VYOTE NDANI GONGA94
MAHABA YA MZOA TAKA 15 ππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Basi usiku ulifika na siku hiyo dada alilala nyumbani, tukiwa tumelala chumbani tulianza kuzagamuana mimi pamoja na Damian na siku hiyo tulitumia mda mrefu sana kwenye kufanya mapenzi.
Tulipokuwa tunaelekea kileleni niliweza kusikia sauti ya mtu kutembea hivyo ilibidi nimwambie mzoa taka.
"Kipenzi nasikia sauti ya mtu kutembea"
"Kwani umesahau kama dada yako yumo humu ndani na wewe Irene emu acha basi kunikata stimu zangu za kufanya mapenzi" Damian aliongea huku akiendelea kunizagamua.
Basi baada ya kunyanduana tulilaa na siku inayofata haikuwa siku ya kazi hivyo nilichelewa kuamka siku hiyo na niliamka mida ya saa mbili asubuhi ili kufanya kazi za ndani ya nyumba yangu.
Nilimkuta dada akiwa tayari ameshaamka na baadae tulisalimiana ila alinisogelea na kuniongelesha masikioni.
"Kama ni mwanaume mdogo wangu huyu ndiye mwanaume sasa na umepata" Dada aliongea na kuniweka njia panda.
"Una maana gani Dada mbona sikuelewi!?"
"Jana usiku nilipata kiu cha maji na kipindi nakuja kunywa maji nilisikia sauti zenu mkifanya mapenzi, nikupe hongera inaonekana anakulizisha mwanaume wako" Dada aliongea maneno ambayo yalinifanya nishangae kwani kwangu niliona ni vitu vya kawaida na kama ningekuwa mimi basi nisingeongea chochote kile ila kwa dada ilikuwa tofauti.
Siku hiyo aliniaga na kuondoka kurudi nyumbani kwake.
Basi baada ya mda kwenda niliondoka na kwenda nyumbani kwa Alex kwa ajili ya kufatilia talaka yangu na sikubahatika kumkuta zaidi kumkuta binti wa kazi akiwa na mwanamke mwingine mweupe na kwa mwonekano tu ndiye mtu aliyekuwa akiishi nae kwa wakati huo.
Siku mbili zilipita huku nikijaribu kufatilia talaka yangu na bahati nzuri Alex aliweza kukubali kunipatia.
Maisha yaliendelea nikiwa mimi pamoja na Damian na taarifa za mimi kuishi na mwanaume mwingine zilimfikia mama hivyo alihitaji nimpeleke mwanaume ninayeishi nae kwa wakati huo ili wapate kumfahamu.
Mimi na Damian tulienda mpaka nyumbani na baada ya kufika mama alipigwa na butwaa kuona mwanaume mwenyewe ni Damian kwani sura yake alikuwa akiikumbuka vizuri tu.
"Irene na maongezi na wewe" mama aliongea na kuelekea nje na mimi niliamua kumfata kwa ajili ya kwenda kumsikiliza.
"Irene huyu mwanaume uliyekuja nae si yule aliyekuwa mzoa taka au sio huyu!?" mama aliniuliza na mimi sikutaka kumficha zaidi ya kukubali kuwa ni yeye.
"Ina maana na elimu yako hiyo na kazi uliyonayo umekosa mwajiriwa mwenzako wa kukuoa mpaka uamue kuwa na mzoa taka!?" Mama aliniuliza kwa mara nyingine bira kujua binti yake kuwa nimeshatekwa na penzi la mzoa taka na mahusiano yetu yalianza zamani kabra ata sijaolewa na Alex.
"Mama hiyo ilikuwa ni zamani ila sasa ivi ana duka lake na maisha yake ni mazuri tu" nilimjibu lakini mama bado alikuwa na wasiwasi na alienda mbali na kusema huenda ata pesa za kufungulia duka mimi ndiye niliyempatia Damian kitu ambacho kilikuwa kweli ila sikutaka kukubali mbele ya mama zaidi ya kuendelea kumtetea Damian au mzoa taka.
Basi taarifa ziliwafikia karibu wanafamilia wote kuwa Damian aliwahi kuwa mzoa taka na ata Dada yangu ambaye hakuwepo nyumbani mda huo nae alizipata baada ya kuambiwa na mama, alinipigia ila nilimwambia nitaongea nae vizuri baadae ili kumweleza kila kitu.
Familia yangu hasa baba hakutaka kuona nikiendelea kuishi na Damian na aliniambia lazima nifanye juu chini nikatishe mahusiano yangu na Damian au mzoa taka kitu ambacho sikutaka kabisa hivyo nilimchukua Damian na kurudi nae nyumbani.
Siku iliyofata Dada alinipigia kwa mara nyingine kwa ajili ya kuniuliza vizuri na mimi sikuwa na budi zaidi ya kukubali kuwa ndiye yule aliyewahi kumuona kipindi cha nyuma akizoa taka.
Dada aliamua kuniuliza "Mmmmh Irene kwahiyo unataka kuniambia kuwa ulianza nae mahusiano kabra hamjatengana na mme wako Alex!?" Dada aliniuliza.
"Huo ndio ukweli Dada"
"Mmmmh basi ulikuwa na moyo" Dada aliongea na mimi ili kujitetea nisionekane ni mwanamke wa ajabu niliamua kumwambia sababu iliyonifanya nitembee na mzoa taka kipindi cha nyuma ni Alex kutokuwa na uwezo wa kunilizisha kimapenzi.
Siku hiyo tuliongea mengi na nilishangaa Dada akiniuliza maswali ya kila aina kuwa niliwezaje kumshawishi mzoa taka mpaka akakubali kutoka kimapenzi na mimi.
Tangu siku hiyo mimi pamoja na dada tulikuwa tukiongea mara kwa mara kupitia simu lakini sikuwahi kumwambia kuwa mtoto niliyekuwa nae ni mtoto wa Damian au mzoa taka kwani ningezidi kumshangaza zaidi na kuharibu CV yangu mbele ya Dada.
Miezi kadhaa ilipita nikiwa naishi na Damian na sikuwa na taarifa zozote zile za Alex.
Siku moja Dada alikuja nyumbani huku akiwa ni mwenye wasiwasi wa hali ya juu na siku hiyo hakuja na begi lolote lile.
ilibidi nimuulize tatizo nini mpaka awe kwenye hali ile na kwakuwa mara nyingi tulikuwa tumeshazoeana aliamua kuniambia kile kilichomfanya akawa nyumbani kwangu.
"Mme wangu kanifumania Irene" Dada aliongea.
"Kakufumania!?" ilibidi nimuulize.
"Ndio, na mimi nilitaka kufanya kama wewe ili niwe na mwanaume wa kunilizisha aise maana wa kwangu hamna kitu kabisa Irene" Dada aliongea lakini bado nilikuwa njia panda sababu sikuelewa maana ya yeye kuniambia vile.
"Bado sijaelewa unachomaanisha Dada!?"
Niliongea na baadae Dada alianza kunisimulia kila kitu.....ITAENDELEA.
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka

