Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MFALME KIPOFU 11
Gonga94 · Stories

MFALME KIPOFU 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Katika jumba la kifalme baada ya mfalme Tengu kugundua binti yake hayupo alipata mashaka na kujua, huenda atakuwa katika mikono isiyo salama, sababu haikuwa kawaida kuondoka bira kuaga aliagiza vijana wake wamtafute haraka na...

ENDELEA NAYO.......
Mfalme Tengu akiwa anahangika kumtafuta binti yake,
Upande wa pili nyumbani kwa Lindiwe story zilichukua nafasi baada ya Princess Nailet kukalibishwa na kumkuta Prince Yao ndani. ilikuwa ni furaha kwake kumuona na kuzidi kukagua uzuri wa mwanaume yule aliovutiwa nae,

Lindiwe aliligundua hilo baada ya kuona Princess anamuangalia sana Yao na pia hakuna chochote cha maana alichozungumza Princess tangu awasili pale.
"Princess, Mfalme atakuwa ana wasiwasi na wewe ni usiku sana??".
"Ata usijali kwakuwa nimepafahamu kila siku nitakuwa na kuja kuwaona na ata kesho pia nitakuja".

Princess Nailet aliamua kuondoka maeneo yale huku akiwa na furaha isiyokuwa ya kawaida,
"Princess unafuraha sana siku ya leo??"
"Ni lazima niwe na furaha kwa sababu leo ni siku yangu ya kuzaliwa, pia nimeona kitu nilichokuwa nikikitafuta kwa mda mrefu"
"Unataka kusema tayali umempenda yule kijana kipofu???"
"Hayo ni ya kwangu mimi".

Princess Nailet anafika nyumbani na kumkuta Mfalme akiwa na hasira sana juu ya yeye kuondoka bira ruhusa,
"Tabia gani hii umeanzisha ya kuondoka bira ruhusa???,mfalme alifoka kwa hasira"
"Baba leo ni siku yangu hupaswi kuwa na hasira juu yangu"

Princess Nailet alijua mfalme anampenda sana mana ndie mtoto pekee kwake.

******************

Ni siku nyingine mpya baada ya safari ya mda mrefu ya usiku kucha ya asikari wa ADELI waliotumwa na mfalme pamoja na Cheki kijana waliyempata,
wanakaribia kufika katika kasili la kifalme la ADELI na tarifa zinapelekwa kwa mfalme juu ya ujio wao.

"Tayali kijana ameshapatikana kama ulivyotoa wazo lako".
Mfalme Kojo alimfikishia tarifa zile Malikia Andwaa.
"Haitakiwi achukue mda kukaa hapa inatakiwa tuongeze nguvu ya kumtafuta kijana wetu lazima nimtafute mwanangu , Malikia andwaa aliongea kuonyesha bado anatamani kujua Prince Yao alipo".
"Akija muonyeshe upendo mbele za watu ili watu wasishituke kama sio mtoto wako,mfalme aliongea na kuondoka".

Tarifa zilisambaa za chini juu ya Prince kuonekana na kesho ndio ilikuwa siku ya utambulisho wake.
Mlinzi mkuu Nzegi alielekea gerezani kwenda kumpa tarifa zile General,
"Hii ni habari njema sana kwangu,acha leo wafurahi ila kesho wakisikia nimetoka furaha yote itapotea"
"Ni kweli General ngoja nikaweke mipango sawa"
"Nakuamini Nzegi kijana wangu".

Mpango uliendelea kuwa palepale wa General kutoroka siku ya utambulisho wa Prince katika ufalme huo wa ADELI.

**************

Katika ufalme wa YUNDI, wafanyakazi katika jumba hilo la kifalme walishangaa kuona Princess Nailet anaamka asubuhi na mapema na haikuwa kawaida yake.

"Usiku kwangu ulikuwa mrefu sana sura ya Yao hainitoki katika kichwa changu, ni lazima nimuone asubuhi hii",ni maneno aliyokuwa akizungumza na nafsi yake Princess Nailet

Aliondoka katika Jumba la kifalme bira kuwa na msaidizi yeyote na kuelekea katika makazi ya Prince Yao,

Lindiwe alishangaa kumuona Princess asubuhi na mapema nyumbani kwake tena bira walinzi akiwa peke yake.
Walisalimiana kama ilivyo mila na desturi

"Mama najua unashangaa kuniona asubuhi hii katika makazi yako ila nina shida na Yao na maongezi nae".

Lindiwe hakuwa na kipingamizi alimfata Prince Yao, Princess Nailet alimshika mkono Yao na kumsogeza pembeni kwa ajali ya maongezi zaidi.

Wakati yote yanaendele binti Yunde alishuhudia tukio lile la Princess kumshika mkono Yao nakujikuta wivu ukimuingia,
"Hapana haiwezekani tangu lini ana mazoea na Yao, kwanza asubuhi hii huyu anafanya nini na Yao?,au wamelala wote????,
Pasipo kufikili mara mbili roho ya wivu ikamuingia hakuta kuona mwanamke yoyote anakaa karibu na Yao zaidi yake yeye,
Aliondoka mbiombio mpaka katika jumba la kifalme......ITAENDELEA

Kijana cheki anafikishwa katika ufalme wa ADELI je? atafanyikiwa kutambulishwa??,na Vipi kuhusu Yunde anayeenda kutoa tarifa kwenye jumba la kifalme nini kitatokea? Tukutane hatua ya 12.

Maoni

You're not logged in

Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MFALME KIPOFU 11

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Katika jumba la kifalme baada ya mfalme Tengu kugundua binti yake hayupo alipata mashaka na kujua, huenda atakuwa katika mikono isiyo salama, sababu haikuwa kawaida kuondoka bira kuaga aliagiza vijana wake wamtafute haraka na...

ENDELEA NAYO.......
Mfalme Tengu akiwa anahangika kumtafuta binti yake,
Upande wa pili nyumbani kwa Lindiwe story zilichukua nafasi baada ya Princess Nailet kukalibishwa na kumkuta Prince Yao ndani. ilikuwa ni furaha kwake kumuona na kuzidi kukagua uzuri wa mwanaume yule aliovutiwa nae,

Lindiwe aliligundua hilo baada ya kuona Princess anamuangalia sana Yao na pia hakuna chochote cha maana alichozungumza Princess tangu awasili pale.
"Princess, Mfalme atakuwa ana...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mfalme-kipofu-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mfalme-kipofu
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............01  Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............01 Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU  Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa  mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Story.....................MFALME KIPOFU Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
MFALME KIPOFU 12 na13
MFALME KIPOFU 12 na13
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU 9
Story.....................MFALME KIPOFU 9
Story.....................MFALME KIPOFU 8
Story.....................MFALME KIPOFU 8
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

1.1K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.02K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.02K
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

203
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

200
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

165
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

155
SHAMIRA Sehemu ya 46

SHAMIRA Sehemu ya 46

129
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

22
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.82K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS 🥰 yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest