Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MAHABA YA MZOA TAKA 19 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
Gonga94 ยท Stories

MAHABA YA MZOA TAKA 19 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Mwenyekiti ilibidi awatulize na baadae tulikaa kikao na mtu wa kwanza kuongea alikuwa ni Alex.
"Mwenyekiti waambie wanipe mwanangu mimi niondoke"
"Huna mtoto hapa wewe ivi huelewi au!?' Mzoa taka aliongea kwa mara nyingine na mwenyekiti aliamua kuniuliza mimi ambae ni mama wa mtoto.
"Binti emu tuambie ukweli ili tuwezi kulitatua hili baba wa mtoto hapa ni yupi kati ya hawa wawili...!?"
Baada ya mwenyekiti kuniuliza sikutaka kumficha Alex na ukizingatia hakuwa mme wangu kwa wakati huo.
"Baba wa mtoto ni Damian na sio huyu Mwenyekiti" niliongea nikiwa na maana kuwa Alex sio baba wa mtoto wangu.

Baada ya mimi kuongea vile Alex aliondoka huku akiongea maneno ya kila aina na alidai tutamjua kuwa yeye ni nani na ata mwenyekiti alipomuita Alex hakutaka kurudi kabisa.

Mzoa taka alimsogelea mwenyekiti na kumwambia.
"Umemuona mwenyekiti huyo jamaa alivyomkolofi? siku ukisikia nimekufa ujue ni yeye au ukisikia nimekuwa kichaa ujue yeye kaniloga" Mzoa taka au Damian alimwambia mwenyekiti.

Kutokana na mambo yaliyotokea mwenyekiti na yeye aliamua kuondoka na kutuacha wenyewe. Siku hiyo ata hamu ya kwenda kazini iliisha kabisa kwanza nilikuwa nimeshachelewa na ugomvi uliotokea ndiyo ulinifanya nisiwe na hamu ya kwenda.

Ilinilazimu nipige simu na kuwaambia kuwa kuna msiba kwenye nyumba ya jirani hivyo sitoweza kwenda kazini.
Bahati nzuri waliweza kukubali na kuniruhusu kutokwenda kazini.

Baada ya mda mzoa taka aliondoka na kuniacha mwenyewe nyumbani.

Masaa matano yalipopita mama yangu mzazi alinipigia simu na kuniuliza kama nipo kazini kwangu.

Sikutaka kumdanganya nilimwambia ukweli kuwa siku hiyo sikwenda kazini na baada ya kumwambia mama alinitaka niende nyumbani haraka kwani alikuwa na maongezi na mimi.

Sikujua tatizo nini ila niliamua kumtaarifu mzoa taka kuwa nahitajika nyumbani.
"Irene nisubiri nije tuongozane wote" Damian aliongea na mimi ilibidi nimsubiri.

Baada ya Damian kuniambia anataka tuongozane sikutaka kumkatalia japo nilijua nyumbani baba na mama bado hawajamkubali Mzoa taka kama mme wangu.

Tuliondoka na kufika nyumbani nikiwa na Damian na mama alivyoniona nimekuja na Mzoa taka ndiyo alizidi kuchukia zaidi.
"Kwani ilikuwa lazima uje nae huyo mzoa taka!?" Mama aliuliza huku Damian akiwa karibu.
"Mama lakini huyu ni mme wangu mimi" nilimjibu maana penzi la mzoa taka lilikuwa limenikolea kweli kweli.
"Irene kuanzia leo sitaki kukuona nyumbani kwangu, nenda ukaendelee na maisha yako na hutoona tena nakutafuta" mama aliongea bira kuniambia sababu iliyomfanya aweze kuniita.

Kwakuwa hasira za mama yangu nilizijua niliamua kuondoka nikiwa na Damian.

Tulifika nyumbani na kumpita house girl aliyekuwa amekaa na mtoto na moja kwa moja tulienda mpaka chumbani.

Mzoa taka alinishika na kuniambia.
"Irene mimi ata wasemeje ila siwezi kuachana na wewe mke wangu" Mzoa taka aliongea lakini mimi mda huo nilikuwa mbali kimawazo kwenye kichwa.

Siku hiyo sikuwa na hamu ya kufanya mapenzi kutokana na mawazo niliyokuwa nayo ata kama Mzoa taka angeanza kupandisha hisia zangu nisingekubali kufanya nae mapenzi na kama angelazimisha basi nisingempa ushirikiano wowote na ningelala kitandani kama gogo na kumuacha mzoa taka ahangaike mwenyewe.

Nikiwa na mawazo dada yangu aliweza kunipigia simu hivyo niliamua kuipokea ili nimsikilize.
"Irene ndiyo umefanya nini na wewe!?" Dada aliongea na mimi sikuwa na cha kumjibu sababu nilijua lazima atakuwa amesha ambiwa kila kitu kilichotokea nyumbani.

Dada alinisimulia kila kitu huku akiniambia kuwa Alex alipelekea malalamiko nyumbani yaย  mimi kuzaa na mzoa taka kipindi tulichokuwa kwenye ndoa na ndiyo sababu iliyomfanya mama aniite na kutaka kufanya maongezi na mimi. hakukuwa na siri tena kwani tayari dada alikuwa ameshaujua ukweli ukweli.
"Irene ina maana ulikolezwa na penzi la mzoa taka mpaka ukaamua kuzaa nae!?" Dada aliniuliza.
"Nampenda Damian na ndiyo maana nipo nae pia sijutii kuzaa nae" nilimjibu na baada ya kumjibu dada alikata simu.

Kwakuwa maongezi yetu alikuwa akiyasikia Damian alinifata na kunikumbatia.
"Irene hakika nitazidi kukuonesha upendo ambayo hujawahi kuoneshwa kipenzi" Damian aliongea huku akizidi kunipapasa kwa kutumia mikono yake.
"Damian leo sipo sawa kabisa sijisikii kufanya mapenzi" niliongea kwa kudeka maana nilijua mzoa taka alitaka tufanye sex.
"Njia pekee ya kutuliza mawazo ni hii" Damian aliongea na kuendelea kunifanyia utundu.

Sijui ata mawazo yalienda wapi kwani na mimi nilijikuta nikianza kumpa ushirikiano Damian na pale pale tulianza kufanya mapenzi.

Tukiwa kwenye minyanduano nilishangaa kumuona Mzoa taka akijitoa kwenye mwili wangu na kuanza kukimbia chumbani kama mtu aliyechanganyikiwa huku akiongea maneno ya ajabu.
"Nimepewa utamu utamu utamu utamu utamu utamu" Damian alirudia kutamka neno utamu zaidi ya mara kadhaa huku akiendelea kutembea chumbani na mtalimbo wake ukiwa unaning'inia.

Nilishindwa kumwelewa kakumbwa na tatizo gani kwani ni mda mfupi tu alikuwa juu ya kifua changu akijipimia mwenyewe.....ITAENDELEA.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAHABA YA MZOA TAKA 19 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž



Mwenyekiti ilibidi awatulize na baadae tulikaa kikao na mtu wa kwanza kuongea alikuwa ni Alex.
"Mwenyekiti waambie wanipe mwanangu mimi niondoke"
"Huna mtoto hapa wewe ivi huelewi au!?' Mzoa taka aliongea kwa mara nyingine na mwenyekiti aliamua kuniuliza mimi ambae ni mama wa mtoto.
"Binti emu tuambie ukweli ili tuwezi kulitatua hili baba wa mtoto hapa ni yupi kati ya hawa wawili...!?"
Baada ya mwenyekiti kuniuliza sikutaka kumficha Alex na ukizingatia hakuwa mme wangu kwa wakati huo.
"Baba wa mtoto ni Damian na sio huyu Mwenyekiti" niliongea nikiwa na maana kuwa Alex sio baba wa mtoto wangu.

Baada ya mimi kuongea vile Alex aliondoka...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mahaba-ya-mzoa-taka-19

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka
MAHABA YA MZOA TAKA 16 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 13 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 13 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 20 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

778
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

735
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*

609
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

259
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*

234
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 13

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 13

173
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12

169
THE SECRET MESSAGE  3 to 4

THE SECRET MESSAGE 3 to 4

85
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS

IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS

9
๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League

๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League

4

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.35K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.09K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.73K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.16K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.38K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.36K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS Post Mpya
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS
@majario LIVE

First and foremost, this collaboration hurt many Kenyans. They didnโ€™t see me coming. No one from Kenya or Tanzania pulled this project together. The entire thing was organized by...

๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League Post Mpya
๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League
@majario LIVE

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Arsenal ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Chelsea FC ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Liverpool FC ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Manchester City ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Newcastle United ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Tottenham Hotspur ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Barcelona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Real Madrid ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Atletico Madrid ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayern Munich ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayer...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*
@majario LIVE

biharusi wetu alitulizwa kwa staili tamu sana basi akajitoa kisha akashika shavu la fahima huku ameikamata vizuri maiki yani apo wambea wanapiga vigelegele vibaya mno tena john ndo kajiweka mbele...

THE SECRET MESSAGE  3 to 4 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 3 to 4
@majario LIVE

๐Ÿ’ฌ03 Sina sababu ya kukuficha lolote. Lazima nikuambie ukweli. Rashid wewe Mungu anakupenda sana, mwenyezi Mungu anakupenda mno. Unafanya kazi zako vizuri kabisa mwanangu, lakini cha ajabu mwanangu kila nguo mpya...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
@majario LIVE

Pully alishtuka sana baada ya kuniona akabaki akinitolea macho akiwa na wasiwasi sana, macho yake tu yaliweza kueleza Kuwa kuna kitu akiko Sawa kabisa. "ISHANI umemuona amina wangu?" Mama amina aliniuliza kwa...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*
@majario LIVE

alishangaa mno ikabidi amuulize maswali mengi mpambaji hii ni harusi ya shemeji sasa mbona unanipamba kama biharusฤฑ?": aliuliza fahima usijari maana nimepeewa maelekezo kuwa wewe utakuwa kama mlinzi wa bibi harusi hiva utapambwa kama...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 13 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 13
@majario LIVE

Nikasikia kuna nini hapoo???" Halafu muda huo Veda alikuwa ananitazama machoni na mie nimtazama yaani tunatazamana nina uhakima mioyo yetu ilikuwa inaongea maana kwa yale macho ya veda daah achaaaa Nikageuka...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu. "Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?" Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kwanza nilishtuka sana, nilimuangalia Enzo kwa makini sana lakini enzo hakuwa na uwezo ata wa kuniangalia, muda wote alipepesa macho akiangalia pembeni tu wakati akizungumza. Maneno makali sana juu...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12
@majario LIVE

Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu .. Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia...

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Sehemu ya 16 na 17. Mwandishi; lissa wa huru media kijana . Nakuuliza si unajifanya mjanja .basi tutasomana . Ata mimi ni mjanja wa zamani. Baba yangu alimuangalia sana adrian....

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 11 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 11
@majario LIVE

Ikabidi tu nikubali kinyongee ila roho iliniuma sanaaa yaani mpaka chozi lilinitoka aiseee... Tinner akabaki kunibembeleza na hapo hata sijui atakuja linii mjinga kweli huyu kakaa gari yangu tena aah roho...

Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire Post Mpya
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire
@majario LIVE

for achieving the highest score of 719 and earning Rank 1 in the examination! ๐ŸŽ‰๐Ÿ‘ Your outstanding achievement brings pride not only to your province but also to your Isabelino...

Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto Post Mpya
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
@majario LIVE

yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo...

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2
@majario LIVE

01 Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest