VYOTE NDANI GONGA94
MAHABA YA MZOA TAKA 05 ππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mzoa taka alienda kufungua dirisha na kidogo ilinisaidia na kuacha kupiga chafya.
Mzoa taka aliamua kunikaribisha "Irene karibu hapa ndiyo kwangu na jisikie upo nyumbani" aliniambia na mimi uvumilivu ulinishinda na kuamua kumuuliza.
"Damian kwani umeshindwa kurekebisha chumba chako walau kikawa kwenye mwonekano unaovutia!?"
"Utanisamehe Irene kwani huwa sina mda kabisa wa kufanya usafi kwenye chumba changu" aliongea na mimi nilijua hasili ya mzoa taka ni uchafu hivyo sikutaka kuingilia maisha yake.
Sikutaka kukaa sana ndani ya chumba cha Mzoa taka, nilimuaga kwa ajili ya kuondoka ila hakutaka kunipa nafasi ya kuondoka bira kufanya nae chochote.
Mzoa taka alijua kunipatia kwani alijua ni sehemu gani anayotakiwa kunishika ili hisia zangu za kufanya mapenzi zipande.
Mzoa taka alinishika na kweli alifanikiwa na wote tulijikuta tukifanya mapenzi ndani ya chumba hicho.
Upande wa nje majirani walikuwa wakiongea yao huku wakiachia vicheko vya kila aina lakini sisi huku tulikuwa hatujali zaidi ya kuendelea kuzagamuana.
Baada ya kumaliza kufanya mapenzi, mzoa taka alinisindikiza huku tukiacha majirani wakituangalia na wakiwa hawaamini kama mimi nimeingia kwenye penzi zito la mzoa taka.
Nilimwambia kuwa iwe mwanzo na mwisho kunileta pale kwake kwani sikufurahishwa na mazingira yale. Mzoa taka alinijibu hatarudia tena na atafanya juu chini atafute sehemu nyingine ya kuishi.
Nilifika nyumbani na nilishangaa kumkuta Alex akiwa nje ya nyumba yetu akinisubiri.
Alex baada ya kuniona alinisogelea kwa ajili ya kunikumbatia.
Kwakuwa nilikuwa nimetoka kufanya mapenzi na Mzoa taka sikutaka kumpata nafasi Alex ya kunikumbatia, badala yake niliingia ndani na kwenda chumbani kuoga kisha baada ya hapo nilitoka kwa ajili ya kumsikiliza.
"Irene nilikusubiri mno ila ningeomba nikutoe out kidogo" Alex aliongea na mimi nilijua thumuni lake, nilitambua kuwa amekumbuka kufanya mapenzi na mimi na ndiyo sababu iliyomfanya akaja nyumbani kwetu.
"Alex mda umeenda siwezi kutoka nyumbani sasa ivi na ata wewe pia naomba uondoke sababu sio mda mrefu baba atakuja hapa nyumbani" nilimwambia.
Alex alikubali na kuondoka ila hakuacha kunisisitizia kuwa siku inayofata atakuja kunichukua na kunitoa out.
Baada ya Alex kuondoka niliamua kuendelea na mambo yangu huku kwenye kichwa changu taswira ya mzoa taka ilikuwa haifutiki kabisa, na ndiye aliyekuwa kwenye akili yangu kwa wakati huo na sio Alex.
Siku iliyofata Alex alinipigia simu, na aliniomba tuonane ila mimi sikutaka kabisa kwenda kuonana nae na badala yake niliweka visingizio vya kila aina kuwa nimebanana na nilimwambia atanitoa out siku nyingine.
Alex alishangaa kwani nilipunguza kumshobokea kama nilivyokuwa nikimshobokea mwanzo na baada ya kunisumbua sana niliamua kukubali kuonana nae na kama nilivyokuwa nikihisi ndicho kilichotokea kwani siku hiyo tulifanya mapenzi na Alex.
Miezi miwili ilipita na upande wangu nilishangaa kupatwa na mabadiliko kwenye mwili wangu. niliamua kwenda kupima na baada ya majibu kutoka niligundua kuwa na ujauzito wa mwezi mmoja na majuma kadhaa.
Nilikuwa na uhakika kuwa mimba niliyokuwa nayo ni ya mzoa taka, hapo sasa akili yangu ilikuwa kwenye wakati mgumu.
Niliwaza nifanye nini ili familia yangu isigundua kuwa na mimba ya mzoa taka na wazo nililolipata nikumtafuta Alex aliyekuwa mpenzi wangu.
Alex siku hiyo alishangaa mimi kumtafuta kwani alikuwa ameshakata tamaa kabisa ilibidi aniulize.
"Irene nini kimetokea mpaka leo umeamua kunikumbuka!?"
Baada ya Alex kuniuliza niliamua kumjibu " Alex sikuwa na njia nyingine zaidi ya kukutafuta wewe sababu ndiye baba wa mtoto aliyetumboni kwangu" niliongea huku nikiwa najua kabisa kitu ninachokifanya ni cha hatari.
"Baba wa mtoto!?" Alex aliniuliza sababu hakuamini kwa kile alichokisikia.
"Ndio Alex, ile siku tuliyofanya mpenzi mara ya mwisho ulinipa ujauzito na sikuwahi kulala na mwanaume mwingine zaidi yako" nilimwambia na Alex kwakuwa alikuwa akiniamini aliamua kuukubali na alikuwa tayari kuitwa baba.
Sikutaka kumwambia mzoa taka kama nina mimba yake, zaidi ya kupunguza nae mazoea.
Baadae familia yangu walikuja kugundua kuwa na mimba hivyo baba alihitaji kumjua mhusika ni nani, nilimwambia Alex aje ajitambulishe nyumbani na bahati nzuri aliweza kukubali.
Baba hakutaka kuona binti yake nikizalia nyumbani hivyo mpango uliandaliwa haraka wa mimi na Alex kufunga ndoa.
Nilifunga ndoa na Alex na mashaka niliyokuwa nayo ni siku mzoa taka atakayojua kuwa nimeolewa na mwanaume mwingine kwani nilihisi anaweza kuja kunivunjia ndoa yangu.
Nilihamia kwao Alex, na bahati nzuri familia yao ilikuwa ikijiweza.
Miezi kadhaa ilipita nikiwa naishi kwa mme wangu na baadae nilifanikiwa kujifungua mtoto wa kike niliyempatia jina la Grace huku baba wa mtoto watu wakimtambua kuwa ni Alex.
Kiukweli sikuwa na furaha kwenye ndoa yangu sababu niliolewa na Alex ilimradi tu, na kilichokuwa kinanyima uhuru ni mazingira niliyokuwa nikiishi kwa wakati huo.
Siku moja niliamua kumwambia Alex atafute nyumba nyingine ili tukaishi kwa uhuru zaidi. Alex alikubali na alienda kuwashirikisha wazazi wake waliokubaliana na kile alichowaambia.
Kwakuwa walikuwa wakijiweza, walimjengea nyumba nyingine kijana wao, na baada ya kukamilika mimi na Alex tulihamia kwenye nyumba hiyo nikiwa pamoja na mtoto wangu.....ITAENDELEA.
.
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka

