Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

MADAM NIPE KIDOGO BASI 5

27th Aug, 2025 Views 63



“ una kichaa unataka nikupe nini, usitake kunambia kuwa huwa unanifuatilia, si ulishaonywa shulen au unataka kufukuzwa shule si ndio, nikaanza kufoka huku nikiwa naweka nguo zangu vizuri……..

Kendrick akaniangalia kisha akasema ‘ kwa hio uliomuambia mwalimiu Bruno ni uongo?...
Nikaanza kushangaa nimemuambia nini, nikawa namuangalia sijui hata ana maanisha nini, nimemuambia mwalimu Bruno nini, na kina uhusiano gani yangu mimi na yeye, sikuwa namuelewa kabisa…

“ umemuambia kuwa unanipenda snaa ila hautaki kuharibu kesho yuetu, umemuambia kuwa natakiwa nisome sana ili niweze kukuhudumia madam vicky, umemuambia kuwa hauwezi kuwa na mwanaume mwingine zaidi yangu, sasa huyu ambae umekuja nae hapa kwako ni nani? Akaniuliza…

Nikaona sasa hichi kizaa zaa, kwa maana ameaminishwa kuwa mimi ni wa kwake, na kwakweli niliona kama sio busara kulala na mwanafunzi wangu hata kama yeye mwenye ndio anataka, niliona kama sio sawa kabisa yaan…
Nikamuangalia ken drick, hapo nimejifufika shuka kisha nikamsogelea na kumuambia “ umeshawah kiufanya hichi kitu?...
“ hapana sijawah ila nakuahidi sitokukera na utafurahia kila kitu, akasema…
“ sasa haujawah alafu unaniambia kuwa nitafurahia, haoni kama sio kweli, sasa ni hivi, alichosema Bruno ni sawa kabisa, jitahidi kwanza umalize masomo alafu mimi nitakuwa wa kwako milele…
“ naomba usiwape wanaume wengine nafasi, naweza kuwa mume bora kwako niamini mimi, nitakuwa zaidi ya unavyonifikiria, na nitafanya kila kitu vizuri nakuapia, akawa anasema…

Nikaona ehee kazi imeanza kuwa kazi sasa, nikamuangalia kwa sekunde kadhaa. Sikutaka kupeleka taarifa zake tena shuleni, alikuwa ni mwanafunzi bora sana na sikutraka kumuondolea ubora wake kwa kumkatisha tamaa, sikuwa sababu ya kuharibu maisha ya mtu kirahisi namna hio, alikuwa ni baba na mume bora wa mtu kwa muda flani, alikuwa ni mwanafunzi mwenye maadili sana, isingekuwa mapenzi yake kwangu basi angekuwa ni mwanafunzi bora sana, nilitaka apigwe sana ila nilijua kwa namna alivyo anaweza hata kuacha shule ila sio kunipoteza, nikazidi kumuangalia kwa sekunde nyingine kisha nikamuambia kuwa “ sawa nitafanya utakavyotaka, ila hakikisha kwanza umemaliza masomo yako, nikasema…
“ nataman kufanya sana madam, naomba unipe basi kidogo…
‘ siwezi kukupa kama haujamaliza masomo yako, nakuahidi kuwa ukimaliza masomo yako, hio ndio itakuwa zawadi ya kwanza kukupa na ukifaulu nakuapia kwa jina la mungu, naweza kuwa mpenzi wako rasmi, na usiwe na shaka juu ya hilo, nilikuwa nasema tu kama namna ya kuachana nae, ila sikuwa naanisha jambo lolote lile kati ya mambo ambayo nilikuwa namuambia, akanisogelea na kunibusu kwenye midomo yangu kisha akasema “ nitafanya kama unavyotaka, ila naomba utekeleze ahadi zako kisha akaondoka zake………..

Alivyoondoka tu nikashusha pumzi na kuufunga mlango wangu haraka sana, sikutaka arudi tena nyumban kwangu, basi nikalala na siku hio ikapita, na hatimae majogoo wa siku mpya wakaanza kuita, nikakurupuka na kujiandaa kwa ajili ya kwenda kazini, nilianza safari na nilishahau kabisa kuhusu habari za Kendrick, nilipofika shuleni nikamkuta amesimama anatembea tembea kama mtu ambae amechanganyikiwa, au anasubiri kitu kwa hamu, nilipofika usawa wake, alikuja na kunipokea pochi akiwa na tabasamu kubwa kwenye lips zake, na kwa sauti ya bashasha akasema “ good morning madam…
“ good morning Kendrick, nikajibu maana sikutaka mambo yawe mengi, akanipelekea pochi mpaka ofisini na akaelekea zake darasani kuendelea na masomo yake, sikumjali na niliamin mpaka akimaliza shule ni lazima atakuwa ameshasau kila kitu kuhusu mimi, basi nikaendelea na maisha yangu kama kawaida…

Kendrick alikuwa anasoma kwa juhudi sana, alikuwa anaimarisha nidhamu yake na alikuwa anataka nimuone kama amebadilika sana, nikadhan amebadilika sana mpaka tamaa yake ya kimapenzi juu yangu, hivyo nilimshukuru mungu sana kwa hilo……

Basi muda ulienda na hatimae kama tunavytojua hakuna lenye mwanzo ambalo halikosi kuwa na mwisho, ndivyo hivyo hivyo ilivyokuwa kwa elimu ya Kendrick, hivyo hatimae ukafika mwezi ambao walikuwa wanatakiwa kufanya mitihani yao ya kidato cha nne, na hatimae mawiki na hatimae siku,na vijana wote ambao walikuwa wanatakiwa kutahiniwa nao wakakaa kwenye vumba vyao vya mitihani, wakiwa na hofu baadhi yao na uoga, na wengine wakiwa wanamuomba sana mungu kuwa afanye maajabu kwenye mitihani yap maana siku hio ndio ilikuwa ndio mwanzo wa hatma wa maisha ya masomo yao na kazi za ndoto zao….
ITAENDELEA...
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MADAM NIPE KIDOGO BASI 5  >>> https://gonga94.com/semajambo/madam-nipe-kidogo-basi-5

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
profile
majario 27 Aug 2025 21:15
MADAM NIPE KIDOGO BASI 5
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest