Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
Gonga94 Β· Stories

MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Alex alijitahidi kunijali kwa jinsi alivyokuwa akiweza na nilijitahidi kulidhika na penzi alilokuwa akinipatia lakini ilikuwa ngumu kwangu kwani nilikuwa silidhiki kabisa na penzi lake na ulifika mda nilianza kumkumbuka mzoa taka wangu ambae ni Damian.

Siku hiyo nikiwa ndani pamoja na mtoto wangu nilisikia mtu akibisha hodi, nilinyenyuka kwa ajili ya kwenda kuangalia mtu aliyekuwa akibisha hodi.

Nilipigwa na butwaa baada ya kumkuta mzoa taka akiwa kasimama mlangoni kwenye nyumba yetu akiwa na nguo zake chafu.
"Irene" mzoa taka aliniita sababu hakuamini kama angenikuta kwenye nyumba hiyo.
"Karibu" nilijikakamua na kumjibu huku nikionesha sura ya ukauzu asiweze kugundua kuwa nimemmiss.

Mzoa taka alitupa mfuko wake wa kubebea taka aliokuwa ameushika na kujaribu kusogeza mkono wake kwa ajili ya kumshika mtoto wangu.
"Samahani mikono yako michafu, siwezi kukuruhusu umshike mtoto wangu" nilimwambia huku moyoni nikiwa naumia sababu nilikuwa namnyima haki ya kumshika mtoto wake akiwa kama baba.

Mzoa taka hakutaka kulazimisha zaidi ya kuniambia " nilitamani tu nimshike mtoto wako Irene, na pia ile siku uliyokuwa unaolewa nilikuwepo ila sikutaka kukuharibia harusi yako sababu sitaki kuona ukimwaga machozi kwa ajili yangu, nitatafuta pesa kwa nguvu ili siku nyingine nisije kuachwa na mwanamke nitakayempenda" Mzoa taka aliongea maneno yaliyojaa hisia.

Sikutaka kumpa nafasi ya kuendelea kuongea sana sababu maneno yake yalikuwa yakiniumiza na mimi.

Nilimuuliza sababu iliyomleta na mzoa taka aliniambia amekuja kuulizia kama kutakuwa na takataka nyumbani kwangu.

Nilimuonesha takataka zilipo na alienda kuzichukua kisha baada ya hapo alijiandaa kwa ajili ya kuondoka. Nilimuuliza kuhusu malipo anayonidai ila mzoa taka alikataa kabisa kupokea malipo yangu na mwisho aliamua kuondoka.

Nilibaki nikimtazama na baadae nilimwangalia mwanangu, niliwaza ivi itakuwaje siku ikija kugundulika kuwa baba wa mtoto wangu ni mzoa taka!. niliona njia pekee nikuendelea kuitunza siri hiyo mimi mwenyewe.

Maisha yaliendelea na Damian alikuwa akija kwangu mara moja moja kuzoa takataka na kiukweli nililimisi penzi lake na kuna mda nilikuwa nikitamani kufanya nae mapenzi walau mara moja tu.

Siku hiyo Damian alikuja kwa mara nyingine na Mme wangu Alex hakuwepo, kiukweli nilishindwa kujizuia kabisa kwani nilimwita mzoa taka aingie ndani na baada ya kuingia nilimweleza lengo langu lililonifanya nimuite ndani.

Nilimwambia kuwa nimemis penzi lake na nahitaji tuzagamuane walau ata mara moja, Mzoa taka hakutaka kukataa kwani ata yeye alikuwa amenikumbuka.

Sikutaka kujali kama ni mchafu bali nilimvulisha mwenyewe ili tukimbizane na mda na Alex asiweze kutufuma.

Mzoa taka alikuwa vizuri kwani hisia zake zilikuwa karibu sana tofauti na mme wangu Alex, tulifanya mapenzi na baada ya kumaliza mzoa taka alivaa nguo zake na kuondoka.

Baada ya mzoa taka kuondoka nilijihisi mwepesi na nilipanga kuendelea kufanya nae mapenzi kisiri bira mme wangu kujua.

Haikupita mda Alex aliweza kurudi nyumbani, na alinikuta nikiwa bafuni naoga ila alishangaa kukikuta kitanda chetu kikiwa kimevulugika huku kukiwa na harufu mbaya kwa mbali ndani ya chumba chetu, Alex alisogea mpaka kwenye mlango wa bafuni na kuniuliza.
"Irene mbona humu chumbani kuna harufu mbaya hivyo!?" aliniuliza na mimi nilijifanya kama sijamsikia huku nikiwa nafikiria kitu cha kumjibu.

Nilimaliza kuoga na nilipotoka bafuni Alex hakuacha kuniuliza kuhusu harufu iliyokuwa ndani ya chumba chetu.

Niliamua kumwambia kuwa ni pua yake tu ndiyo imesikia harufu mbaya. niliamua kutoa mashuka yaliyokuwa kitandani na kutandika mengine.

Kiukweli hayo ndiyo yalikuwa maisha yangu, kwani kuanzia siku hiyo niliendelea kuwa na mahusiano ya siri na mzoa taka bira ya mtu yoyo yule kujua.
Nilikuwa siwezi kumaliza wiki bira kufanya mapenzi na mzoa taka.

Niliendelea kuishi na Alex huku Damian au mzoa taka akiendelea kuwa mchepuko wangu na hii ni kutokana na penzi tamu alilokuwa akinipatia......ITAENDELEA

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž

Alex alijitahidi kunijali kwa jinsi alivyokuwa akiweza na nilijitahidi kulidhika na penzi alilokuwa akinipatia lakini ilikuwa ngumu kwangu kwani nilikuwa silidhiki kabisa na penzi lake na ulifika mda nilianza kumkumbuka mzoa taka wangu ambae ni Damian.

Siku hiyo nikiwa ndani pamoja na mtoto wangu nilisikia mtu akibisha hodi, nilinyenyuka kwa ajili ya kwenda kuangalia mtu aliyekuwa akibisha hodi.

Nilipigwa na butwaa baada ya kumkuta mzoa taka akiwa kasimama mlangoni kwenye nyumba yetu akiwa na nguo zake chafu.
"Irene" mzoa taka aliniita sababu hakuamini kama angenikuta kwenye nyumba hiyo.
"Karibu" nilijikakamua na kumjibu huku nikionesha sura ya ukauzu asiweze kugundua kuwa nimemmiss.

Mzoa taka alitupa mfuko...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mahaba-ya-mzoa-taka-06

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.18K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

1.91K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest