Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3  SEHEMU YA    15
Gonga94 ยท Stories

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3

SEHEMU YA 15

Nilimwangalia mke wangu alivyokonda na nikaona ngoja nifanye maamuzi ya kiume tu LIWALO NA LIWE,
Nikasogea pale mbele na nikatoa maelezo yangu , na maelezo hayakutofautiana sana na mke wangu , hakimu akaniuliza kwanini uliamua kumdanganya mkeo,? Nikamjibu ni kwasababu nilikuwa na mpenda sana na nilitaka kuona kama na yeye ananipenda na anaweza kunivumilia kipindi sina pesa ? Yule Hakim akasema kabla hatujatoa maamuzi kakae tumsikilize mlalamikaji , yule mlalamikaji akaanza kutoa maelezo jinsi ilivyokuwa , akasema alimtongoza mke wangu na mke wangu akamkubalia wakawa wapenzi ,akamuuliza mke wangu kama anamume mke wangu akamjibu hana wameshaachana , ndo jamaa akafanya maamuzi ya kujazia duka na kubadirisha baazi ya lesen na duka likawa lake , sasa jamaa alipogundua kuwa kumbe mke wangu anamume ndo akamwambia waachane na duka sio lake tena ndo mke wangu akaenda kufanya fujo dukani , hakimu akaniuliza je uko tayali kumsamehe mkeo ?
Mi nikamjibu nimemsamehe lakini siwezi kuishi nae tena kama mke wangu , mke wangu alianza kulia na kusema mi naomba tuishi kama zamani ,mi nikasema hapana kwa kuwa tayari nimeshaoa nikamwambia afande asimame akasimama nikamwambia huyu ndo mke wangu mpya ,mke wangu akalia pale mahakamani kama mtoto,
Hakim akasema mke wangu anatakiwa alipe mali alizoharibu dukani kwa yule jamaa au kifungo cha nje cha miezi sita , mke wangu alilia sana afande akasema mlipie tu ,nami nikamlipia akawa huru ,
Tukarudi nyumbani lakini sikumpakiza kwenye gari yangu ,ndani ya gari tulikuwa mi na afande , afande akaniuliza sasa we umenitambulisha kama mkeo na wewe umesema huwezi kuoa tutafanyaje , mi nikamjibu leo tutaenda kulala nyumbani lakini tusifanye kitu halafu kesho utaondoka ili mke wangu asinisumbue leo, afande alikubali na alivyokuwa na sifa si tukanunua na chakula cha kupika usiku , tukarudi nyumbani tukamkuta mke wangu kajiinamia tu , sikumsemesha tukapita zetu mpaka chumbani , afande akachukua maji yakuoga akaniwekea bafuni huku mke wangu akiwa bado kajiinamia tu huku analia kilio cha kwikwi,
Mi nikaenda zangu kuoga afande akaingia jikoni ,kumbuka mpaka hapo tulikuwa tunaigiza tu na afande wala mi sikuwa na mpango wa kumuoa afande ,
Nilipotoka nikabadilisha nguo kisha nikaenda kucheza na mwanangu , chakula kiliiva tukakaa tukala mi na mwanangu pamoja na afande , ilikuwa nikama familia tu , mtoto akaniuliza mbona mama haji kula nikamwambia atakula tu baadae kwani anaumwa, mtoto akalizika , aliposhiba nikampeleka kulala na mimi na afande tukaingia zetu chumbani , tulipiga story mbili tatu huku tumelala lakini gafra nikamuona afande kanikumbatia nikajaribu kujitoa lakini sikuweza akanipa mdomo nikaupokea , sasa hapo sijui ilikuwaje tukajikuta katikati ya mahaba mazito , ilikuwa ni mshike mshike yaani huyu afande nyiee aaah ,
Kuna muda kama nilihisi kupaa nikawa napiga tu kelele na kunamuda hata sijui ilikuwaje yaani nyie kuna wanawake mafundi , kwa mbaali sana nilisikia kama mlango unagongwa ila kwa vile tulizama katikati ya mapenzi sikusikia , simu pia iliita mpaka ikakata sms zikaingia kama zote ,yaani mi sikuwa na habari kabisa yaani nyie huyu afande huyu mmh ,
Nilistuka saa11 alfajili nikaangalia saa kwenye simu ndo nikakuta simu zilizopigwa zilikuwa kama 18 sms ndo usiseme zote zilikuwa za mke wangu , sikuzijali nikatoka zangu ili niende uwani ,ile nafungua mlango nikamuona mke wangu kalala mlangoni kwangu , nikamwangalia tu nikampita nikaenda uwani nikarudi zangu ndani ,
Afande nae alijiandaa huku akinipiga mabusu na kiukweli hata mimi nilianza kumuelewa huyu afande ,
Afande akaniuliza mbona mkeo kalala mlangoni halafu nimepita hata hajastuka na nimerudi ndani hata hajastuka , nikawaza nikasema hata mimi nilipita hakustuka na nikarudi pia alikuwa kalala vile vile , ikabidi nitoke nimwamshe , nilipomgeuza nikashangaa anatoa mapovu mdomoni haraka nikamwita afande , tulimwangalia tukagundua amekunywa sumu ,
Upesi na haraka nikawasha gari tukampakia na kuondoka nae kwenda hospital, afande akaona naendesha gari huku natetemeka akaniambia hebu simamisha gari akaendesha yeye , aliendesha kwa spidi mpaka na mimi nilianza kuogopa lakini alikuwa makini ,tukafika hospital na haraka akanza matibabu doctor akasema yaani mngechelewa kidogo tu mngemkosa , nilianza tena kuingiwa na roho ya huruma kila nikimuangalia mke wangu anavyopumulia gesi huku anamipira ya kutolea sumu mwilini ,aisee alikuwa anatia huruma ,
Afande alinipa moyo na kuniambia atapona nisiwaze sana , afande akasema anakwenda kazini hali itakavyokuwa nimjulishe ,nikabaki pale hospital sasa ndo nikaanza kusoma sms za mke wangu zilikuwa nyingi ila moja ndo ilinisikitisha ikanifanya niwaze sana aliandika hivi,
" Najua huwezi nisamehe mume wangu kwa nilichokufanyia hata mimi siwezi jisamehe ndo maana nakunywa sumu ili nife , najua unajua kuwa chanzo niwewe kwa kunidanganya kuwa umeacha kazi kumbe bado upo kazini ni kweli umefanya la maana sana maana kupitia kunidanganya kwako nimeona nikwambie tu ukweli kuwa huyo mtoto sio wako , baba wa huyo mtoto aliikataa mimba kipindi mimba inamwezi mmoja na wewe ndo ukanioa kwahiyo ulinioa nikiwa na mimba ya mwezi mmoja ,na ungekuwa makini kipindi kile ungegundua kwa kuhesabu miez tuliyokaa mpaka kupata mtoto,
Nisameha sana mume wangu , nimekuachia mtoto sio wako ,,,,,

Aisee sikuweza kuimalizia hii sms nikakaa chini kama mzigo ,,,,


Usikose kifuatacho,,,,,
Je jamaa atachukua hatua gani , ?

Tupe maoni yako jamaa afukuze yeye na mtoto au mtoto abaki amlee japo sio wake ,,?
Au amsamehe tu ? NASOMA KOMENT ????

ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 15

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3

SEHEMU YA 15

Nilimwangalia mke wangu alivyokonda na nikaona ngoja nifanye maamuzi ya kiume tu LIWALO NA LIWE,
Nikasogea pale mbele na nikatoa maelezo yangu , na maelezo hayakutofautiana sana na mke wangu , hakimu akaniuliza kwanini uliamua kumdanganya mkeo,? Nikamjibu ni kwasababu nilikuwa na mpenda sana na nilitaka kuona kama na yeye ananipenda na anaweza kunivumilia kipindi sina pesa ? Yule Hakim akasema kabla hatujatoa maamuzi kakae tumsikilize mlalamikaji , yule mlalamikaji akaanza kutoa maelezo jinsi ilivyokuwa , akasema alimtongoza mke wangu na mke wangu akamkubalia wakawa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilimdanganya-mke-wangu-nimefukuzwa-kazi-kumbe-nnalikizo-miezi-3-sehemu-ya-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilimdanganya-mke-wangu-nimefukuzwa-kazi-kumbe-nnalikizo-miezi
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3          SEHEMU YA  17
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 17
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3            SEHEMU YA  18      ...
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 18 ...
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3       Sehemu ya 03
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 Sehemu ya 03
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3     SEHEMU YA   16
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 16
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3  Sehemu ya  04&05
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 Sehemu ya 04&05
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA 06
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 06
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA   10
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 10
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3                SEHEMU YA   07&08
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 07&08
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI,     KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3,
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI, KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3,
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA 11&12
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 11&12
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3       SEHEMU  YA 13
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 13
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3      SEHEMU YA   09
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 09
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA   14
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1.18K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

1.03K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

634
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

392
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

320
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

310
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

267
SHAMIRA 92 kwa 93

SHAMIRA 92 kwa 93

241
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

228
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45

NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45

172

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.79K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.94K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.77K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

SHAMIRA Sehemu ya 97&98 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafika ndani kwake akanmbia kaa kitandani. Mie nikakaa uku sielewi nae akakaa kitandani .kisha akaniangali kwa macho makavu mpka nilishangaa nimemfanya nini...

NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
@majario LIVE

:36 Sijapenda kabisa, binti alisema wanapika kwao, ina maana wewe huli kabisa huko nje kwasababu una uwezo au ni kwasababu gani. Kumbuka na wewe hapa umeajiriwa kwaajili yangu, kwanini haujali hisia...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
@majario LIVE

IMETOKAAAAA SEASON YA MWISHOOO SEASON 4 Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita...

SHAMIRA 94 Hadi 96 Post Mpya
SHAMIRA 94 Hadi 96
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 94 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana mimi sijawah.akasema basi mimi niliwahi kuza mwenzio ila kwa bahati mbaya nilikosa il uchungu niliuona aswaa. Unauma sana shoga...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest