Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž
Gonga94 Β· Stories

MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya Alex kuniuliza nilifikiria kitu cha kumjibu na baadae niliamua kumwambia.
"Jana tulikuwa na semina ya kikazi ndiyo maana sikuweza kurudi nyumbani na nililala huko huko" niliongea huku nikiwa na wasiwasi kidogo na sikutaka kumwangalia Alex machoni .
"Semina jumamosi mke wangu au umesahau kama jana haikuwa siku ya kazi!?"

Baada ya kuniuliza swali jingine ndiyo alizidi kunichanganya na ilibaki kidogo tu aweze kugundua ila niliamua kutumia uwanamke wangu kwa kujitetea mbele yake kwa kumwambia kuwa semina ilipangwa kufanyika siku iliyopita ilikuwa jumamosi.

Kumwambia pekee niliona haitoshi nilimrukia pale pale kitandani alipokuwa amelala na kuanza kumwambia.
"Nilikumiss mme wangu na kwanini ulikuwa hinipigii simu ulipokuwa huko!?" ilibidi nijibebishe kwake ili asiendelee kuniuliza maswali aliyokuwa akiniuliza.
"Majukumu ya kazi mke wangu yalinibana ata hivyo hapa nilipo nimechoka kweli nahitaji kupumzika" aliniambia na mimi ilibidi nimuache aendelee kulala.

Niliamua kuendelea na mambo yangu huku nikiwa na muwaza mzoa taka. kiukweli nilihuzunika kwa ujio wa Alex maana niliona sitakuwa huru tena wa kuonana na mzoa taka.

basi siku hiyo kwakuwa ilikuwa jumapili nilishinda nyumbani mimi pamoja na Alex, ilipofika usiku Alex aliomba nimpatie penzi na mimi sikutaka kumbania nilimpa huku nikijitahidi kumpa ushirikiano lakini wakati tukiwa katikati ya mizagamuo nilijikuta nikimkumbuka mzoa taka wangu nakusahau kuendelea kumpa ushirikiano Alex.

ilibidi anilaze kitandani style ya kifo cha mende na yeye akalala juu yangu na kuendelea na mechi.

Siku hiyo nilikuwa kama gogo sababu hamna raha niliyokuwa nikiipata kwenye penzi la mme wangu Alex, baada ya kumaliza kufanya mapenzi Alex aliamua kuniuliza.
"Mke wangu mbona ulikuwa hunipi ushirikiano au hukufurahishwa na penzi nililokupatia!?" Alex aliniuliza .
"Hapana Da....nilitaka kulopoka Damian mbele ya Alex na baadae niliamua kubadilisha na kusema hapana Alex" baada ya mimi kuongea vile Alex aliamua kuniuliza.
"Da ndiyo nani huyo?"
Swali la Alex liliniweka njia panda na baadae nilimwambia.
"Ulimi hauna mfupa mme wangu nilitaka kutamka dada badala ya jina lako Alex siunajua na mda mrefu sijamuona" nilimjibu na Alex alinielewa kwa kile nilichomwambia.

Wiki moja ilipita bira mimi kuonana na mzoa taka kutokana na ubize wa kazi niliokuwa nao na uwepo wa Alex ulinifanya nikoswe mda wa kwenda kuonana na Mzoa taka.

Siku hiyo ilikuwa ni siku ya holyday nilipanga kwenda kwa mzoa taka baada ya kulikumbuka penzi lake maana mme wangu Alex kiukweli alikuwa kama akinitekenya tu.

Nilienda mpaka kwenye chumba alichokuwa amepanga mzoa taka tena kwa pesa yangu mwenyewe niliyompatia.

Nilisogea mpaka mlangoni na kabra sijagonga mlango kwa mbali nilisikia sauti za watu wakifanya mapenzi.

Mapigo yangu ya moyo yalianza kwenda kasi maana nilihisi lazima atakuwa ni mzoa taka aliyekuwa na mwanamke ndani ya geto lake.

Basi nilianza kugonga mlango na baadae sikusikia sauti za watu kuzagamuana tena zaidi ya sauti ya mtu kutembea kwa ajili kuja kufungua mlango.

Sura niliyoiona kwenye macho yangu ni ya mwanaume ambae simjui na wala sikuwahi kumuona.
"Kaka habari yako, mkazi wa hichi chumba nimemkuta..?" nilimuuliza nikimaanisha mzoa taka.
"Hapana dada yangu hayupo katoka kidogo" aliongea na mimi niliamua kusogea pembeni na kuchukua simu yangu kwa ajili ya kumpigia mzoa taka.

Bahati nzuri alipokea simu na baadae aliniambia kuwa chumba chake alimkabizi rafiki yake ili waweze kufanya yao ndani ya chumba chake.

Nilitaka kukata simu ila mzoa taka aliniambia.
"Usitoke hapo kipenzi nakuja sasa ivi tu tunyanduane" aliongea na kukata simu na mimi kwakuwa nilikuwa na hamu zangu niliamua kumsubiri.

Mzoa taka alifika nakusogea kwenye chumba chake.
"Oyaaa wewe jamaa toka humo na huyo demu wako mda wako umeisha" Mzoa taka aliongea lakini mwenzake hakutaka kumjibu nahisi alikuwa amefika kwenye utamu wenyewe.
"Juma ivi husikii!!?" Damian alimuuliza kwa sauti ya juu nahisi ata majirani walikuwa wakisikia sauti yake.

Basi baada ya dekika 5 juma alitoka yeye pamoja na mwanamke wake huku akilalamika.
"Dah wewe Damian ndiyo wa kunifanyi ivi yani sijaifaudu pesa yangu kabisa" Juma aliongea kwa kulalamika
"Siku nyingine ndugu yangu mpenzi wangu kaja" Mzoa taka aliongea na kunivuta huku akinipeleka ndani.

Baada ya kufika ndani sikufurahishwa na kile alichokifanya mzoa taka ilibidi nimuulize kwanini aliamua kumruhusu mwanaume mwingine aingie kwenye chumba chake na kufanya yao ila yeye aliamua kunijibu.
"Irene unajua kabisa sasa ivi mimi nimepunguza kufanya kazi ya kuzoa taka hivyo mda mwingine inabidi niishi kwa akili ili nipate pesa ya chakula" mzoa taka aliongea.

Baada ya kuona namuuliza sana mzoa taka hakutaka maswali yawe mengi alinisogelea na kunitupia kitandani, ile nimelala kitandani nilihisi kama nimelala sehemu yenye dimbwi kwani mashuka yote yalikuwa na jasho la kutosha.
"Damian ndiyo nini hichi emu toa mashuka yako" nilimwambia na mzoa taka alifanya kama nilivyomwambia.

Kiukweli mzoa taka alikuwa hajipendi kabisa na ilikuwa ni aibu kwangu mfanyakazi kutoka kimapenzi na mtu wa aina ile, ila kwakuwa ndiyo alikuwa kitulizo changu na ukizingatia mtoto niliyemzaa ni wa kwake ilizidi kunifanya niendelee kuwa na mahusiano nae ya siri....ITAENDELEA.

.
Tangazo - Earn up to $2000 a day
Earn up to $2000 a day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAHABA YA MZOA TAKA 11 πŸ”žπŸ”ž


Baada ya Alex kuniuliza nilifikiria kitu cha kumjibu na baadae niliamua kumwambia.
"Jana tulikuwa na semina ya kikazi ndiyo maana sikuweza kurudi nyumbani na nililala huko huko" niliongea huku nikiwa na wasiwasi kidogo na sikutaka kumwangalia Alex machoni .
"Semina jumamosi mke wangu au umesahau kama jana haikuwa siku ya kazi!?"

Baada ya kuniuliza swali jingine ndiyo alizidi kunichanganya na ilibaki kidogo tu aweze kugundua ila niliamua kutumia uwanamke wangu kwa kujitetea mbele yake kwa kumwambia kuwa semina ilipangwa kufanyika siku iliyopita ilikuwa jumamosi.

Kumwambia pekee niliona haitoshi nilimrukia pale pale kitandani alipokuwa amelala na kuanza kumwambia.
"Nilikumiss mme wangu na kwanini ulikuwa hinipigii...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mahaba-ya-mzoa-taka-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 13 πŸ”žπŸ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 12 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 πŸ”žπŸ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.18K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

1.91K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest