Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

SITAKI KURUDI NYUMBANI ?Mwandishi: Kelvin Mlowe

1st Jun, 2025 Views 88

JINA LA CHOMBEZO: SITAKI KURUDI NYUMBANI
?Mwandishi: Kelvin Mlowe

?Kwa majina naitwa John wengi hupenda kuniita joooooooh kwanza kabisa kijiji kizima mimi ni handsome boy sijisikii lakini huo ndo ukweli wangu .....
?Kama hutaki basi mi sipo hapa kukulazimisha ila ndo ivo .....
?
?
?
?Nilikuwa nimekaa zangu kwa amani, nikinywa uji wa dona nyumbani kwa mama, ghafla mwenyekiti akanipigia simu.
?
?“Rashidi! Tuna mzigo wa dawa , unatakiwa kupelekwa kijiji cha Limbuso. Kijiji cha sita kutoka hapa ni safari ya masaa matano na Ni porini, lakini usiwe na wasiwasi, ni kazi rahisi tu ya siku moja,” alisema kwa sauti ya kiongozi.
?
?Nikakubali bila kufikiri sana. Nilidhani ni safari ya kawaida maana ndo vitu vyangu japo udhaifu wangu ni sketi tu yaani hapo huniambii kitu . Nikapakia mzigo kwenye pikipiki ya kijiji, nikavaa raba zangu na nikaanza safari.
?
?Lakini nilipofika maeneo ya fulani baada ya kupita vijiji vinne njia zikaanza kubadilika. Hakukuwa na network, hakukuwa na hata watu sio siri niliogopa , na mbaya zaidi... nilianza kusikia sauti za wanyama porini.
?BAADA YA MASAA KADHAA......
?
?Kufika Limbuso ilikuwa kama kuingia dunia nyingine.
?
?Kijiji hicho kilizungukwa na miti mirefu, maua yenye harufu ya ajabu, na nyumba zilizojengwa kwa muundo wa kipekee baadhi zilionekana kama ziliundwa na mikono ya wanawake wenye ustadi wa kipekee.
?
?Nilipokelewa na msichana mmoja mwenye ngozi ya chokoleti safi, macho makubwa kama ya paka, na mdomo uliopambwa kwa rangi fulani . alikuwa anachota maji nilikuwa namuangalia huku naendesha pikipiki saa ngapi nisivamie mti ....paaaaaaah nikainuka haraka
?Kumbe aliniona akaaanza kunicheka
?Duuuhhhh niliaibika ila pikipiki haikuharibika maana nikiharibu sijuwi nitarudi vipi ? Na nitaeleza nini kwa wanakijiji maana pikipiki ipo moja kijiji kwetu walichangia na kuinunua ......
?
?
?Alinisogelea na kuniambia " pole kaka lakini kuwa makini " mimacho yote huoni kama kuna mbuyu"
?Nlizuga nilikuwa nasikia kizunguzungu ....
?Nikamuuliza anaitwa nani???
?
?Aliniambia anaitwa Nuru.
?
?“Karibu Limbuso, mgeni! Tumekuwa tukikusubiri,” alisema huku akinitazama moja kwa moja machoni. Nilishindwa hata kusema “asante.”

Nilikaribishwa kijijini hapo jamani hiki kijiji kina warembo sio siri kila napopita kuna pisi kali kila nakopita watoto wanaita .... Nikuwapungia mkono huku nikiachia tabasamu

? Wasichana wa Limbuso walikuwa wengi, warembo, na wa kirafiki sana. Walivalia vitenge vilivyowafanya waonekane pisi pisi kweli watoto mapaja ayo mmmh . Hawakuwa na aibu, wala hofu ya mgeni. Nilijikuta napewa chakula na kunyweshwa juice ya matunda nisiyoyajua majina

Walinikaribisha jamani ...........
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY???15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA? Sehemu 13.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY ???11

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

mrindia rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 25

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest