VYOTE NDANI GONGA94
MAHABA YA MZOA TAKA 17 ππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Baada ya mda kupita Dada aliyazoea maisha ya kuishi bira kuwa na mme na tuliendelea kuwasiliana mara kwa mara.
Nikiwa nyumbani mimi pamoja na mzoa taka niliamua kumwambia ukweli Damian ambao sikuwahi kumwambia mtu yoyote yule na ilikuwa siri yangu peke yangu.
"Damian huyu mtoto niliyenae wewe ndiye baba yake mzazi na sio Alex" nilimwambia Damian au mzoa taka.
Hakuamini kile nilichomwambia zaidi ya kuniuliza kwa kile nilichokisema na mimi nilimhakikishia kuwa ni mtoto wake, tangu siku hiyo Damian alikuwa akiujua ukweli kuwa Grace ni mtoto wake.
Siku mbili zilipita tangu nimweleze ukweli Damian kuhusu mwanangu Grace na siku hiyo nikiwa kazini nilipigiwa simu na mpigaji alikuwa ni Alex, sikutaka kupokea simu zaidi ya kuiangalia.
Baada ya mda namba ngeni nyingine ilipiga na mimi ilibidi niipokee na kumbe mpigaji alikuwa ni yule yule Alex.
"Unajifanya hutaki kupokea simu yangu Irene sio!?" Alex aliniuliza.
"Kwani lazima mimi kupokea simu yako au!?" na mimi nilimjibu na kumwambia aongee haraka kile kilichomfanya anipigie na kama hana jambo la maana basi nitamkatia simu.
Alex aliniambia "kumbe ndiyo ulikuwa malaya hivyo yani ulikuwa ukimwingiza mbeba taka kwenye chumba chetu na mnafanya mambo yenu" Alex aliongea na mimi nilijua hakuna siri tena ila sikutishika kwa sababu tayari nilikuwa nimeshaachana na Alex.
"Ndicho kilichokufanya unipigie simu!?" nilimuuliza na kujaribu kupindisha mada.
"Wewe mwanamke ni malaya sijawahi kuona ndiyo maana tulipokuwa chuo karibu kila mwanaume ulikuwa ukiongea nae" Alex alizidi kuongea na mimi niliona ananipotezea mda na ukizingatia nilikuwa kazini kwa wakati huo.
Nilikata simu huku nikitafakari ni nani aliyemwambia Alex kuwa nilikuwa nikimuingiza mzoa taka kwenye chumba chetu kipindi cha nyuma. baada ya kuwaza kwa kina sura ya mfanyakazi ilikuja na moja kwa moja nilijua lazima atakuwa yeye aliyemwambia.
Niliendelea na kazi na baada ya mda wa kazi kuisha nilitembea kwa ajili ya kurudi nyumbani lakini nikiwa njiani kuna gari ilinipigia honi ikinitaka nisimame.
Kwakuwa sikuwa mtu wa malingo niliamua kusimama na kusubiri nione ni nani aliyekuwa ndani ya gari hiyo.
Gari ilifika mahali nilipokuwa mimi na mwanaume mweupe alionekana akiwa ndani ya gari hiyo peke yake.
"Mambo mrembo"
"Poa" niliamua kuitia baada ya kunipa salamu.
"Panda ndani ya gari nikusogeze mbele" aliongea na mimi sikuwa tayari kupanda ndani ya gari yake hivyo nilimkatalia na kuendelea na safari yangu.
Licha ya kuendelea kutembea kuelekea kwangu bado alikuwa akinifata akiwa na gari yake.
"Mtoto mzuri kama wewe unakubalije kutembea kwa miguu" aliongea kila aina ya maneno ya kunipamba lakini nilikuwa kama kiziwi na sikutaka kumjibu neno lolote lile.
Nilihisi kilichomvutia kwangu nikuhitaji kufanya mapenzi na mimi na sio kingine kwani ndivyo wanaume wengi walivyo sababu huanza kumtamani kwanza mwanamke kwa mwonekano wake wa nje ndipo mambo mengine yanafata.
Baada ya kumkatilia aliamua kuondoka akiwa na gari yake na mimi baada ya kufika nyumbani nilimkuta tayari Damian au mzoa taka amesharudi nyumbani.
"Damian leo mbona umetoka mapema sana!?" nilimuuliza na mzoa taka aliniambia.
"Bora ata umekuja mke wangu kuna mwanamke nimemuona huko anafanana na wewe nikajikuta nikikukumbuka Irene"
Baada ya Damian kuongea niliishia kuguna kwa kile alichokisema.
"Mbona unaguna Irene au ulitaka nitembee nae yule mwanamke ikiwa wewe kipenzi upo karibu!?"
"Sina maana hiyo ila kazi nim... kabra ata sijaendelea kuongea tayari mikono yake ilikuwa imeshaenda kushika kitumbua changu.
"Beb subiri kwanza nikaoge vinginevyo hutafaudu vizuri maana nanuka jasho kwa sasa" niliongea lakini mzoa taka hakutaka kuniachia kabisa kwani siku hiyo alikuwa na upwiru wa hatari.
Niliamua kumuacha afanye kile alichokuwa akikitaka.
Damian au mzoa taka alinilaza kwenye kochi na kunivulisha nguo zangu kisha baada ya hapo aliniweka vizuri kwa ajili ya kuanza kunizagamua ila kabra hajaanza tulisikia mtu akibisha hodi kwa nje kwenye mlango wetu.
"Nani tena huyo anayeharibu starehe za watu!?" Mzoa taka aliongea kwa kulalamika na baadae ilibidi tusitishe kile tulichotaka kukifanya.
Nilivaa nguo zangu na kuweka mambo sawa huku Damian akienda chumbani tena akiwa analaumu kwa starehe yetu kukatishwa.
Nilienda kuangalia mtu aliyekuwa nje na hakuwa mwingine bali alikuwa jirani yangu ambae huwa anashinda na mtoto wangu.
Alinikabizi mwanangu Grace kisha baada ya hapo aliondoka.
Niliingia ndani nikiwa na mwanangu na niliona kuna umuhimu wa kuajiri binti wa kazi ili awe anashinda na mtoto wangu.
Haikupita mda Damian aliweza kutoka chumbani na alinifata na kuniambia kuwa amekabwa na upwiru wa kufa mtu.
Nilimwambia anipe dekika kadhaa za kwenda kuoga na baada ya kumaliza nilimpatia utamu kama alivyokuwa akihitaji.
Baada ya siku tatu kupita aliyewakuwa mme wangu ambae ni Alex alianza kunisumbua akitaka turudiane na sijui alikuwa na lengo gani kwangu kwani usumbufu wake ulikuwa sio wa kawaida.
"Alex wewe siuliniita mimi malaya kwanini unataka turudiane!?" nilimuuliza na Alex aliniambia kuwa zilikuwa ni hasira tu alizokuwa nazo.
Licha ya Alex kutaka nirudiane nae ila hakuwa kwenye moyo wangu kabisa kwani ata kuolewa nae ilikuwa ni kwa ajili ya kuficha aibu baada ya kugundua kuwa na mimba ya mzoa taka.
Niliamua kumwambia kuwa haiwezekani tena mimi na yeye kuwa pamoja.
"Irene sasa ivi sitakulazimisha tena unipe tundu la nyuma naomba ukubali kurudi nyumbani mke wangu" Alex alizidi kunibembeleza na baadae ilibidi nimkatie simu.
Tangu siku hiyo kila nikiona namba ngeni na sauti ikiwa ya Alex basi lazima nikate simu.
Alex baada ya kuona sipokei simu zake aliamua kunifata kazini kwangu, alifika na kuomba kuonana na mimi.
Ilibidi niende kumsikiliza kile kilichomfanya atake kuonana na mimi japo nilikuwa na uhakika kuwa ni kunibembeleza ili niweze kurudiana nae.
"Leo sijaja kuomba msamaha kwako ila ninachohitaji Irene kutoka kwako ni mtoto wangu Grace" Alex aliongea.
"Mtoto!!?" ilibidi nimuulize.
"Eee mtoto, nataka unipe mtoto wangu nikamlee mwenyewe na wewe uendelee na maisha yako" Alex aliongea bira kujua kama mtoto mwenyewe sio wake na ni wa mzoa taka.....ITAENDELEA.
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka

