Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 28
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 28

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi mie nikanuna nikasema jamani mama mie nataka nikajifunze .na mwalimu mkuu ananiamin mm. Na ninafanya vizur shuleni. Mama akasema sitaki nimesema.nikasema mama katika ao 10 waliochaguliwa na mpaka yusta anaenda wala sio mm tu. Mama aksema naomba nieleweke nimesema hakuna kwenda kokote wewe sio yusta mpumbavu ww. ndo mnapoenda kufanywa vibaya. Baba aksema we mwanamke acha uswahili .wanafanywaje vibaya na wapo na walimu wao. Mama akasema au walimu wanakuwa busy na mambo yao. Unazani watawaangalia mda wote mm sitaki. Nyieee nilinuna. Nikaingia ndani kwa hasira nikawaacha mama na baba wanabishana..baba akiwa anataka niende . mama anagoma. Mie sikupenda kabisa. Nataka nikaenjoy na baby wangu kila siku tunabanana. Ila now nilitaka kuwa nae sasa. Alafu mama ananibania sikupenda kabisaaaa.

Basi niliingia ndani nikanuna mnoo. Yani ata kwa shost sikuenda . Nikabaki ndan mpaka nalia.nikasusa mpkaa kula. Mama aknambia susa tu ila huendi. Ungekuwa ni safari ya kwenda na kurudi ni sawa. Ila kulala uko uko siku 2. Hapana. Nyie wakubwa wanaonaga mbali. Basi niljinunisha shoga yenu mpka kesho yake . Asubuh nikampitia yusta. Ndo nikamueleze njia nzima nalia.akanmbia bado tulia safari si kesho we leo kaongee na sir mlige. Umuelezee basi nikasema sawa. Tukafuka mpka shule.. sir tupa akaniita. Nikae da kanambia eeh mtoto we. Daaah yani unafanya mm natumwa na kupelekeshwa kuja kuongopa kwenu kwa sababu yako eeh . Kumbe ndo mana siku hizi akuchapi. Anakuchapa sehemu flani. Nikacheka nikasema sir tupa acha umbea. Akanmbia wala mi nimekutania tu.mlige ni mshakaji wangu . Ananmbia kuna mtu apa ndo mama yako . Mi nikajua madame.kheee et ananmbia farida wa form four A . Mtoto una balaa wewe. Unamuweza yule baba. Atakuchana ww. Nikacheka .japo nilitoka nimenuna ila sir tupa alinichekesha sana. Nikasema sir tupa et mama kakataa nisiende tour. Sir tupa akacheka akasema.dooh bi mkubwa kachana mkeka. Kwani we si unamtoko na mkuu wewe. Kastuka iyo.nikacheka akanmbia kaongee na bwana ako yupo ofisini tayari. Nikasema sawa.

Kisha nikaenda mpaka ofisini. Nikamkuta kweli kajaa tele. Kawakaa kweli kweli. Ana anjua kuvaa uyu baba acheni tu..alivyoniona akanambia woow .nilikuwa nakuwa za apa . Mh nikaanza kujiliza shoga yenu. Mlige akanmbia nn shida tena faridaa plss mama acha. Akaja akanibebe akaniweka juu ya mez akanza kunibembeleza .mie tena ndo kilio kinazidi akanmbia nambie mpenzi wangu nini shida. Nikasema mama kakataa nisiondoke hataki. Mh niliona mlige akapoa.akanmbia mama ndo amekataa na baba je. Nikasema baba kakubali ila mma ndo kagoma akanmbia sawa ntaenda kuongea na mama mda sio mrefu usilie na naamini atanielewa Namuelewa mama anahofia usalama wako na si lingine. But usijali ntaenda kuongea nae mie. Nikasema saw basi akaninyamazisha nikanyamaza akachukua biskuti akanipa ..akanmbia aya nenda darasani ngoja mm niende nikaongee na mama. Basi kweli mie nikaludi na shogaaa. Nikamwmabia sir mlige kanambia anaenda kuongea na mama ngoja tuone atanipa majibu gani .basi kweli hii siku wala hakukuwa na masomo.na walimu wengi walikuwa busy juu ya tour . Na wanafunzi ndo walikuwa wanalipia mana kesho yake ndo safari yani siku ya ijumaa. Na j mosi. Na jpili ndiol wanaludi. Na yusta alishalipiwa na mzee mkubwa . Tena ilikuwa elfu 50 .mtu mmoja. Basi yusta akanmbia utaenda tu wala usiongope.basi tukawa busy na story zengine

Mala akaniita tupa. Nikaenda kumsikiliza. Akanmbia sir mlige kanipigia simu apa kuwa uendele na maandalizi ya safari kesho . Mama kashakubali ila yeye harudii shule kuna mambo anayafatilia si unajua kesho ni tour.nilifurahi nikasema kweli. Sir tipa akasema unafurahia kwenda kupigwa miti eeeeh .ona kinavyompenda mtu mzima . Ngoja akujaze mimba. Nikacheka nikasema jamani mwalimu mbona unakuwa hivyo. Basi nikludi kwa yusta nna rahaaa . Akanmbia sasa leo tukitoka shule tupitie kwetu kuna vitu nataka nikuelekeze kabla hujaendaaa uko kwa baby wako nikasema sawa. Basi hii siku tukaruhusiwa mapema mno watu wakajiandae na tour yani saa 6 tu. Mie nikaenda kwa kina yusta. Basi kama bahati mama yake yusta hakuwepo tukajua ni kaenda shamba.na moja kwa moja yusta akaniingiza chumbani kwake. Basi tulivyofika yusta akanambia ya shogaaaa nataka nikupe mbinu za mkumtega mwanume .mh mie nikabaki namuangalia mana sielewi chochote kuhusu mwanaume .twende kazii




Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 28


Basi mie nikanuna nikasema jamani mama mie nataka nikajifunze .na mwalimu mkuu ananiamin mm. Na ninafanya vizur shuleni. Mama akasema sitaki nimesema.nikasema mama katika ao 10 waliochaguliwa na mpaka yusta anaenda wala sio mm tu. Mama aksema naomba nieleweke nimesema hakuna kwenda kokote wewe sio yusta mpumbavu ww. ndo mnapoenda kufanywa vibaya. Baba aksema we mwanamke acha uswahili .wanafanywaje vibaya na wapo na walimu wao. Mama akasema au walimu wanakuwa busy na mambo yao. Unazani watawaangalia mda wote mm sitaki. Nyieee nilinuna. Nikaingia ndani kwa hasira nikawaacha mama na baba wanabishana..baba akiwa anataka niende . mama anagoma. Mie sikupenda...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-28

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

915
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

717
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

691
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

503
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

391
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

248
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

175
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

104
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

75
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

70

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.56K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.51K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest