Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

CAREEN Sehemu ya 8

30th Nov, -0001 Views 11

🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶
CAREEN
Sehemu ya 8
Mwandishi; maramoja the great.
Simulizi za john
0789 824 178
Full 1000

Baba akanambia yani careen ww mtoto umeshindwa pata ata chet mwNangu kweli umepiga zero wewe mtoto mbona una mambo ya ajabu ungekuwa ujafanana na mm ningesema mama ako kanisingizia ww sio mwanangu mbona una mambo ya ajabu nilibaki kimya nilishindwa ata kujitete
Baba akasema nataka nikupeleke chuo ukatumia chet chako cha form four upate deploma ya business nikuingize kwenye kampuni zangu ,nikasema baba mm sitaki kusoma bwana mm sielewag ntazid kukutupia pesa zako, baba akanambia kazi nnayo mm kwa uyu mtoto sasa unataka kufanya nini na uhuu umli wako nikasema baba mm nifungulie biashara tu nifanye
Mama akadakiaakamwambia baba kama hutaki pesa yako tupa nakwambia nani mfanyaji wa biashara apo uyo kichwa maji akuna kitu atakutia hasara uyu akae atafutiwe mume aolewe tu hamna kitu apo mama alinichambwa mno
Baba akasema basi mama careen, uyu ni bint yetu ata akivolonga atuna wa kumtupia bado atabaki kuwa mtoto wetu tu, mm ntamfungulia biashara anaweza kufanya vzur mama akawa bado anakaxia kwa akili za careen mm nipo apa , nikasema mama mm ntafanya mama akaniangalia akasema sawa tutaonaaa
Baba akanmbia nipe mdaaa utafanya unachokitaka binti yangu sitaki kukutesa na masuala ya shule kumbe akili yako haipo uko kuwa na amani mwanangu mzur, nikasema sawa baba ,na mm baba angu ananipenda sana japo nna mkwaza mno

Keli baada ya mwezi baba akinifungulia duka kubwa mwenge la vitu vya watoto ,yani nikisema kubwa namaanisha hakuna kitu cha mtoto umo utakosa kuanzia viatu , nguo ,pempus, kofia soksi yani nilikua na kila kitu na lilikua kubwa mno lilitwa careen kids fashion,
nilifurah mno baba akaniweka chini akanipa somo jinsi ya kufanya biashara nawezaje kulimaintaini duka na brand ya duka, alinielekeza mambo mengi sana na nilielewa vzur baba akanmbia ukifel apo sitawekeza pesa yoyote kwako tena nikasema sawa baba sitakuangusha baba angu
Kweli nilianza kazi na kuna vijana walikua wananisaidia ,apo walikua wanapaki maboss tu mana duka langu halikua la kawaida kudadadeki , mwenzangu na mm huwez ingia
nikawa dada wa mjini kweli kweli na mm , na gar baba alininunulia sasa nikawa natamba mjini utanambia nn
Biashara ilikua nzur sana yani mno nilikua naona kabisa duka naliweza na ntalimudu ikapita miez 3 najitahid mzigo ukipungua najazia baba akawa anakuja anasema yes naona mwanga mzur na ata mama akawa anakuja anafurah mno akanmbia jitahid sasa acha ujinga kabisa focus na biashara yako tu nikasema sawaaaaa mama napambana💪💪

CAREEN
Sehemu ya 9
Mwandishi; maramoja the great.
Apo nikapunguza umapepe biashara ilikua inanikeep busy mnoo nafunga usiku saa 4 nakua nimechoka naludi home kulala asubuh nafungua saaa2 kila siku so kidogo nilikua busy ata club sikuenda siku nyingi

Siku iyo nipo zangu dukani akaja mkaka mzur nakwambia bonge la handsome kumuona mpka nilistuka nakwambia mana kajazia juuu, mrefu uyo kapendeza ananukia sio powa , akanisamilia hellow nikasema hellow kalibu , akanmbia nataka nguo za mtoto wa miaja saba n a miaka 3 wote wa kiume, nikasema jamani kalibu zipo nyingi mnoo wala usijali mpenzi akasema okey naomba nioneee
Asa pale dukani kwangu kama mteja ataki kuzunguka mwenyewe kuna sofa anakaaa alafu wafanya kazi wangu wanamletea nguo anachagua anayotaka, kweli na yule kaka akaenda kukaaa pale wafanya kazi wangu wakawa wanampelekea anachagua anaagiza vitu vyengine nilikua namuangalia sana yule mkaka ni mzur ana weusi mzur anaongea vzurrr mnoo sijuh kwa nn nilipagawa nae gafraaa
Basi akawa amemaliza kuchagu a kaja kwangu akanikabizi alivyochukua nikamuhesabia naona yupo busy na simu yake ata haniangaliii dah🤣, nikamuhesabia ilikua kama laki 9 hvi ,akavuta wallet mwanaume akalipia akasema asante ,nikamwambia karibu tena
akatoka njeee asee ili likaka nililiangalia mnooo yani nilimpenda gafra yule kaka nikaona kaingia katika gar yake kali akaondoka nikasema aya bana nikawa busy na kazi zangu
Mara nasikia simu inaita nikachukua chapu simu yangu nachek naona ata haiiti sindo naangali kwa juu nikakuta simu ndo inayoita ile simu ilikua na gharama kama milioni 8 na usheheeee hvi nikasema mh yule kaka kasahau simu yake jamani , lakini si alikua anaichezea imekuajee tena kasahau ,nikaichukua nikaiweka vzur nikamuita mfanyakazi wangu mmoja nikasema yule kaka kasahau simu yake apaa akija ata kama sipo nimemuokea apa
akasema sawa madam,
Nkkawa naendelea na kazi zangu yule kaka mpka tunafunga hakuja nikasema au hajakumbuka kama kaiacha apaaa na mm nikaicha pale pale dukani nikaludi home , apo nakaa na wazazi nshaomba sana nikajitegemee mama ataki ata kusikia ashanambia ww bado mdogo muda ukifika tutakuruhusu ila kwa sasa bado na mm nikatulia sikuwa nataka shida na mama mana nishamkwazaga sana
Kesho asubuh nilichelewa kidogo dukani ila nikakuta wafanyakazi wangu washafungua duka wanapiga kazi nikafika nikawa naendelea na kazi nikauliza yule kaka amesahau simu yake amaekuja kuifata? wakasema hapana itakua ajajua kama kaisahau apa nikasema sawa ikiita now nitapoke
Kweli nikawa na busy na kazi , mala ile simu ikaita nikachek namba imeseviwa "my wife❤️" sijuh kwa nn niliumia ila nikaipokea nikasikia uyo dada anasema baby shida nn mbona upokei simu zangu toka jana usiku nikasema dada uyo mtu kasahau simu apaaa dukani kwetu
wee mbona sikumaliza yule dada akaaanza nitukana mshenzi wewe umaraya tuu mimi khalidi wangu peke yangu ata uumpe nyuma kwangu achomoi unajiangaisha bulee nilibaki nimeshangaaaaa.

Maoni

profile
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CAREEN Sehemu ya 8  >>> https://gonga94.com/semajambo/careen-sehemu-ya-8

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest