Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

SIMULIZI : KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Mwandishi... HURU MEDIA Page Bahari ya simulizi Sehemu ya 10

1st Jun, 2025 Views 112

SIMULIZI : KISURA WA DAMPO????????
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)
Sehemu ya 10

Akaniangalia kisha akacheka nikajikuta naanza kulia, “ unalia nini sasa? Ikabidi nay eye aniulize…
“yaan unanicheka si ndio, unanicheka kwa sababu najua unania mbaya na mimi, unajua kabisa unataka kwenda kunifanyia mambo ya ajabu ndio maana unaniambia nikapande ndege, alafu unanicheka, kama unataka kuniua wewe niuwe tu kawaida kuliko kwenda kunipa kifo cha mateso cha kunitupa nikiwa kwneye ndege, nikaanza kulalamika…

Mackmill akanisogelea kisha akanikumbatia na kusema “ mke wangu kipenzi, nakupenda sana unajua, kuliko nikudhuru wewe au mtoto wetu ni bora nijidhuru mimi, siwez kukuingiza kwenye matatizo hata kwa bahati mbaya, tukisafiri kwa gari utachopka tu na kama unavyoona hali yako ila ndege ni dakika chache sana tunakuwa tumeshafika dar, ndio maana nikaona tuchukue ndege, naomba uache uoga, maana mimi nipo na nikuahidi kuwa, kwenye siku zote za maisha yangu nitahakikisha nakulinda mamaa…

Basi mackmill akanipooza pooza pale mwisho nikamuelewa na kweli siku hio akalala amenikumbatia kwa nguvu, yaan alafu anahema juu juu, kumbe alikuwa ananitaman sana pale, ila alikuwa ananionea huruma tu, sasa kama mnavyojua ile sauti ya usingizi ilavyotokaga ya kichokozi, nikamuuliza, mbonma una hema hivyo unaumwa, aisee hjakunijibu akaanza kunikiss kwa fujo kisha kabla hajamalizia kula tunda akasema “ nisamehe mke wangu nilikuwa nimejizuia usiku kucha ila sauti yako imezidi kunivuruga naomba kidogo tu mamaa, sitakuchosha, naomba kidogo mamaa nakupenda sana, sikutaka kubisha, maana kama ni kufanya tumeshafanya sana, nikaachia mwamba ajilie vitu vyake, kwani shingapi…..

Basi bwana kamaliza akanibeba na kwenda kunipeleka bafuni, tukaoga, akaja akanivalisha pale na mara baada ya kumaliza kunivalisha, akanishika mkono maana kulikuwa tayar kumepambazuka na alikata ticket ya ndege ya saa moja kamili asubuh, hivyo tulikuwa tuna nusu saa ya kufika kisongo, sasa wakati tunatoka si nikaona mtu anakula kitu kina nyama na yai, muda huo mack sijui alikuwa anashangaa nini, nikamfata kisha nikasema “ kaka naomba mayai…

Mack anakuja kupata akili ananiona naomba, akanifata kisha akasema “ shida nini mke wangu..
Nikaanza kulia huku nasema “ yaan mimi naomba zangu yai unanizuia, haujui kama nasikia njaa au laa, sawa tu, nikaanza kulalamika, mack akaniangalia kisha akaanza kucheka na kusema “ mleteeni huyu egg chop, kisha akamfata Yule kijana na kusema “ tusamehe kwa usumbugfu si unaona hali yake lakin…

Nikaona kama wananitukana, nikazidi kulia, ha[po Yule kaka anamaliza kula egg chop yake, hapo sijui kama inaitwa egg chop, nikaona wasinitanie, nika,mpora kisha nikaanza kula, watu wote walioona kile kitendo wakaanza kucheka, mara nashangaa egg chop nyingine zinaletwa, nikashika moja nikampa Yule kaka, akawa kama hataki kupokea, mack akampa ishara kuwa apokee maana hakutaka kelele, basi akapokea, nikachukua sahani nikaanza kuzigawa egg chop zote kisha nikamfata mack nay eye nikampa, akapokea ila hakuwa anajua hata nafanya vile kwa sababu gani..

Njlipohakikisha nimeshampa kila kitu, nikamwambia mack haya twende ukanipandishe ndege…
“ nimekununulia eggchop ule maana ulitaka ya watu lakin badala yake umegawa zote hauna njaa? Akaniuliza mack..
“ yaan nyie watu wenye pesa ni wabinafsi sana, kwamba haujaona kama wenzako wananjaa hawajala kitu, alafu unataka mimi nile mwenyewe, kama unaona kuwasaidia watu ni vib aya, niambie ni shi ngapi nitakulipa, ila siwez kuona watu wanasikia njaa alafu nina uwezo wa kuwapa kitu nisiwape, nikasema, mack akaangalia chini akawa kama anataka kucheka ila akajizuia maana hakutaka kelele, maana sitabiriki maana dakika mbili mbele naanza kulia…

“ mtoto wetu atakuwa mkarimu sana jaman, haya niambie tuwaongezee au laa? Akauliza mack..
“ wanaonekana wameshashiba maana sioni kama wanakula, nikajibu, mack hapo akashindwa kujizuia akaanza kucheka, maana kwa aina ya hotel ambayo tulikuwa ni dhahiri kuwa kila mtu ambae anaweza kuja pale ni lazima awe na uwezo,, maana egg chop kikawaida inauzwa elfu moja ila pale ni elfu nane, chai kikombe ni elfu tano, alafu mimi najitia umbea wa kutaka kutoa msaada kwa matajiri, ila hakutaka kunambia kitu, na badala yake akanambia yeye ana njaa anataka kula..

“ ulisema tunachelewa ndege kwa hio hatuendi tena, mack akaangalia saa, ilikuwa saa moja na dakika 25, na hapo tulipo ni njiro, mpaka tufike kisongo ni lazima ndege tyukuyteqq imeshaondoka, hivyo hakutaka kunambia, akataka tupoteze muda ila abook ndege inayofuata..
…….Je nini KITAENDELEAAA!! "
ofaaa simulizi hi ipo mpk mwisho ni 1000 TU
WAHI WHATSAPP 0755090082.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

mrindia rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 25

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest