UDANGAJI ULINIPA
MUME TAJIRI?
MTUNZI HAPPY CHARLES
WSP 0786193547
SEHEMU..1
???????????????
Unaambiwa akuna aijue kesho ila leo tunaiyona kesho ndio pagumu mtu kujua maan ingekua rahisi kila mtu angejua kesho yake inakujaje ili aweze kabiliana nahali iyatayokuja kumtokea.. Mungu niwaajabu sana.
Niliamka mapema tu nikawa natazama nje nikiwa Ndani Yajumba langu ila kulikua nijuu yaghorofa ya nyumba yangu ilikua nzuri tu nakubwa sanaa ata siwezi kuyelezea ...
Niliangalia nje hali ilivo Nakushika tumbo langu ambalo lilikua nakiumbe ndani yake.. Nikakumbuka maisha yangu yanyuma Sasa nikiwa namiaka 24..
Unajua kila mtu najua alichopitia kwenye maisha yake kiwe kizuri au kibaya pia.. Lakini ndio alichokipitia..
Nakila tunachokipitia kwenye maisha ujenga istoria sikuwai kuota kama ipo siku nitakuja kuishi maisha kama aya niliyaota tu nakuyaona kwenye tv.. Ila ndoto yangu ilikuja kutimia baada yakumpata mume wangu
Jina namficha kidogo ( ??).. Alinitoa kwenye hali ngumu sanaa yamaisha yangu Nakuyabadili pia .. Basi nami nawapa istoria yangu njice nilipitia msoto namaisha mabovu sana kwangu yalikua mabovu.. Sana nawala sikuvutika nayo.
TURUDI NYUMA KIDOGO
MIAKA 6 Nyuma kabla yakua mke wamtu nakumiliki jumba kubwa tu...
Kwamajina naitwa Lulu..
Sasa Nilikua namiaka 18 tu
Maisha yanyumbani kwetu yalikua sio mazuri sana ata baada yakumaliza kidato changu channe sikuweza kuendelea so nilikua nipo nyumbani kwetu tu
Nikasidiana na mama yangu bi shausiku Kushona shona mama alikua nakiujuzi chakushona shona akawa anawashonea watoto pale mtaani nguo zao nazile zilizotoboka..
Simnajua mzunguko wakijijini waela sio sana kama wamjini pia wazazi wangu wao walijiusisha nakilimo nanilikua mimi namdogo wangu mmoja alietwa sophia yeye alikua bado anasoma shule yamsingi darasa lasaba ndio alikua mbioni kumaliza lasaba..
Nilitamani ata siku moja nitoke nyumbani kwetu nakwenda mbali ili nitafte maisha nami nije wasaidia wazazi wangu
Siku moja nilikua nipo jikoni nipika nilimsikia mama akimkaribisha mtu kwafuraha..
"Jamani fau bint yangu umerudi uku kwetu jamani karibu bint yangu..!!"
" Ahsante mama nishakaribia.. Nilivosikia ile sauti Nikatoka jikoni haraka maan nilisikia sauti yamtu nae mjua nikatoka..
" Waooh da fau. Nilienda kumkumbatia kwafuraha kweli alikua dada yangu japo sio mzaliwa nasisi yeye alinizidi umri miaka yake 27 alikua bint wapale pale mtaan kwetu na alizoena nafamilia yetu pia alimpenda mama yangu nakumuona kama mama yake japo nae alikua nafamila yake lakini alimzoe sanaa mama yangu.
?????????????
"Da fau unazidi kupendeza jamani..!! nilimtazama kwamatamanio kwasababu alipendeza juu mpaka chini vitu alivo vaa vilikua vyagharama tu.
"Ahsnte mdogo wangu ata wewe umekua kweli Lulu umezidi kua mrembo sana.
"Mmmh ata sikuzidi wewe mimi manguo Yashamba aya kila siku nanuka moshi tu."
Basi mama alimkaribisha ndani mimi nikarudi jikoni kuendelea kupia.. Baada yamuda nilitoka jikoni chakula changu niliivisha kilikua teari.. Nikawafata seblen nilipenda kweli kumtazama da fau.
"Eeh leo umemuona fau dada yako unafuraha kweli ayo makande yangu yameiva kweli??.. Mama aliniuliza.
" Mama bhana yameiva.. Da fau utakula makande?? au ushazoea vyakula vyamjini!"
"Ila Lulu wewe unazidi kukua namaneno yako yaudogo adi leo ujaacha tu.. Nitakula sindio chakula chakwetu mdogo wangu..
"Tenga kama kipo tayari ili Ale mwenzio.. Basi nilienda nikatenga chakula tukala.. Muda flan nilikua nimekaa kwenye kochi mama akiongea na da fau.. ila da fau alikua akinitazama kweli.. Kisha akasema.
" Mama kwani Lulu anafanya nini apa kijijini kwetu..??!!"
"Anachakufanya sasa! kamaliza tu shule yupo yupo alafu kilimo ndo ivo tena awezi akilima kidogo et kachoka nikavivu aka usikaone tu apa nakanajifunza nacherani yangu pia."
"Aah sawa sasa mama yangu mimi kule mjini naduka langu kubwa languo unaonaje nikimchukua awe ananisaidia kuuza uza nguo uko maan mimi sikai dukani sana nakazi nyingine uwa nafanya."
Mimi nikalopoka kwanguvu.. Kweli da fau??! ... Eeh kweli ila mpaka mama apa akuruhusu..
"Kiukweli nilitamani sana kubadili maeneo mazingira Pia natoka nimezaliwa adi nimekua nakusoma sikuwai kutoka pale kwetu nilimiss kweli kutoka nyumbani nikafatafte maisha..
Wenda on day ningetoboa nakuja kua msaada mkubwa kwetu.. Jamani akuna asiependa maisha mazuri ayupo dunia hii tusidanyanyane..
Mama alikaa Kimy kwamuda akifikiri "akasema niwazo zuri ila ngoja baba yake mzee Lucas arudi kutoka shamba nitaongea nae akikubali basi utaondoka nae..
Apo nikawa naomba mungu baba akubali tu mimi niende zangu mjini.. Da fau aliaga pale akatoa pesa niliona nyekundu mbili yani elfu 20.. Mama akapokea nakushukuru.
Da fau aliondoka ila jicho lote kwangu Mmh! mpaka nikawa nasema mbona natazamwa ivo au naonekana mshamba sanaa nini!! .. Ombi langu lilikua baba aje mama amwambie nae akubali.
?????????????
Basi bwana Usiku baba alivokuja niliitaji kujua mama atavo mwambia nae atakubali pia!!... Sasa bhan nikaenda kuwasikiliza mlangoni..
"Wewe unamuaminije! uyo fau mtu anakaa mbali naapa bint yangu akipata shida uko alipo ana ata ndugu?? Usisikie mjini mkajua maisha nisafi napo nitagumu pia."
" Aah!! nikaona uyu mzee nae anazengua sasa jamani siakubali tu mimi niende zangu mjini uko japo kwetu apakua kijijini sana ila alipokua anakaa da fau kulikua namwendo sana nakulisifika nikuzuri kumeendelea majengo mazuri mzunguko pia wabiashara ulikua mzuri.
"Mume wangu mpe mtoto chance amekaa apa kijijini miaka yote ajawai kutoka adi Leo kamaliza shule fau pia nibint waapa apa naumchukulia Lulu kama mdogo wake eti.. Awezi fanya jambo baya."
"Sawa mruhusu aende ila uyo fau wako mwambie awe makini nabint yangu."
Nilivosikia baba kakubali nikasema yesiiiii!!!!... Nilikimbia chumbani kwangu nikaanza kupanga nguo zangu ucku ule ule kwenye chaka chaka langu uku nukiona masaa mbona yanaenda slow sana asubuh akufiki jamani.. Nilijipangia nguo vizuri tu sikutaka kusubiri mama aje aniambie uku mie nishasikia jibu nindio.
Asubuh mama alinifata nakuniambia baba yako kakubali nijiandae..
"Nikasema sawa. Muda wasatano ivi asubuh da fau alikuja nyumbani kwetu jamani nguo zake nzuri nzuri tu zilinifanya nikavutika kuondoka nae muonekano wake pia mzuri
Uku mimi sikua namambo mengi sket yangu nablauzi yangu uku yeye kavalia msurual uwo uliomshika barabara nywele nzuri imekaa kichwani ikatulia jamani kama niduka analo sio kwakua smart ivo.
Alisalimiana na mama yangu uku akiwa kashika kimkoba chake nacmu yake kubwa tu sijui ndio smarty phone zinaitwa! mimi nipo nachaka chaka langu la shangazi kaja nikiwa nipo tayari kwasafari ..
Fau kamtazame Lulu kama mdogo wako kama ndugu yako atapokosea mkanye pia muonyeshe njia sahii nailio jema kwake pia..
Alafu nawewe Lulu ukawe msikivu usimsumbue dada yako fau sawa! nilikubali uku da fau alisema mama usijali.. Lulu nimdogo wangu nitamlea kama mdogo wangu atapata shida."
"Mimi nilitamani kumuona baba yangu ila aliwai kwenye mashamba yake mapema basi tuliaga pale uku mdogo wangu sophia akilia akwenda shule ilikua wekend alilia kweli nisimuache nikimpa matumini..
Nitarudi asome kwabidii sababu alikua ndio yupo darasa lasaba namuda sio mrefu angeamiliza .. Alinikumbatia pale tukaagana. safari ikaanza yakwenda mjini moja.
Jamani naenda mjini mie.... Like uwezavyo ujue lulu baada yakufika mjini itakuaje!!! duka lipo kweli....!!!!....
Itaendelea....