Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MADAM NIPE KIDOGO BASI 7
Gonga94 · Stories

MADAM NIPE KIDOGO BASI 7

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Yule nurse alimuangalia Yule kijana kwa dakika kadhaa kisha akasema “ wewe ni mdogo sana kendric bado haujaelewa kabisa unachokiongea, kisha akasimama na kuondoka zake….

Kendrick alijisikia vibaya sana, maana hana udogo wa kushindwa kumpa furaha mwanamke ambae alikuwa anampenda…
Hakutaka kuongea sana, akaanza kupambana kujitengenezea mazingira ya Yule mwanamke kumuona kuwa yuko bora sana, basi maisha yakaendelea, na kwakuwa amedharaulika kwa umri wake, hakutaka kubishana nae tena, siku za Yule kijana kuendelea kukaa pale hospital zikaisha, siku anaondoka nurse veronica akamfata kwa ajili ya kumuaga kisha akasema “ wewe ni mwanaume mzuri na bora sana, na kweli ulikuwa unamaanisha maana halisi ya mwanaume bora, laity kama ungekuwa una umri mkubwa kidogo ningepambana sana niwe mkeo, maana ni miongoni mwa wanaume bora sana ambao nimeshawahi kukutana nao…

Basi Kendrick akaondoka zake…
Kw upande wa veronica akawa anaendelea na maisha yake pia, alikuwa ni mtu mpweke sana, umri wake ulikuwa unamkosesha wanaume, maana ilisemekana kuwa alikuwa ana zaidi ya miaka thelathini, na kama tunavyojua ni kuwa mwanamke akishafika umri flani anakuwa ana hofu sana kuhusu kuolewa na kwa nurse veronica ikawa ni hivyo hivyo…

Alikuwa ni mpweke mwenye majonzi na huzuni kubwa sana, alikuwa hata kazi zake haziendi vizuri, alikuwa kuna muda anamkumbuka Kendrick kutokana na bashasha zake pamoja na tabia yake njema, kuna muda akawa anamkumbuka kwa sababu ya uchapakazi wake, akiwa anajua kuwa laity kama Kendrick angekuwepo kwa kile kipindi ambacho ana msongo wake wa mawazo basi angemsaidia sana majukum yake…

Kwa upande wa Kendrick nae akaenda kumalizia masomo yake maana alikuwa anapambana sana kuja kupata lesseni ya udaktari, na alikuwa anasali na kumuomba mungu sana apangiwe kazi kwenye hospital anayofanya kazi nurse veronica, tasiwra yake ilikataa kabisa kuondoka kwneye kichwa chake, moyo wake ulikuwa unadunda sana kila ambapo angekumbuka jina lake, upendo wake kwake ulishindwa kuondoka kabisa, ingawa aliona wanawake wengi na wenye umri mdogo na wenye mvuto sana ila moyo wake ulimchagua nurse veronica….

Basi aliamini hakuna mwanamke ambae anamtaka mwanamke ambae hana malengo na hawezi kupambana , aliamini akiwa na mafanikio basi anaweza kumpata mwanamke yoyote Yule ambae anamtaka…..

Basi kweli Mungu sio Athumani , Kendrick akapangiwa kazi kwneye kituo ambacho alikuwa anafanya kazi nurse veronica akiwa kama mganga mfawidhi wa maswala ya watoto, na akaajiriwa kabisa pale…

Nurse veronica alipomuona alifurahi sana, kwa maana alikuwa mfariji wake mkubwa sana kipindi ambacho alikuwa ameenda pale hospital kwa sababu ya field…..
Basi wakasalimiana na majukum yakaanza, Kendrick alikuwa amebadilika sana, ingawa kilikuwa kimepita kipindi kifupi sana ambacho hakikuwa kimemaliza hata mwake, ila alishaanza kutoka ndevu, na alikuwa anakifua cha mazoezi, zile ndevu pamoja na mwili wake zikambadilisha kabisa ,muonekano wake, ile sura yake ya ukijana mdogo iliondoka na ikaja sura ya mwanaume kamili….

Alikuwa anavutia ila alikuwa anamisingi na misimamo yake, hapo wakati wanaigiza, kweli Kendrick akaenda kubandika ndevu na ni kweli muonekano wake ulikuwa umebadilika sana…..
Kuna mvuto alikuwa nao, ila hilo halikubadilisha jambo lolote kwangu, niliendelea kumuona kama mwanafunzi wangu, tena kijana mdogo ambae alikuwa ana ndoto zake kubwa, na kiukweli sikuwa tayari kuzikatisha kwa namna yoyote ile…………..
ITAENDELEA….

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


profile
majario 31 Aug 2025 22:15
Promete your business for free
Tangaza biashara yako bure hapa >>> https://www.gonga94.com/tangazo
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MADAM NIPE KIDOGO BASI 7


Yule nurse alimuangalia Yule kijana kwa dakika kadhaa kisha akasema “ wewe ni mdogo sana kendric bado haujaelewa kabisa unachokiongea, kisha akasimama na kuondoka zake….

Kendrick alijisikia vibaya sana, maana hana udogo wa kushindwa kumpa furaha mwanamke ambae alikuwa anampenda…
Hakutaka kuongea sana, akaanza kupambana kujitengenezea mazingira ya Yule mwanamke kumuona kuwa yuko bora sana, basi maisha yakaendelea, na kwakuwa amedharaulika kwa umri wake, hakutaka kubishana nae tena, siku za Yule kijana kuendelea kukaa pale hospital zikaisha, siku anaondoka nurse veronica akamfata kwa ajili ya kumuaga kisha akasema “ wewe ni mwanaume mzuri na bora sana, na kweli ulikuwa unamaanisha maana halisi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/madam-nipe-kidogo-basi-7

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi madam-nipe-kidogo-basi
MADAM NIPE KIDOGO BASI* *_____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA
MADAM NIPE KIDOGO BASI* *_____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA
MADAM NIPE KIDOGO BASI 5
MADAM NIPE KIDOGO BASI 5
MADAM NIPE KIDOGO BASI ……… 3
MADAM NIPE KIDOGO BASI ……… 3
MADAM NIPE KIDOGO BASI 15
MADAM NIPE KIDOGO BASI 15
MADAM NIPE KIDOGO BASI* *________________________________________*  *SEHEMU YA SITA*
MADAM NIPE KIDOGO BASI* *________________________________________* *SEHEMU YA SITA*
MADAM NIPE KIDOGO BASI 12
MADAM NIPE KIDOGO BASI 12
MADAM NIPE KIDOGO BASI 17
MADAM NIPE KIDOGO BASI 17
MADAM NIPE KIDOGO BASI 13
MADAM NIPE KIDOGO BASI 13
MADAM NIPE KIDOGO BASI*👄  *__________________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA*
MADAM NIPE KIDOGO BASI*👄 *__________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA*
8--9 MADAM NIPE KIDOGO BASI 💋
8--9 MADAM NIPE KIDOGO BASI 💋
*MADAM NIPE KIDOGO BASI* _*  *SSEHEMUYA 01 NA 2
*MADAM NIPE KIDOGO BASI* _* *SSEHEMUYA 01 NA 2
MADAM NIPE KIDOGO BASI 10
MADAM NIPE KIDOGO BASI 10
MADAM NIPE KIDOGO BASI 14
MADAM NIPE KIDOGO BASI 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

496
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

226
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

223
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

208
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

132
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba 🥰😆 yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest