ILA BABA MKWE! ❤❤ (A) 01
Kwa jina naitwa Fatuma, karibu katika mkasa huu uweze kujua yale yaliyonikuta kwenye maisha yangu baada ya kutembea na Baba Mkwe wangu.
IKIWA ni wiki moja tu imepita tangu niolewe na Nasir kwa ndoa ya mkeka, nilianza kuuona udhaifu mkubwa kwa mme wangu, Nasir alikuwa haniridhishi vizuri ila nikiwa kama mkewe nilijitahidi kumtunzia siri mme wangu.
Kwakuwa sikuwa na kazi yoyote ile zaidi ya kumtegemea Nasir mda mwingi nilikuwa ni mtu wa kushinda nyumbani, siku hiyo Nasir aliwahi kuja nyumbani na kunikuta nikiwa nafua nguo.
"Fatuma twende chumbani!"
"Tukafanyeje Nasir!?"
"Acha maswali mke wangu wewe twende!" aliongea huku akinivuta mkono.
Sikutaka kukataa zaidi ya kuamua kuongozana nae mpaka chumbani, tulifika na Nasir pasipo kuongea alinisukumia kitandani na kuanza kuvua nguo zake.
"Unazubaa nini Fatuma vua nguo haraka!"
"Mmmmh! jamani aya ngoja nivue!"
Ningeanzaje kukataa ikiwa yeye ndiye mme wangu na ni wajibu wangu kumpa tamu Nasir.
Tulimaliza kuvua wote na Nasir alinilaza kitandani huku akionekana ana ukaka na mimi siku hiyo, moyoni nilijisemea leo ndiyo siku ambayo sitaisahau tangu niolewe na Nasir kwenye kuzagamuana.
Nasir hakuwa na mda wa kuniandaa zaidi ya kuishika mashine yake nakuiweka kwenye kitumb..a changu.
"Fa..tu..ma"
"Abeee!"
"Unajisikiaje"
"Mmmmh vizuri tu"
"Imefika vizuri"
"Eenhee" nilimjibu kutokana na maswali aliyoniuliza, mda huo alikuwa akiendelea kunifanya huku akiwa juu ya kifua changu.
Baada ya dekika tatu kupita Nasir aliongea.
"Naelekeaaaa...Fatuma......ashiiiiiii!" aliongea baada ya kupiga bao na kujitupia kwenye kifua changu, nikiwa kama mkewe nilijifanya namfuta jasho la uongo na kweli kwenye uso wake ikiwa hakuwa na jasho lolote lile maana tulitumia mda mfupi sana kufanya mapenzi.
Nasir alilala chalii na kuniambia.
"Fatuma ichezee ili iamke tuendelee tena"
Nilianza kufanya kama alivyoniambia mme wangu kwa kuonesha ufundi wangu lakini ilikuwa ngumu kwa bakora ya Nasir kuamka.
"Imekataa kuamka"
"Wewe endelea tu itaamka yenyewe" aliniambia kwa mara nyingine hivyo ilibidi niendelee lakini ilikuwa ngumu kwa mashine ya Nasir kuamka, kila njia nilizokuwa nazijua mimi nilijaribu kuzifanya lakini wapi!
"Tupumzike kidogo baadae tutaendelea tena" niliongea na Nasir aliniambia niende nikaendelee na kazi yangu ya kufua nguo, nilivaa na kutoka nje kwenda kuendelea na kazi yangu ya kufua huku nikimuacha Nasir chumbani.
Masaa mawili yalipita na kigiza kilikuwa kimeshaanza kuingia na Nasir alikuwa bado ndani, mda huo nilikuwa nimeshamaliza kufua.
"Fatuma njoo ndani mara moja" nilisikia sauti ya Nasir akiniita, niliacha kile nilichokuwa nikikifanya na kwenda ndani.
Nilimkuta mwenzangu akiwa vile vile uchi na temu hii mtalimbo wake ulikuwa upo on na sio off tena.
"Njoo tuliendeleze sasa mke wangu imekubali kuamka!"
"Mimi hisia sina za kufanya Nasir!?"
"Acha mambo yako Fatuma nimehangaika mno kuisimamisha alafu uniambie huna hisia!? emhu sogea hapa bhana na wewe mke wangu!" Nasir aliongea huku akinivuta.
Nyie yani basi tu nasimulia lakini wanawake tunapitia mengi kwenye ndoa uwe na hamu usiwe na hamu mmeo akitaka basi ata kwa lazima utautoa utamu kama mnabisha waulizeni wengine mpaka makofi wanapigwa wakikataa kutoa.
Tulianza kudinyana kwa mara nyingine lakini temu hii ndiyo tulitumia mda mfupi zaidi bora ata tulivyofanya kwa mara ya kwanza, bakora ya Nasir haikukawia, ilisinzia ikiwa ndani ya kisima changu.
"Ndio nini hichi Nasir jamani!?"
"Subiri Fatuma usiniongeleshe utanitoa kwenye hisia za kufanya mapenzi"
Ilibidi ninyamaze kama alivyoniambia mwenzangu, Nasir alihangaika akiwa mwenyewe lakini ilishindikana kuamka, alisonya kwa hasira na kujitoa kwenye mwili wangu.
"Kuna mtu kaniloga Fatuma hii sio kawaida kabisa yani hapa nimelogwa!"
"Utapona tu usijali Nasir mme wangu, mimi mbona naridhika tu na penzi unalonipa!?"
"Unasema kweli Fatuma!?"
"Ndio, kwanini nikudanganye sasa na wewe!? kweli naridhika na penzi lako!" niliongea ili kumtia moyo lakini moyoni nilijijua mwenyewe, yani nilikuwa siridhika kabisa ata kidogo.
Kiukweli pesa imeshika maisha yetu kwa kiasi kikubwa ila penzi pia lina nafasi yake ndiyo maana tulipewa maagizo ya kuja kuzaliana ili tuijaze dunia, kwahiyo inaumiza sana hasa mtu usiporidhishwa na mwenza wako.
Basi baada ya kumtuliza Nasir nilienda kuvaa nguo zangu vizuri nakwenda kuendelea na kazi zingine ikiwemo kupika. Nasir aliniaga na kuondoka nyumbani na kuniacha mwenyewe.
Alirudi mida ya saa tatu usiku huku akiwa kabeba matikitiki, matango na vitunguu swaumu vya kutosha.
"Fatuma nimeambiwa vinasaidia acha nitumie ili niwe nakuchezesha kisawasawa"
"Sawa, wewe tumia ila mimi nimeshakwambia kuwa natosheka na penzi lako" nilimjibu ila Nasir hakutaka kujali, moyoni nilitamani aendelee kutafuta tiba kwa nguvu ili wote tufurahie mizagamuo japo sikutaka kumwambia live maana lazima angezidi kudhoofika kiakili wakati wa sex.
Siku hiyo Nasir alikula tikiti lote na mbegu zake, mpaka vitunguu navyo alitafuna ili aweze kujitibu, tulivyoingia kulala nilimshauri mwenzangu tusifanye mapenzi huo usiku ila Nasir alikuwa king'ang'anizi jamani yani alikuwa hataki ashauriwe kabisa khaa!.
"Fatuma ndiyo maana nimekula tikiti zima na vitunguu, niache nione kama itafanya kazi"
"Mmmh sawa ila mimi naona ulale kwanza ili ukusanye nguvu"
Kwani alitaka kunisikia Nasir!?, mkono wake ulikuwa kwenye kisima changu na mwingine kwenye ziwa langu la kushoto akichezesha vidole vyake, alijua ndiyo sehemu iliyokuwa ikipandisha hisia zangu hivyo nilianza kudai kupewa haki yangu na Nasir, nilichoka kuchezewa na nilichotaka nikuchapwa bakora tu na Nasir.
"Nipe Nasir....
"Aya Fatuma nakupa mke wangu"
Nasir aliishika vizuri mashine yake na kuiweka kunako...
Kidogo siku hiyo ilisaidia japo haikuondoa tatizo alilokuwa nalo Nasir la kuwahi kufika, na hakuwa na uwezo wa kwenda round ya pili japo alionesha kutamani.
Basi tuliendelea na maisha hayo huku Nasir akijitahidi kula matunda mara kwa mara kwa ajili ya kuimalisha nguvu zake za kiume.
Siku moja wazazi wa Nasir walikuja kututembelea nyumbani na walinikuta mimi mwenyewe huku Nasir akiwa kaenda kazini.
"Binti yetu mwenzako alikutaarifu kuwa tutakuja!?" Baba mkwe aliniuliza.
"Hapana baba hakuniambia..!"
"Yaani Nasir bado yuko vilevile hayupo makini kabisa"
"Karibuni ndani"
Niliwakaribisha huku nikibeba mizigo yao na kuiingiza ndani.
Kwakuwa sikuwa muongeaji sana nilikuwa ni mwenye aibu kuongea na Baba mkwe pamoja na Mama mkwe wangu hivyo nilijifanya mda wote niko bize na kazi, mara nishike sufuria, mara nifagie hayo yote nikuchenga tu ili nisiongee nao, bahati nzuri Nasir alirudi na kuwakuta wazazi wake, ulifika mda wa chakula huku tukiwa tumekaa wote tunakula na Mama mkwe wangu aliongea.
"Nasir jitahidi nataka mjukuu mapema"
"Aya mama kwa mipango ya muumba utapata mjukuu ivi karibuni au nakosea Fatuma!?"
"Hapana Nasir hujakosea" nilimjibu huku tukiendelea kula.......ITAENDELEA.
njoo watsapp Group 👇 ⬇️
https://chat.whatsapp.com/LWAnH0xOJzHDJxtK0brJIu
full story Ni Elfu Moja tu.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni