Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MPANGAJI 02  ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ  Ilipita wiki moja na hali ikawa shwari kabisa kwa wapangaji wa mzee Mhina, siku hiyo usiku
Gonga94 ยท Stories

MPANGAJI 02 ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ Ilipita wiki moja na hali ikawa shwari kabisa kwa wapangaji wa mzee Mhina, siku hiyo usiku

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Sele alikua anarudi zake na kwa bahati mbaya siku hiyo alikua amechelewa kupita siku zote na hivyo ilibidi agonge geti na kusubiri kidogo, alikua amevaa begi lake kama kawaida na mkononi akiwa na mfuko wa chipsi na soda yake tayari kabisa kuingia ndani, mara nyingi alikua akichelewa alifunguliwa mlango na kaka Ephraim au mzee Ngoda,

siku hiyo ilikua tofauti sana kwani wakati geti linafunguliwa Aliona sura ngeni kabisa machoni pake ya msichana mrembo umri wa miaka 25-28 hivi, Sele alijikuta akishikwa na kigugumizi na akili yake ikasimama kidogo akiwa ameduwaa pale getini.

โ€œingia ndani kaka Sele!โ€ alisema Yule msichana nae akiduwaa

โ€œah ah, bila Shaka wewe ni Ester?โ€ alisema Sele sasa akiingia ndani

โ€œumejuaje?โ€ aliuliza Ester akimalizia kufunga geti.

โ€œah mama yake alisema utakuja wiki iliyopita kwahiyo nimeona wewe ndio mgeni tu hapa vipi mbona hujalala mpaka sasa hivi!โ€ aliuliza Sele akieleka mlangoni kwake.

โ€œah kuna tamthilia naangalia kwahiyo niliposikia unagonga nikaona nikufungulie na nikuone maana nasikia tu sele! Sele!โ€ alisema akitabasamu

โ€œohoo ushasikia umbeya tayari!โ€ alisema sele sasa akiingia chumbani kwake,
Sele aliingia ndani kwake huku mawazo yake yakiwa kwa Ester ni kweli alikua anakutana na wasichana wengi kila siku, na hata hapo walikuja wapangaji wengi tu wa kike na kuondoka lakini haijawahi kutokea msichana aliyeubamba moyo wake kama ilivyokuwa kwa Ester,

โ€œsiamini kama nimekamatika hivi!โ€ alijisemea Sele akifungua soda yake na kunywa,
Pamoja na kuwa ilikua ni mara ya kwanza wanaonana na binti Yule Sele alijiapiza kabisa Yule binti ameushika moyo wake.

Ester nae kwa upande wake aliona kitu cha tofauti kwa sele, kwanza zile hadithi alizokuwa amesikia kwa mama yake pamoja na wapangaji wengine kuhusu sele alitaka kuthibitisha kwa macho yake, na hivyo baada ya kusoma ratiba ya sele na kukosa kumuona mara kadhaa ndipo sasa siku hii akaamua kujitahidi kuwahi nafasi ya kufungua mlango ili amuone sele.

Haikua sababu ya mapenzi wala nini Ester alitaka tu kuona huyo Sele ni mtu wa namna gani, ni jini kweli? Au ni mtu wa namna gani! Na pengine akirudi kazini kwake Lindi basi angekuwa na kitu cha kusimulia walimu wenzake au pengine hata wanafunzi wake.

Ester alikua mwalimu wa sekondari ya kata ya kibaoni akifundisha Kiswahili na Historia, ni mwaka mmoja tu ulikua umepita toka aajiriwe katika shule hiyo baada ya kumaliza chuo cha aualimu huko Butimba Mwanza , kulikua na tetesi kuwa mama Mwajuma alikua amemficha mtoto wake huyo kwa mume wake baada ya yeye kuja Dar, na ndio maana hakuwahi kufika hapo nyumbani, na baada ya kukusumbuliwa sana na Ester mwenyewe ndipo sasa hakuwa na jinsi isipokuwa kumleta Ester amuone mama yake na baba yake wa Kambo,
Hivyo ester alitumia likizo ile ya pasaka kuja kumtembelea mama yake na ndipo sasa akasikia kuhusu Sele,
โ€œkwakweli huyo Sele ni kama jini mwanangu yaani hapa pengine anatusikia!โ€ ester alikumbuka maneno ya mama yake mchana huo na kisha akatabasamu tu akivuta shuka kulala katika chumba cha mwajuma,

Siku hiyo sele Alijikuta anachelewa makusudi kutoka ili tu amuone Ester ni kweli alimaliza kujiandandaa kabisa na kisha akawa anasikiliza huko nje kama atasikia sauti ya wanawake na ester akiwemo ndipo akatoka na begi lake na kuangaza huko na huko.

โ€œza asubuhi shemeji!โ€™ alikuwa aisha akimsalimia Sele

โ€œah poa tu vipi hajambo kaka!โ€ alisema sele akiangaza macho huko na huko na hatimaye akamuona Ester akitoka.

โ€œkaka Sele za asubuhi! Nataka leo twende huko mjini na mimi niangaze macho jamani, si unajua nimetokea kijijini jamani!โ€ alisema Ester huku akiongeza mwendo kuelekea kule Sele aliko.

โ€œdah Litakufa jitu leoโ€ aliwaza Sele.

โ€œooh twende basi nikutembezeโ€ alisema sele nae akiwa siriasi

Wapangaji wengine walitoka kuchungulia kwani hakuna aliyewahi kuongozana na Sele hata siku moja!

โ€œkweli mtu na mtuwe!โ€™ alisema mama Mwajuma akiwa ameshika mdomo

โ€˜mama baadae jamani natoka na kaka Sele!โ€ ester alisema kwa sauti..

โ€œsele unafanya nini ?โ€ alisikia sauti ikimwambia kwenye hisia zake.

โ€˜unafanya makosa Seleโ€™.

โ€œACHA UF..LA SELE wewe ni mwanaume!โ€ sauti nyingine ilimwambia.

Hakujali aliendelea kupiga hatua akiwa sambamba na Ester ambaye alikua na mkoba wake na simu yake ya Samsung galaxy.

โ€œmh kwahiyo tunaanzia wapi? Kazini kwako au mtaani kwanza?โ€ aliuliza ester!

โ€œwewe umesemaje kwani?โ€ Sele nae aliuliza

โ€œnilisema tukaangalie mjiโ€ alisema ester

โ€œBasi sasa leo nitakutembeza mpaka miguu iume!โ€ alisema Sele

โ€œkwahiyo kazini kwako hatufiki?โ€ aliuliza Ester

โ€œhapana mama, leo utembee uone mji kama ulivyotaka!โ€ alisema Sele kwa upole

โ€œkwahiyo kaka Sele nimesababisha wewe usiende kazini jamani!โ€ aliuliza Ester

โ€œmh mbona umekazania kazi! Kaz! Kwani umeambiwa nafanya kazi gani! Hahaha?โ€ Sele aliulizahuku akimtazama Ester.

โ€œhamna Bwana, si unajua tu mjini hapa kazi ni muhimu sana!โ€ alisema Ester.

โ€œbasi kama ulivyosema hapa ni mjini sio kila kazi lazima uendeโ€ alisema Sele na sasa walikaribia kufika Stendi
โ€œkariakoo, posta, kivukoni!โ€ ilikua sauti ya konda akinadi dala dala.

โ€œtwende zetuโ€ alisema Sele kisha wakaingia kwenye gari
Njiani walipiga hadithi za hapa na pale na Sele alijisikia vizuri sana na wakati mwingine alicheka hadi abiria wengine waligeuza shingo zao kuwatazama, kwa yoyote aliyewaona hakika alijua tu hawa ni wapenzi wapya ama wanandoa ambao wanakwenda kula fungate, kwani wakati mwingine Ester alimlalia mabegani sele,

Ester alimkumbuka mpenzi wake Ima, ambaye alianza nae mahusiano akiwa chuo cha ualimu , walikua na ndoto nyingi za kuishi pamoja bila kujua ima alikua na mpenzi wake mwingine aliyekuwa nae, siku ya mahafali yao Msichana huyo alikuja chuoni na kisha Ima Akamtambulisha mbele yake kuwa ni mchumba wake, ni bahati tu rafiki zake Ester waliwahi kumuweka โ€œchini ya ulinziโ€ vinginevyo siku ile ingekuwa ya mwisho kwa ester,
Na kutoka pale Ester alijiapiza hatakuja kupenda tena mwanaume katika maisha yake, na ndio maana walimu wenzake pamoja na maafisa elimu aliwatolea nje mchana kweupe na hakutaka mazoea na yeyote, sasa alipopata habari za Sele kidogo zilimstaajabisha hususani aliposikia hajawahi kutembelewa na mwanamke yoyote,

Ester alikuwa anakumbuka hayo yote sasa wakiwa karibu kabisa kufika kariakoo

Walifika na kushuka na kuanza kutembea huko na huko, na kununua vitu vidogo vidogo,

Baadae walifika kwenye mgahawa na kuagiza supu, walimaliza kisha wakaedelea na mizunguuko kutoka kariakoo hadi posta na kuendelea na mizunguuko mpaka kufika saa 7 mchana Ester alikuwa hoi taabani wenyewe wanasema aliomba poo.

โ€œhahaha hapa ujue nataka tuunge mpaka Temeke tushuke taifa tukaangalie mechi ya taifa starzโ€ alisema sele
โ€œno no no Sele nimechokaโ€ alisema Ester.

โ€œokay tumchukulie mama Mwajuma zawadi basi tugeuke ila mimi nitakuacha home siwezi kubaki nyumbani sasa hivi! Ujueโ€ alisema Sele

โ€œhaya bhana turudi tuuโ€ alisema Ester kisha wakarudi kituoni na kupanda dala dala,
โ€œkweli leo nimetembea mjini, ila Dar ni nzuri kwakweli!โ€™ alisema Ester huku akishushia na fanta yake
โ€œyeah mzee baba Kajitahidi kuweka mji vizuriโ€ alisema Sele

โ€œhivi una mishe gani Lindi!โ€™ aliuliza Sele

โ€œmimi ni mwalimu jamani Sele si nilikuambia!โ€ alisema Ester

โ€œ ah kweli asee nakumbuka, kwahiyo unakula likizo sio!โ€

โ€œyeah, wewe ndio umegoma kabisa kuniapeleka kazini kwako!โ€ alisema ester

โ€œhahaha si upo bhana tutaenda siku moja!โ€™ alisema Sele sasa akichukua mizigo na kushuka!..

.. ๐Ÿ itaendelea

FULL TSH 1000
NAMBA YA MALIPO NI 0657774735
JINA MKEGANI MPONDA MTANDAO NI TIGO

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MPANGAJI 02 ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ Ilipita wiki moja na hali ikawa shwari kabisa kwa wapangaji wa mzee Mhina, siku hiyo usiku

Sele alikua anarudi zake na kwa bahati mbaya siku hiyo alikua amechelewa kupita siku zote na hivyo ilibidi agonge geti na kusubiri kidogo, alikua amevaa begi lake kama kawaida na mkononi akiwa na mfuko wa chipsi na soda yake tayari kabisa kuingia ndani, mara nyingi alikua akichelewa alifunguliwa mlango na kaka Ephraim au mzee Ngoda,

siku hiyo ilikua tofauti sana kwani wakati geti linafunguliwa Aliona sura ngeni kabisa machoni pake ya msichana mrembo umri wa miaka 25-28 hivi, Sele alijikuta akishikwa na kigugumizi na akili yake ikasimama kidogo akiwa ameduwaa pale getini.

โ€œingia ndani kaka Sele!โ€ alisema Yule msichana nae akiduwaa

โ€œah...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpangaji-02-ilipita-wiki-moja-na-hali-ikawa-shwari-kabisa-kwa-wapangaji-wa-mzee-mhina-siku-hiyo-usik

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpangaji
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one
CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
๐Ÿ๐Ÿ  MPANGAJI 05  โ€ขโ€ขโ€ข  Sasa Esta alitafuta namna ya kuanza mazungumzo yake yale aliyoyaita rasmi, Aliweka komputa
๐Ÿ๐Ÿ MPANGAJI 05 โ€ขโ€ขโ€ข Sasa Esta alitafuta namna ya kuanza mazungumzo yake yale aliyoyaita rasmi, Aliweka komputa
MPANGAJI 04 ๐Ÿ๐Ÿซ  ยฐยฐยฐยฐ  Asubuh na mapema Sele aliamka na kufanya mazoezi kiasi kama ilivyokuwa kawaida
MPANGAJI 04 ๐Ÿ๐Ÿซ ยฐยฐยฐยฐ Asubuh na mapema Sele aliamka na kufanya mazoezi kiasi kama ilivyokuwa kawaida
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
MPANGAJI  ...  01  ๐Ÿ๐Ÿ  Hakuna mpangaji yoyote ambaye alikuwa anafahamu asili ya Yule mpangaji mwenzao
MPANGAJI ... 01 ๐Ÿ๐Ÿ Hakuna mpangaji yoyote ambaye alikuwa anafahamu asili ya Yule mpangaji mwenzao
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26
CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26
SEHEMU YA 23  CHUMBA CHA MPANGAJI
SEHEMU YA 23 CHUMBA CHA MPANGAJI
MPANGAJI 03  ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ  Sele hakukaa hata kidogo aliondoka zake mara tu baada ya kumuacha Ester pale kwao, Sasa Ester
MPANGAJI 03 ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ Sele hakukaa hata kidogo aliondoka zake mara tu baada ya kumuacha Ester pale kwao, Sasa Ester
MPANGAJI  ...  01
MPANGAJI ... 01
MPANGAJI 02  ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ
MPANGAJI 02 ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23

636
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25

510
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

203
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

144
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

126
AMIRAH WANGU โ€ƒ Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU โ€ƒ Sehemu ya 01

118
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

82
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

82
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

5

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.77K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.63K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.56K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake๐Ÿ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU โ€ƒ Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU โ€ƒ Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah ๐Ÿคšnioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest