Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
Gonga94 Β· Stories

MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya mda kupita Damian alishindwa kusimamisha kwa mara ya kwanza kabisa mbele yangu tangu nimjue.
"Unashida gani lakini!?" ilibidi nimuulize kwa mara nyingine maana sikuwahi kumuona akiwa kwenye hali ile.
"Ni uchovu tu Irene ngoja tulale ila mda wowote ule nitakupa utamu, nisamehe kipenzi" Mzoa taka aliongea na kunibusu kwenye paji la uso na kugeukia upande mwingine wa kitanda chetu na kulala.

Upande wangu sikuwa na usingizi kabisa japo nilikuwa na nyege mda huo ila nilijikuta nyege zote zikiisha kutokana na mawazo niliyokuwa nayo kwa wakati huo hasa ya Damian kushindwa kusimamisha mbele yangu.
"Hapa lazima kuna kitu sio bure" nilijiwazia mwenyewe huku nikiwa na mpango wa kuanza kumfatilia mzoa taka.

Sijui ata nililala sangapi ila nakumbuka nilikuja kuamka mida ya saa moja asubuhi na Damian alikuwa ameshaamka tayari tena alikuwa akijiandaa kwenda kwenye duka lake.
"Damian mbona mapema sana leo!?" nilimuuliza maana haikuwa kawaida yake.
"Kuna sehemu naenda kuchukua mzigo mara moja Irene ndiyo maana naondoka mapema" Damian aliongea huku akiendelea kujiandaa na baada ya kumaliza kujiandaa aliondoka na kuniacha mwenyewe kitandani.

Niliangalia saa yangu nakutaka kuamka kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini ila nilikumbuka kuwa siku hiyo ilikuwa ni holyday hivyo haikuwa siku ya kazi.
Nilipanga kuanza kumfatilia Mzoa taka ili nijue ni kitu gani kilichomfanya abadilike kiasi kile.

Basi baada ya masaa kwenda nilijiandaa na mimi nilienda kwenye duka lake na bahati nzuri nilimkuta.
"Irene mbona hujanijulisha kama utakuja!?" Mzoa taka aliniuliza.
"Mmmmh, kwani mpaka nikujulisha Damian na wewe!?" ilibidi nimuulize na baadae tulikaa huku Damian akiwa bize kuchati na mtu na sikujua ni nani aliyekuwa akichati nae mda huo.

Haikupita mda alikuja mwanamke mweupe mwenye makalio makubwa na matiti yaliyochongeka vizuri na mimi mwenyewe nilijisemea kama ningekuwa mwanaume basi ningeluka nae japo haikumaanisha kuwa nimuone Damian akiwa nae kwenye mahusiano.
"Suzi karibu tupo" Damian aliongea huku akiwa na hofu kidogo.
"Hapa ni kama kwangu nimekuja unitimizie swala langu chapu niondoke" mwanamke huyo aliyekuwa akiitwa Suzi aliongea na mimi nilibaki nikiwasikiliza maana nilikuwa sielewi chochote kile.

Damian hakutaka kuona wakiendelea kuongea mbele yangu alimshika mkono ili amsogeze pembeni lakini Suzi hakutaka kwenda pembeni.
"Unataka unipeleke wapi Damian!? au kisa kuna huyu malaya wako hapa ndiyo hutaki asikie maongezi yetu!?" Suzi aliongea akiniita mimi Malaya na mimi sikutaka kukubali kabisa kuona nikiitwa Malaya.
"Wewe binti shika adabu yako mimi sio Malaya unasikia" niliongea huku nikimsogelea Suzi.
"Eeeeh!!! babie, sijaja kuzozana hapa na watu wasiojielewa" Suzi aliongea na kumgeukia Damian.
"Nipe changu faster nisepe sikukupa utamu wa bure bure tuliwekeana makubaliano kabisa kuwa nikikupa mbele na nyuma milion 2 zinasoma kwenye akaunti au umesahau kama uliniahidi!?" Suzi aliongea na alionekana ni mzoefu wa hizo kazi kwani hakuwa na aibu yoyote ile japo maongezi yao watu wengine walikuwa wakiyasikia ila yeye hakujali kuhusu hilo.

Damian baada ya kuona kila kitu kimekuwa wazi aliamua kumvuta Suzi na kumpeleka pembeni huku mimi mda huo nikiwa siamini kama Damian ameweza kunisaliti na kutembea na Suzi.

Sijui walikuwa wakijadili kitu gani ila mimi huku nilikuwa ni mwenye mawazo na hasira zilianza kunishika kutokana na kile nilichokisikia.

Kwa hasira nilianza kuchukua baadhi ya vyombo vya udongo vilivyokuwa dukani na kuvivunja vunja na baadae Damian alisikia sauti ya vyombo kuvunjwa hivyo aliamua kuja haraka ili kunizuia.
"Wewe Irene unafanya nini!?" Damian aliongea huku akijaribu kushika mikono.
"Achia mikono yangu nakuambia haiwezekani mimi nikuhangaikie alafu wewe uende kufanya umalaya wako Damian" niliongea huku nikiwa ni mwenye hasira hasa baada ya kukumbuka kuwa ata pesa ya mtaji mimi ndiye niliyempatia.

Upande wa Suzi nae aliamua kusogea mpaka sehemu sisi tulipokuwa na baadhi ya watu pia.
"Irene emu tulia mke wangu nitakwambia kila kitu...... wewe utamwambia nini huyo hapa hamna siri tena ninachotaka unipe changu nakupa siku mbili tu nikijaΒ million 2 niikute hukunizibua bure bure" Suzi aliingilia maongezi yetu na baadae aliamua kuondoka huku akiacha baadhi ya watu wakimwangalia.

Ilikuwa ni aibu kubwa hasa kwa upande wangu hivyo niliamua kuondoka na kurudi nyumbani na kwenye akilia yangu nilikuwa nimeshafanya maamuzi tayari zidi ya mzoa taka......ITAENDELEA.

Unajua ni maamuzi gani niliyoamua kuyafanya? sehemu ijayo ina majibu zaidi.
Tangazo - nitakusemea kwa baba unaniumiza
nitakusemea kwa baba unaniumiza
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž


Baada ya mda kupita Damian alishindwa kusimamisha kwa mara ya kwanza kabisa mbele yangu tangu nimjue.
"Unashida gani lakini!?" ilibidi nimuulize kwa mara nyingine maana sikuwahi kumuona akiwa kwenye hali ile.
"Ni uchovu tu Irene ngoja tulale ila mda wowote ule nitakupa utamu, nisamehe kipenzi" Mzoa taka aliongea na kunibusu kwenye paji la uso na kugeukia upande mwingine wa kitanda chetu na kulala.

Upande wangu sikuwa na usingizi kabisa japo nilikuwa na nyege mda huo ila nilijikuta nyege zote zikiisha kutokana na mawazo niliyokuwa nayo kwa wakati huo hasa ya Damian kushindwa kusimamisha mbele yangu.
"Hapa lazima kuna kitu sio bure" nilijiwazia mwenyewe huku...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mahaba-ya-mzoa-taka-22

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.18K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

1.91K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest