Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
Gonga94 Β· Stories

MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mzoa taka hakutaka kukubali kwani alitumia nguvu na kuingia ndani.
"Irene kwani mimi sio binadamu mpaka ukatae kunikaribisha ndani!?, mbona leo sijavaa nguo zangu chafu!?" aliongea kwa kulalamika baada ya mimi kumzuia.
"Mbona una lazimisha kutengeneza mazoea na mimi!?" ilibidi nimuulize.
"Moyo wangu Irene, moyo wangu, emu shika uone jinsi mapigo yangu ya moyo yanavyodunda" alishika mkono wangu na kuuweka kwenye kifua chake ili nipime mapigo yake ya moyo.

Siku hiyo alikuwa hatoi alafu kama siku ya kwanza aliyoshiriki tendo na mimi ki nguvu.
Damian hakuishia hapo tu alisogeza mdomo wake na kunipiga kiss kwenye shavu langu kisha baada ya hapo aliniambia.
"Leo itakuwa mara ya mwisho Irene kuja hapa nyumbani kwenu ila naomba utambue kuwa nakupenda na utakapolimiss penzi langu usisite kunitafuta" aliniambia nakuondoka.

Niliwaza ni mwanaume wa aina gani ila kwangu ilikuwa afadhali sababu niliogopa yasije kujitokeza kama yaliyotokea siku niliyofanya nae mapenzi.

Tangu siku hiyo sikuwahi kumuona tena mzoa taka nyumbani na ata mpenzi wangu Alex nae alipunguza mawasiliano na mimi hivyo kuna upyeke niliokuwa nikiupitia kwa wakati huo wa kuishi bira kuwa na mpenzi.

Nakumbuka siku moja nilikuwa natoka dukani kwa mbali niliweza kumuona mzoa taka akija upande niliokuwa mimi huku akisukuma mkokoteni wake.

Tulikutana na mzoa taka hakutaka kunipita bira kunisemesha.
"Irene nimekukumbuka sana na uvumulivu umenishinda, lini utakuwa na nafasi tuweze kuonana na kuongea"
Aliniambia na mimi niliamua kumpa nafasi kwa kumwambia aje siku yoyote nyumbani kwetu.

Niliondoka huku nikimuacha mzoa taka akiwa hamini kama nimekubali kuonana nae.

Siku iliyofata mzoa taka alikuja na alinikuta nikiwa nimevaa kanga kwani kulikuwa na joto sana siku hiyo. nilimkaribisha mpaka ndani mzoa taka.

Mzoa taka alikuwa Romantic sana kuzidi ata boyfriend wangu Alex.

Siku hiyo tulipiga story na kiukweli nilikuwa ni mwenye kutabasamu kila mda. mzoa taka alinisogelea karibu na kuanza kuongea maneno ya kunishawishi ili tuweze kufanya mapenzi kwa mara nyingine tena.

Mzoa taka hakuishia kuongea tu bali alikuwa akiongea huku akinishika shika na baadae nilijikuta nikipandwa na hisia.

Kiukweli sikuwa na uwezo wa kumkatalia mzoa taka na mimi niliamua kumpa ushirikiano na wote tulijikuta tukiingia kwenye ulimwengu wa mahaba.

Niliamua kumpeleka kwenyeΒ chumba changu na nilimpa nafasi Damian ya kunichezea vile alivyokuwa akitaka yeye.

Penzi la mzoa taka lilikuwa ni la kipekee kwani alijua kunilizisha kuliko ata mpenzi wangu Alex.

Tulitumia mda mrefu tukiwa chumbani na upande wa nje tulisikia geti likigongwa. Moja kwa moja nilijua lazima atakuwa baba yangu mzazi, haraka nilitoka na kwenda kumfungulia.

Baba aliingia mpaka ndani na bahati nzuri hakuweza kugundua kama mzoa taka yupo kwenye chumba changu.

Baada ya baba kuingia ndani nilirudi chumbani na kumkuta mzoa taka akinisubiri.
"Jiandae uondoke kabra baba hajakuona" nilimwambia kwa sauti ya chini ila nilishangaa mzoa taka akiniambia.
"Leo nitalala humu humu na hamna mtu yoyote atakayejua" mzoa taka aliongea na mimi sikutaka kukubali alale ndani ya chumba changu.
"Utanikera sasa, jiandae haraka uondoke" nilimwambia kwa msisitizo lakini Damian au mzoa taka alinivuta na kunilaza kwenye kifua chake na kuniambia.
"Unaogopa nini Irene, upo na mimi naomba uamini kuwa hamna mtu yoyote yule atakayegundua kuwa nimo ndani ya chumba chako, kingine leo nataka tufanye mapenzi mpaka ulidhike mwenyewe" aliniambia kwa sauti ya chini na baadae alianza kuzipandisha hisia zangu kwa mara nyingine naΒ mimi nilijikuta nikimpa ushirikiano.

Tulifanya mapenzi bira kujali kama baba yumo ndani.

Siku hiyo mzoa taka alilala kwenye chumba changu bira mtu yoyote yule kugundua, asubuhi na mapema ilipofika mzoa taka nilimtoa kwenye chumba changu kwa uangalifu mkubwa ili wazazi wangu wasigundue kama nililala na mwanaume ndani.

Nilimfikisha mpaka nje na mzoa taka aliniaga na kuondoka.

Sikuamini kama nipo kwenye mahusiano na mzoa taka ila kutoka na penzi alilokuwa akinipatia niliamua kuyafanya mahusiano hayo yawe ya siri bira mtu yoyote yule kujua.
Sikutaka kulikosa penzi la mzoa taka kwani tangu nizaliwa sikuwahi kukutana na mwanaume aliyejua kunilizisha kama mzoa taka.

Tangu siku hiyo mimi na mzoa taka tulikuwa wapenzi ila penzi letu lilikuwa la siri na watu hawakuweza kugundua. Mzoa taka alinifanya nikamsahau aliyewahi kuwa boyfriend wangu ambae ni Alex.

Nakumbuka siku moja Mzoa taka alinipigia simu akiniomba anipeleke anapoishi ili niweze kupajua.
Nilikubali na kuongozana nae mpaka sehemu aliyokuwa akiishi.

Tulifika kwenye nyumba iliyokuwa na vyumba zaidi ya 10 vya kupanga, na nje ya nyumba hiyo kulikuwa na wanawake wamekaa wakipiga story, wote walipigwa na butwaa baada ya kuniona nikiongozana na mzoa taka.

Mwanamke mmoja aliongea kwa sauti ya juu baada ya kutuona.
"Mama J njoo uone huku mzoa taka leo kaleta pisi kwenye geto lake" alimwambia mwenzake aliyekuwa akiitwa mama J.

Kiukweli nilijisikia aibu kwani mwonekano wangu ulikuwa auendani na mazingira ya nyumba ile. Damian au mzoa taka hakujali maneno ya wapangaji wenzake zaidi ya kufungua mlango wa chumba chakeΒ na kunikaribisha ndani.

Niliingia ndani na nilishangaa muonekano wa chumba cha Mzoa taka kilivyokuwa kwani kilikuwa hakitamaniki.
Kulikuwa na hewa nzito kwenye chumba cha mzoa taka kitu kilichonifanya nipige chafya bira kupenda.....ITAENDELEA

Tangazo - mjeda inauma siwezi vumilia 1 to 20 final
mjeda inauma siwezi vumilia 1 to 20 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž


Mzoa taka hakutaka kukubali kwani alitumia nguvu na kuingia ndani.
"Irene kwani mimi sio binadamu mpaka ukatae kunikaribisha ndani!?, mbona leo sijavaa nguo zangu chafu!?" aliongea kwa kulalamika baada ya mimi kumzuia.
"Mbona una lazimisha kutengeneza mazoea na mimi!?" ilibidi nimuulize.
"Moyo wangu Irene, moyo wangu, emu shika uone jinsi mapigo yangu ya moyo yanavyodunda" alishika mkono wangu na kuuweka kwenye kifua chake ili nipime mapigo yake ya moyo.

Siku hiyo alikuwa hatoi alafu kama siku ya kwanza aliyoshiriki tendo na mimi ki nguvu.
Damian hakuishia hapo tu alisogeza mdomo wake na kunipiga kiss kwenye shavu langu kisha baada ya hapo aliniambia.
"Leo itakuwa mara ya...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mahaba-ya-mzoa-taka-04

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.18K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

1.91K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest