Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3      SEHEMU YA   09
Gonga94 ยท Stories

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 09

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3

SEHEMU YA 09

Aliongea vile huku akileta mdomo wake ugusane na mdomo wangu sasa mke wangu akatukuta tukiwa kwenye hali ile,,
Mke wangu akastuka akasimama huku anatutazama , alionekana anawasiwasi maana nilimuona ametoa macho,
Sasa yule afande nae akajifanya kama hajamuona maana tuligusanisha midomo tu huku tumekumbatiana lakini gafra tu akatoa ulimi wake na kuutumbukiza mdomoni kwangu , nikajitahidi kutaka kuutoa maana niliona kama mke wangu anapandwa na hasira, sasa wakati nahangaika kujitoa ndivyo yule afande alivyozidi kuuingiza ulimi wake sasa nikajikuta namimi namkumbatia , mke wangu hakuvumilia akaja mbio na kunivuta lakini wakati anataka kumshika yule afande akachoropoka na kuingia kwenye gar, mke wangu akawahi ili afungue mlango lakini tayali yule afande akawa amerock na yupo ndani,
" Huyu ninani nakuulizaa ,,??
Mke wangu aliniuliza kwa hasira, na yule afande akaondoa gari nakuondoka zake, nikashindwa cha kumjibu , mke wangu akachukua jiwe na kulirusha kule lilipoelekea gari huku akitukana mshenzi ww na nikikujua utanitambua , halafu akarudi tena kwangu ,niambie yule ninani ,?? Sasa mimi kwanza nilishindwa kumjibu mke wangu kwa sababu kwanza sikujua yule afande alikuwa na nia gani , halafu sikuwahi kuchepuka tokea nimuoe mke wangu sasa kile kitendo cha mimi kunyonywa mate mbele ya mke wangu kilinipa kama ganzi fulani hiv,
Mke wangu akazid kuniuliza huku ananisukuma ikabidi na mimi nimuulize na wewe uliekuja nae ninani ,,? Akanijibu eti ni dereva wa tax , nikamwambia dereva wa tax wakati mmekumbatiana hebu niache ," niliongea kwa ukali huku naingia zangu ndani,
Yaani nikama yule afande amenipa ujasiri fulani hivi maana hata nilipomjibu mke wangu nilimuona kama amenywea hivi ,
Nilimuacha kule nje akiwa na yule jamaa wa kwenye gar na wala sikutaka hata kuwafuatilia ,nikaingia ndani jikoni nikapakua chakula nikakaa pale sebuleni nikaanza kula ,lakini moyoni nilikuwa naumia sana maana nilimuacha mke wangu kule nnje akiwa na mwanaume mwingine , wakati nawaza nikasikia muungurumo wa gari ukiondoka nikamuona mke wangu anafungua mlango na kuingia ndani akanikuta nimekaa chin nakula , akaanza kusema "wewe si unajifanya mjanja sasa naondoka ili ukae na hao malaya zako , na tuone kama huyo malaya atakupenda ukiwa huna kazi ,
Kweli mke wangu akatoa begi lake languo na akaliweka pale sebuleni akaingia tena chumbani akatoka na mkoba huku akisema utanikumbuka tu labda sio mimi , yaani mi nakuvumilia huna kazi mimi ndo natoa pesa za matumiz bado unaniona mi mjinga sasa subiri niondoke zangu ,,
Mi nilipoona vile nikatamani kumuomba msamaha ili asiondoke lakini moyo mwingine ukaniambia muache kwanza ingia chumbani , nikaingia chumbani huku nnawasi wasi kweli ,
Kule chumbani niliufunga mlango nikawa namchungulia mke wangu kwenye tundu la funguo , maana nilitaka nione kama ataondoka kweli basi nimfuate nimwombe samahani,
Nikamuona ametoa begi lingine lakini alipoangalia pale nilipokaa hakuniona , nikamuona amejishika kiuno kasimama anaangalia huku kwenye mlango wangu , alisimama kama dakika mbili hivi akawa kama anawaza jambo , akaanza kutembea taratibu huku akiwa kama anawaza sana , nikamuona amerudisha yale mabegi ndani ,nikajua kumbe alikuwa anatingisha kiberiti,
Mi nikalala zangu , kesho yake asubuhi nikaamka lakini sikumkuta mke wangu nikajua kaenda kazini , nikamuandaa mtoto nikampeleka shule , nikarudi nyumbani ili nijiandae niende kule sait ,
Wakati najiandaa akaja mke wangu na wanaume watatu , walikuwa wameshika makaratasi kama mafaili wakajitambulisha kuwa wao ni watu kutoka mahakamani na mke wangu alikwenda kudai nimpe taraka kisha mali zigawanywe , nikashangaa , nikawaambia mi sina mali zozote zaidi ya hii nyumba ,wakaniambia hiyo hiyo nyumba inatakiwa iuzwe halafu mimi nitapewa asilimia 20 halafu mke wangu atapewa asilimia 80 kwa vile anamtoto, au mi niondoke nimwachie nyumba akae na mtoto,
Nikamwangalia mke wangu na nikamuuliza mbona umefikia huko ,? Akanijibu we si unajifanya mjanja unakuja na wanawake zako sasa nataka tuone mimi nawewe nani mjanja , nilisikia uchungu sana na mke wangu akawa haon hata aibu ,
Mi nikawajibu basi wanipe mwezi mmoja tu mimi ntakuwa nishaondoka , wakaniambia unatakiwa uwandike talaka leo tena hii ndoa ivunjwe na mahakama mkeo ndo kataka hivyo , nikapiga magoti na kumuomba kama kuna kosa basi anisamehe lakini mke wangu akasisitiza niandike talaka , basi nikaandika talaka nikamkabidhi mke wangu lakini kishingo upande , na wale jamaa wakasema unamwezi mmoja tu wa kukaa hapa nyumbani ukiisha unatakiwa kuhama , niliumia sana , na wale jamaa wakaondoka , mke wangu nae akajiandaa akaondoka ,nilikaa nikampigia simu yule afande nikamwambia mambo yote yaliyojitokeza , yule afande akaniambia nimsubilie anakuja ,
Kweli akaja na nikaanza kumlaumu na kumwambia lile tukio la jana ndo limemfanya mke wangu aniache , akaniambia unachotakiwa ww ni kusimama kwenye nafasi yako kama mwanaume , akaniuliza pale kazin kwa mkeo si kuna duka pembeni nikamwambia ndio , akaniambia nataka nimuoneshe mkeo kuwa wewe unathamani , nikamwambia kivp ,? Akanijibu twende , tulienda mpaka kwenye duka la nguo , akaninunulia Jens Kali pamoja na fulana nzuri kubwa kubwa ,kisha akaninunulia na viatu vya kisasa kama wanavyovaaga wasanii , daah nilipendeza sana ,akaninunulia na miwani nyeusi , nilionekana kama msanii fulani ,
Akaniambia sasa twende pale dukani karibu na mkeo , tulifika na kabla hatuja shuka yule afande akavaa kofia na miwani nyeusi na nywele zake kazilaza kwa nyuma nae alipendeza na alikuwa mzuri si mchezo na kwa haraka huwez mjua kama ni yule afande maana alivaa nguo suruali ya Jens na Sweta la bruu kisha akapiga kofia na miwani weee,,
Basi tukashuka huku tumeshikana mikono , sasa wakati tunaenda pale dukani pembeni ya duka hilo ndiko kuna duka la mke wangu halafu kuna saloon , mke wangu alikuwa kakaa kwa nje ya duka lake anachezea simu yake sijui ndo alikuwa anachati , sasa aliponyanyua kichwa akatuona , akashangaa akaamka huku akiwa bado anatuangalia , alikuwa ni kama mtu aliekuwa haamini anachokiona mbele yake , akaanza kusogea kutufuata , sasa yule afande akajifanya eti anamuogopa mke wangu akauwachilia mkono wangu kwa nguvu na kukimbilia kwenye gari , nikamuona mke wangu anamkimbiza , yule afande akarock gari mke wangu akawa anaipiga piga ile gari huku anamwambia fungua nikuoneshe malaya mkubwa wewe ,, sasa namimi nikarudi fasta na nikazunguuka upande mwingine na kufungua mlango nikazama kwenye gari ,mke wangu nae akazunguuka fasta lakini nikawa nishaingia kwenye gari akabaki anapiga piga gari nakusema fungua nimuoneshe huyo malaya wako mshenzi wa tabia huyo mwizi wa waume za watu , yule afande akawasha gari tukaondoka eneo hilo tukamuona mke wangu anatukimbiza lakini hakufika mbali akasimama na kutoa simu yake na gafra nikaona simu yangu inaita , mpigaji alikuwa ni mke wangu , tukaangaliana na afande tukacheka na afande akanipiga busu la shavuni kisha akaniambia lete hiyo simu niipokee ,

Nini kitaendelea na si amedai talaka mwenyewe,,???????

ITAENDELEA.... FULL

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Sasa nakupenda fully episode
Sasa nakupenda fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 09

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3

SEHEMU YA 09

Aliongea vile huku akileta mdomo wake ugusane na mdomo wangu sasa mke wangu akatukuta tukiwa kwenye hali ile,,
Mke wangu akastuka akasimama huku anatutazama , alionekana anawasiwasi maana nilimuona ametoa macho,
Sasa yule afande nae akajifanya kama hajamuona maana tuligusanisha midomo tu huku tumekumbatiana lakini gafra tu akatoa ulimi wake na kuutumbukiza mdomoni kwangu , nikajitahidi kutaka kuutoa maana niliona kama mke wangu anapandwa na hasira, sasa wakati nahangaika kujitoa ndivyo yule afande alivyozidi kuuingiza ulimi wake sasa nikajikuta...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilimdanganya-mke-wangu-nimefukuzwa-kazi-kumbe-nnalikizo-miezi-3-sehemu-ya-09

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilimdanganya-mke-wangu-nimefukuzwa-kazi-kumbe-nnalikizo-miezi
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3  SEHEMU YA    15
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 15
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3          SEHEMU YA  17
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 17
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3            SEHEMU YA  18      ...
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 18 ...
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3       Sehemu ya 03
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 Sehemu ya 03
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3     SEHEMU YA   16
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 16
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3  Sehemu ya  04&05
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 Sehemu ya 04&05
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA 06
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 06
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA   10
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 10
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3                SEHEMU YA   07&08
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 07&08
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI,     KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3,
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI, KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3,
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA 11&12
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 11&12
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3       SEHEMU  YA 13
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 13
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA   14
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1.18K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

1.03K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

637
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

393
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

322
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

310
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

267
SHAMIRA 92 kwa 93

SHAMIRA 92 kwa 93

241
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

228
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45

NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45

172

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.79K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.94K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.77K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

SHAMIRA Sehemu ya 97&98 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafika ndani kwake akanmbia kaa kitandani. Mie nikakaa uku sielewi nae akakaa kitandani .kisha akaniangali kwa macho makavu mpka nilishangaa nimemfanya nini...

NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
@majario LIVE

:36 Sijapenda kabisa, binti alisema wanapika kwao, ina maana wewe huli kabisa huko nje kwasababu una uwezo au ni kwasababu gani. Kumbuka na wewe hapa umeajiriwa kwaajili yangu, kwanini haujali hisia...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
@majario LIVE

IMETOKAAAAA SEASON YA MWISHOOO SEASON 4 Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita...

SHAMIRA 94 Hadi 96 Post Mpya
SHAMIRA 94 Hadi 96
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 94 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana mimi sijawah.akasema basi mimi niliwahi kuza mwenzio ila kwa bahati mbaya nilikosa il uchungu niliuona aswaa. Unauma sana shoga...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest