VYOTE NDANI GONGA94
MAHABA YA MZOA TAKA 14 ππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nilimwambia kama amenichoka tuachane sio kila mda kugombana na kunitukana bira kuwa na sababu zisizokuwa na mashiko.
Baada ya kumwambia tuachane nilishangaa kuona mwenzangu akipiga makofi na kuongea.
"Safi kabisa kwa kuniambia tuachane na ndicho nilichokuwa nikikitaka cha mimi kuachana na wewe tena ikiwezekana sasa ivi beba kile kilichochako na uondoke ndani ya nyumba yangu" Alex aliongea na mimi sikutaka kuendelea kumbembeleza kwani nilikuwa nikijiweza kuishi bira ya uwepo wake.
Japo ilikuwa ni mida ya jioni nilienda kukusanya kilichokuwa changu na kumchukua mwanangu Grace kisha baada ya hapo niliondoka na sehemu niliyoenda ni kwa mzoa taka, japo nilikuwa na uwezo wa kwenda kuishi kwenye nyumba yoyote ile ya kupanga au kurudi nyumbani kwa wazazi wangu.
Mzoa taka alishangaa kuniona nikija pamoja na mizigo yangu huku nikiwa na mtoto mkononi.
"Irene kuna tatizo gani huko ulikotoka!?" MzoaΒ taka aliniuliza.
"Mimi na Alex tumeachana na hatuwezi kuishi pamoja tena" nilimjibu ila mzoa taka aliongea maana kwake ilikuwa ni sherehe.
"Karibu ndani mke wangu" aliniita mke sababu ni kama aliokota dodo chini ya mnazi na ilikuwa furaha kwake mimi kuachana na Alex.
Ajabu kiupande wangu kwa hicho kipindi sikuwa na aibu yoyote ile ya kuishi na mzoa taka na baadae niliweka mizigo yangu ila nilikumbuka kuwa kuna nyaraka za mhimu nilizozisahau kwenye nyumba niliyokuwa nikiishi hivyo nilimkabizi mtoto Damian au mzoa taka kisha baada ya hapo niliondoka kurudi kwenda nyumba kwa ajili ya kuchukua nyaraka.
Nilifika na niliposukuma mlango sikuamini macho yangu kumuona Alex akimlawiti dada wa kazi aliyekuwa akipiga kelele za chini kwa chini baada ya malinda yake kutolewa na Alex.
"Umeijia nini wewe mpuuzi!?" Alex aliongea baada ya kuniona nimemharibia starehe yake.
"Vitu vyangu vya mhimu wewe endelea na kazi yako ya kufanya mapenzi" nilimwambia huku nikielekea chumbani.
Alex nae aliongea"Unafikiri nitaacha kumzibua kisa wewe umenikuta!? hilo sahau kabisa acha niishi na wanawake walio tayari kunipa tundu la nyuma na sio mbele tu" Alex aliongea.
Naomba niseme kitu ndugu zangu nahisi Alex alikuwa ametupiwa pepo kiukweli kwani hakuwa kama vile nilivyokuwa nikimjua mimi sababu Alex alikuwa ni mpole ila cha ajabu kwa hicho kipindi Alex alikuwa ni mgomvi balaa.
Baada ya kumfuma Alex moyo wangu haukuuma sana sababu ata mimi mwenyewe nilikuwa nimchepukaji mzuri tu kipindi cha ndoa yetu. niliamua kufanya kile kilichonileta na baada ya mda niliondoka huku nikimuacha Alex akiendelea kumshughulikia binti wa kazi.
Basi nilifika kwa mzoa taka na baadae nilichukua simu yangu na kuamua kuwatarifu wazazi kwa kuwaambia kuwa nimeachana na Alex ila mama alianza kunilaumu kwa kunitaka nirudi kwa mme wangu Alex.
"Irene mbona bado ni mapema sana!?" Mama aliongea.
"Mama mimi siwezi kurudi kwa yule ata iweje"
"Kwani tatizo nini mpaka ukatae!?" Baada ya kuniuliza niliamua kumsimulia kila kitu kilichotokea na alibaki kwenye mshangao baada ya kusikia Alex alihitaji kupitisha mtalimbo wake kwenye tundu langu la nyuma na sio mbele.
Mama alinipongeza kwa maamuzi niliyoyachukua na aliponiuliza nipo wapi kwa wakati huo nilimwambia nimechukua chumba sehemu ili iwe vyepesi mimi kwenda kazini.
Basi maisha yalianza upya nikiwa mimi pamoja na Mzoa taka na kwakuwa nilikuwa na pesa tuliamua kuhama pale alipokuwa akiishi mzoa taka na kuhamia kwenye nyumba yenye hadhi iliyokuwa naΒ vyumba vitatu na sebule japo kwenye mambo ya kulipa kodi jukumu lote lilikuwa upande wangu.
ilibidi nimuzuie mzoa taka kufanya kazi yake ya kuzoa taka na nilimpatia pesa ya mtaji na bahati nzuri alikuwa na upeo mkubwa wa maisha hivyo aliamua kwenda kufungua duka la uuzaji wa vitu vya ndani hasa vyombo na vinginevyo.
Dada yangu baada ya kupata taarifa za mimi kutengana na mme wangu aliamua kuja kunitembelea ili aweze kuongea vizuri na mimi.
Siku hiyo alinikuta nikiwa nimekaa na Damian ambaye kwa wakati huo alibadirika kabisa na alikuwa kwenye mwonekano wa kuvutia.
Dada alishangaa kuniona nikiwa naishi na mwanaume mwingi na baadae Damian au mzoa taka aliondoka na kutuacha sisi wanawake tuongee yetu.
"Irene ivi una akili wewe!?" Dada aliniuliza na mimi ilibidi nimuulize kwanini ananiuliza kama nina akili ikiwa anajua nipo timamu na zinachaji tena vizuri tu.
Lakini aliamua kunijibu sababu iliyomfanya aniulize kama nina akili "Yani ata talaka hamjapeana wewe tayari unaishi na mwanaume mwingine huoni itakuwa hatari siku mme wako akija na kudai mwanaume unayeishi nae amemuibia mke!?"
Swali la dada lilinifanya nielewa na niliona lina umhimu mkubwa lakini nikiwa najiuliza Dada aliongea.
"Irene sura ya mwanaume wako mbona kama sio ngeni kwangu!?" Dada aliongea na mimi sikutaka kumkumbusha kabisa kama ndiyo yule mzoa taka aliyewahi kumuona kwenye nyumba niliyokuwa nikiishi zamani.
"Nahisi utakuwa umemfananisha tu dada" niliongea ili kumficha dada asiweze kujua kama Damian aliwahi kuwa mzoa taka.....ITAENDELEA.
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka

