wangu.

Nilifika na nilimkuta mama huku baba akiwa hayupo.
"Mama nahitaji kuongea na wewe" niliongea na mama aliamua kunipa nafasi ya kuongea kitu kilichonifanya nikawa pale.

Nilimwambia kuwa inabidi akubaliane na hali kuwa Damian ni mtu wangu ninayependana nae tena tupo kwenye mahaba moto moto.
"Irene ivi unafikiri watu watatuzungumziaje sisi wazazi wako hasa wakikuona unaishi na mtu aliyewahi kuwa mzoa taka!?" Mama aliniuliza.
"Ni sawa mama ila mimi na yeye tunapendana na hayo ni maneno ya watu tu na kingine yule ndiye baba wa mtoto wangu" nilimwambia mama maneno ya kila aina na baadae alikubaliana na mimi na kuahidi kuanzia siku hiyo atamchukulia na kumheshimu mzoa taka kama mme wangu.

Mwaka mmoja ulipita na nilikuwa na mimba nyingine huku nikiendelea kuishi na Damian au mzoa taka kama nilivyozoea kumuita.

Upande wa dada angu alifanikiwa kuolewa na mwanaume mwingine japo mmewe alikuwa hajui kama dada ni mwathirika na hiyo iliendelea kuwa siri yetu mimi pamoja na dada angu.

Upande wa Alex aliyekuwa mme wangu yeye aliendelea na maisha yake na mpaka sasa anaishi na mwanamke mwingine japo sijui kama ameshaacha tabia yake ya kuwalawiti wanawake.

Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β  Mwishooooo.

Bira shaka utakuwa umejifunza mengiΒ  kwenye mkasa huu, tukutane tena kwenye mikasa mingine ya kusisimua.

Msimuliaji.......Irene.

Mwandishi....Zooper.
Tangazo - nitakusemea kwa baba unaniumiza
nitakusemea kwa baba unaniumiza
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž


Alex aliniona nikiwa nimeongozana na mzoa taka.
"Heeeh kumbe bado hamjaachana!?" Alex alituuliza na mimi niliamua kumjibu.
"Wewe ulitakaje kwani!?"
"Wewe mwanamke kumbe bado unajifanya jeuri sana subiri utaona" Alex aliongea na mimi mda huo hasira zilianza kunishika hasa baada ya kukumbuka kile alichomfanyia dada yangu na kutaka kuvunja mahusiano yetu mimi na Mzoa taka kwa kumtumia Suzi.
"Baada ya kumuambukiza dada yangu umeona haitoshi unataka uniambukize na mimi sindio!?" Baada ya kuongea Alex alishituka.
"Kumuambukiza...!?"
"Kwahiyo unajifanya hujui ulichokifanya kwa dada!?" niliongea na Alex aliamua kuingia kwenye gari yake na kuondoka kwa speed.

Mzoa taka aliniangalia na kuniuliza "Irene kuna kitu gani kinachoendelea mbona sielewi!?"...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mahaba-ya-mzoa-taka-25-final

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.18K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

1.91K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest