Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMBA YA DHARURA 10
Gonga94 · Stories

MIMBA YA DHARURA 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Amina alibaki ameduwaa, macho yakimtazama rafiki yake kana kwamba hakuamini kile alichokisikia.
“Nadia unasema Kabir ameoa? Na sherehe ile ilikuwa ni yake?” aliuliza kwa mshangao.
Nadia alifunika uso wake kwa viganja vyake viwili, machozi yalitiririka taratibu.
“Ndiyo Amina mbele ya macho yangu nimeona kila kitu, nimeona upendo wake kwa mke wake, nimeona furaha yake. Na hapo ndipo moyo wangu ulinikumbusha kuwa mimi na mwanangu hatuna nafasi tena kwake.”
Amina alimsogelea akamkumbatia kwa nguvu.
“Pole sana rafiki yangu, lakini kumbuka hata bila kabir maisha bado yanaendelea. Hata kama Kabir ameoa, wewe bado una hazina kubwa mtoto wako Tawakal. Huyo ndiye faraja yako.”
Nadia akamvuta Amina karibu zaidi, akizungumza kwa sauti ya kubanwa na kilio.
“Lakini Amina moyoni mwangu bado kuna mapengo. Sijui nitamwambiaje mtoto wangu siku akiniuliza baba yake ni nani.
Sasa nitamwambie nini? Baba yake yupo, lakini anaishi maisha yake mapya?”
Amina alikaa kimya kwa muda, akitafuta maneno sahihi ya kumfariji. Hatimaye akasema,
“Usiharakishe majibu, rafiki yangu. Wakati ukifika, Mungu atakupa hekima ya kumjibu mwanao. Kwa sasa, jipange na maisha yako. Usiruhusu maumivu ya jana yakuvunje moyo.

Nadia alinyamaza, machozi yakiendelea kumtiririka. Kichwa chake kilikuwa kimejaa taswira za Kabir tabasamu lake, jinsi alivyoshika mkono wa mke wake, jinsi walivyocheza wakiwa na furaha isiyo na kifani. Hisia za kale zikamvamia kwa nguvu, alikumbuka jinsi alivyokuwa akimbembeleza usiku waliokuwa pamoja, kumbatio lake na jinsi alivyokuwa akimbembeleza na kumuangalia kwa jicho la huruma alipokuwa alimuomba msamaha.

Lakini licha ya yote kuna kitu kilichomshtua zaidi:
Macho ya Kabir alipomwangalia. Yale macho hayakuwa ya furaha kamili. Kulikuwa na kitu wasiwasi, mshangao, na labda… maswali.
Amina alimshika mkono. “Nadia, kuna kitu kimoja nahisi… Kabir hakuamini kile alichokiona. Naamini hakutarajia kukuona tena. Huenda bado kuna mambo hayajaisha kati yenu unatakiwa kumpa muda na nafasi .
Nadia akatikisa kichwa kwa haraka.
“Hapana Amina! Yeye tayari ana mke, maisha yake ni mapya. Mimi si kitu kwake tena. Alafu kumbuka hatukuwahi kupendana kukutana kwetu ilikuwa bahati mbaya tu.

Aliongea hivyo lakini moyoni, sauti nyingine ilimnong’oneza:
“Kwa nini macho yake yaliniangalia vile? Kwa nini alipoteza tabasamu aliponiona?”
" Nadia mimi naamini kuwa bado kuna nafasi huenda akijua ana mtoto anaweza kuwa pamoja nanyi.
" Kwani huyo mke wake hawezi kumpa mtoto?
" Aghhhhhhh tatizo unawazia mabaya tu nimesema jipe muda kwanza.
" Hakuna haja ya mimi kumfikiria nitaangalia maisha yangu na mtoto wangu basi. Sitamfikiria huyo Jabir wala nani.
Nadia aliongea kwa hasira kisha akanyanyuka na kwenda chumbani kwake.

Baada ya siku mbili akiwa kazini Jayden alimfuata ofisini kwake.
" Vipi mama....
" Tawaqal. Alijibu Nadia huku akiwa anatabasamu.
" Mtoto wako umempa jina zuri sana.
'" asante.
" Nadia kuna jambo nataka tuongee .
" Lakini ni muda wa kazi.
" Najua hiyo kazi anayoifanya haina haraka sana.
"Sawa nakusikiliza mkuu wangu wa kitengo.
" Kuna kitu natamani kutoka kwako....
" Kitu gani? Aliuliza Nadia huku akikaa vizuri kusikiliza hicho kitu.
" Unaweza kunipa nafasi nikawa baba wa mtoto wako?
Maneno ya Jayden yalilenga kwenye moyo wa Nadia na kuleta hisia tofauti tofauti.
" Samahani umesema nini?
" Nimesema unipe nafasi ya kuwa baba wa mtoto wako. Sio kwasababu najionea huruma bali ni sababu ya upendo wangu uliopo juu yako natamani kuwa sehemu ya maisha yako na maisha ya Tawakal.
" Jayden unajua unachokisema?
" Ndio Nadia na nimekifikiria kwa kina kabla ya kuja kwako.
" Lakini Tawakal ana baba yake hata kama hayupo karibu .
" Sijapinga hilo atabaki kuwa mtoto wa huyo mwanaume . Nadia nipe nafasi ya mimi kuwa wako natamani sana kuwa ubavu wangu . Sitapoteza muda nitafanya haraka sana kumiliki na kukuweka ndani kwangu tena kihalali kabisa.
Nadia alizidi kumshangaa Jayden mwanzo alihisi kama masihara lakini kila dakika zilivyo zidi kwenda aligundua kile alichoongea Jayden alikuwa anamaanisha.
" Moyo wangu bado umebeba maumivu.
" Sasa umefika wakati wa mimi kutuliza hayo maumivu yako kwa upendo wa dhati.
Nadia alisita kidogo bila kuongea .
" Nadia sio lazima unipe jibu leo una muda wa kufikiria hili na sio lazima ukubali nitaheshimu maamuzi yako.
Jayden alimaliza kuongea kisha akanyanyuka na kutoka ofisini kwa Nadia.
Nadia aliduwaza na kuona mtihani mwingine unakuja kwenye maisha yake.
Ilikuwa vocatio, ikaja kuachwa na Jawad sababu ya mimba, kabir kuowa na sasa nimpe nafasi Jayden.

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMBA YA DHARURA 10



Amina alibaki ameduwaa, macho yakimtazama rafiki yake kana kwamba hakuamini kile alichokisikia.
“Nadia unasema Kabir ameoa? Na sherehe ile ilikuwa ni yake?” aliuliza kwa mshangao.
Nadia alifunika uso wake kwa viganja vyake viwili, machozi yalitiririka taratibu.
“Ndiyo Amina mbele ya macho yangu nimeona kila kitu, nimeona upendo wake kwa mke wake, nimeona furaha yake. Na hapo ndipo moyo wangu ulinikumbusha kuwa mimi na mwanangu hatuna nafasi tena kwake.”
Amina alimsogelea akamkumbatia kwa nguvu.
“Pole sana rafiki yangu, lakini kumbuka hata bila kabir maisha bado yanaendelea. Hata kama Kabir ameoa, wewe bado una hazina kubwa mtoto wako Tawakal. Huyo ndiye faraja yako.”
Nadia akamvuta Amina karibu zaidi,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimba-ya-dharura-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimba-ya-dharura
 MIMBA YA DHARURA 13 13---14
MIMBA YA DHARURA 13 13---14
MIMBA YA DHARURA 12
MIMBA YA DHARURA 12
MIMBA YA DHARURA* *_____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
MIMBA YA DHARURA* *_____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
MIMBA YA DHARURA* *_____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*
MIMBA YA DHARURA* *_____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*
MIMBA YA DHARURA 7
MIMBA YA DHARURA 7
MIMBA YA DHARURA*   *SEHEMU YA SITA*
MIMBA YA DHARURA* *SEHEMU YA SITA*
MIMBA YA DHARURA 15
MIMBA YA DHARURA 15
MIMBA YA DHARURA 5
MIMBA YA DHARURA 5
MIMBA YA DHARURA 9
MIMBA YA DHARURA 9
MIMBA YA DHARURA 4
MIMBA YA DHARURA 4
MIMBA YA DHARURA 3
MIMBA YA DHARURA 3
MIMBA YA DHARURA  13---14
MIMBA YA DHARURA 13---14
MIMBA YA DHARURA 12
MIMBA YA DHARURA 12
MIMBA YA DHARURA 7
MIMBA YA DHARURA 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

496
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

226
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

223
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

208
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

132
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba 🥰😆 yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest