Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 06

1st Jun, 2025 Views 37

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3

SEHEMU YA 06

Lakini kabla hata sijafungua mlango nikamuona mwanangu kajikunyata pembeni ya ukuta, mvua inamnyeshea kajiinamia na begi lake lashule kalikumbatia huku analia, aisee pombe ilikata,,

Nilitembea taratibu nikamkumbatia mwanangu machozi yalinitoka ,mwanangu nae alikuwa analia tu ,nikam beba na kuingia nae ndani ,nilim badilisha nguo na nikamvalisha masweta ili apate joto kidogo, na nikatoka na mvua yangu nikaenda kumnunulia chips na maziwa ya moto ili ale maana tokea saa Tisa aliporudi shule hajala kitu mpaka muda huo,
Niliporudi nikiwa na chips na maziwa nikamuona mwanangu anatetemeka japo kavaa koti na nilipomuuliza akasema anaskia homa ,
Ikabidi nimkimbize hospital mala moja ,
Nilifika hospital mwanangu akapewa kitanda na akaanzishwa matibabu haraka , doctor aliniita na akanisema sana eti kwanini namwacha mtoto anachezea mvua , nilimwomba tu samahani maana angejua yaliyonisibu hakika angenionea huruma , nilijilaumu sana kutokumjali mwanangu ,pombe sio chai kwanini nilishindwa kujizuia nikanywa , nilijilaumu sana , doctor aliniambia nirudi nyumbani nikamchukulie mtoto nguo nyingine, nikachukuwa boda kwa ajili ya kuwahi nyumbani , nilifika nyumbani saa Saba hiv na madakika yake mvua ilikuwa bado inanyesha japo sasa sio kubwa , nikamlipa boda na nikataka kuingia ndani lakini nikakuta mlango umefungwa kwa ndani ,nikagonga mlango maana nilijua atakuwa ni mke wangu karudi , niligonga sana lakini hakufungua ikabidi nizunguuke nyuma ya nyumba ambako ndiko dirisha lilipo nilipokaribia dirisha hilo nikasikia kama kuna sauti za miguno ya watu ,mapigo ya moyo yakaanza kwenda Kasi , nilisikia sauti ya mke wangu kabisa akiugulia kwa furaha yaan akihema huku akionekana kufurahia tendo hilo , moyo ukakataa kabisa na kusema hapana huyo sio mke wangu , lakini upande mwingine ukaniambia hebu chungulia uone , nikachungulia nikamuona mke wangu ameshikilia kitanda na jamaa mmoja yuko nyumayake wakifanya mapenzi , ilionekana nikama jamaa alikuwa anafanya haraka haraka ili aondoke maana hata suruali hakuvua yote alivua nusu na mke wangu alikuwa kapandisha gauni tu na chup kaishushu mpaka magotini ,
Nilitoa macho huku mapigo yanakwenda kasi, na nilijua kabisa wanachokifanya lakini nikajiuliza sasa mke wangu anafanya nini pale ,
Nilishindwa kuendelea kuangalia nikakaa chini ya dirisha lile huku nguvu zikiniisha kabisa , machozi yalinitoka sikujua hata nalilia nini , lakini pamoja na kulia nilijipa moyo kuwa mke wangu hafanyi kitu itakuwa nimeona vibaya , niliondoka pale dirishani na kurudi kule getini na kuendelea kugonga geti , yaani mapenzi yaacheni tu , nilipoenda kule dirishani nilikuwa na nia ya kumgongea mke wangu anifungulie get sasa nilipomuona anafanya mapenzi sikutaka kumuuzi kwa kumkatisha nikarudi huku getini nakuendelea kugonga huku nikijua kabisa hawezi kusikia ,,aisee mapenzi ni uchizi ,
Nilisimama pale mlangoni huku mvua ikinilowanisha chapa chapa ,na baada ya kama nusu saa mke wangu alifungua geti , nikaingia ndani huku nikiangaza huku nakule kuona kama nitamuona yule jamaa aliekuwa na mke wangu sikumuona nikajua atakuwa kule chumbani nikaenda lakini Nako sikumkuta , mke wangu akaniuliza unatafuta nini ,?
Nikamjibu mwanaume aliekuwa humu ndani ninani na yuko wapi ,,? Niliongea kwa ujasiri lakini swali nililouliza lilikuwa na majibu tayari , mke wangu akanijibu tena kwa ukali wewe ukitoka kwenye michepuko yako unatafutaga sababu si ndio , hebu angalia saa ni saangapi umerudi ,,? Unakuja unanisumbua kugonga milango usiku huu na unaniuliza maswali yasiyona misingi , nilijikuta nikinywea nakujipa moyo kumbe mke wangu bado ananipenda ,
Nikamwambia mke wangu mi sitoki kwa michepuko bali nimetoka hospital mtoto wetu anaumwa ,
Mke wangu akastuka na kuniuliza yuko hospital gani ? Nikamwambia subili nibadilishe nguo twende , nilibadilisha nguo huku mawazo ya mke wangu akichepuka yakipotea kichwani , tulitoka na mke wangu ,tukaenda mpaka hospital, kile kitendo cha kushirikiana tu kilinipa faraja ,
Tulifika hospital tukamuona mtoto akiendelea na matibabu tukakaa kwenye bench, tulikaa pale huku tukipiga story na mke wangu na cha ajabu nilijihisi mwenye furaha Sana kupiga story tu na mke wangu , muda ulienda tukiwa pale hospital na mke wangu akajisikia usingizi , akanilalia mapajani nami nikamuweka kichwa chake vzr ili alale kwa amani , niliweza kuuona uzuri wa sura wa mke wangu , nikajiambia aisee nimejua kuchagua ,mke wangu alikuwa mzuri haswa ,nikazidi kumpenda na kujisemea hata iweje nitampa ile nyumba ninayojenga naamini atatulia ,
Asubuhi ilifika na tukaruhusiwa turudi na mwenetu , mke wangu akalipia kila kitu na tukachukua tax tukarudi nyumbani ,
Tulipofika mke wangu alitangulia ndani na mimi nikafuata nyuma lakini kuna jirani yetu mmoja aliniona akaniita na tukasalimiana , nikamueleza tumetoka hospital mtoto alikuwa anaumwa , basi yule jirani alitupa pole na akaniambia mbona juzi mlihamisha vitu usiku au mnataka kuhama kimya kimya ,,? Nikamuuliza kwanini unasema hivyo ,? Akaniambia alimuona shemeji anapakiza masofa pamoja na tivii na vitu vingine akishilikiana na jamaa mmoja hivi ,,' nikajifanya Nakumbuka nikamwambia ni kweli vile vitu kuna sehemu tumevipeleka , yule jirani akaniambia sasa ndio mvipeleke usiku vile,? mpaka mi nikajua labda niwezi mpaka nilivyomuona mkeo ndo nikajua sio waizi , aliniambia yule jirani huku akiondoka na kuniacha na maumivu kwenye moyo na nikajiuliza inawezekana vip mke wangu kuiba vitu vyetu vya ndani ,?na amevipeleka wapi ,?
Niliingia ndani nikiwa na hasira nikamkuta mke wangu kashamlaza mtoto nikamuuliza kwanini ulichukua vile vitu vya ndani na ulivipeleka wap ,?
Mke wangu akastuka nakuniambia yaani hapo ushasikiliza maneno ya majirani , kwahiyo mimi ni mwizi si ndio ,?
Nikamjibu mi sijasema we ni mwizi ila navitaka vitu vyangu ,
Mke wangu akaanza kupandisha sauti na kuniambia kama haniamini ni bora tuachane maana hawezi kukaa na mtu mjinga mjinga asie nakazi wala kibarua ,
Nilinyanyuka nikamkata Kofi ambalo sikulitegemea , mke wangu alianguka chini na aliponyanyuka akatoka moja kwamoja mpaka nje , nilianza kujilaumu kwa kumpiga mke wangu ,
Nilikaa chini nakuanza kujilaumu maana niliona kama tulishaanza kuelewana ,aisee nilijilaumu sana ,
Wakati nimejiinamia wakaingia polis wawili na kuniambia unahitajika kituo cha polis kwa kosa la kumnyanyasa mkeo na kumpiga kila siku , nikashangaa na kumuangalia mke wangu , sasa badala nijitetee nikajikuta napiga magoti na kumwambia mke wangu naomba unisamehe , wale polis wakasema aisee nyanyuka unatupotezea muda ,

Nini kitaendelea aisee twende wote mpaka mwisho kumbuka ukikoment ndo inavyozidi kuwah kuja ,

ITAENDELEA.....FULL.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY???15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA? Sehemu 13.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY ???11

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

mrindia rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 25

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest