Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

DO YOU LOVE ME 05
Gonga94 · Stories

DO YOU LOVE ME 05

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
DO YOU LOVE ME 05


ACCEPT THE REALITY
Ugumu wa maisha ulianza hapa maana hatukuwa na chaguzi tena, kutoka kumsaidia mtu hadi anarudi katika afya yake hadi anakuja kukufukuza kama mtumwa, mwizi ama mtu mwingine mtenda mabaya. This was pain to us lakini hatukuwa na jinsi, tulikubali kuuchukua ukweli ule na kuondoka nyumbani kwake.

Safari yetu ilienda kutua hadi Dar es salaam ambako nilifikia nyumbani kwa Mama. Maisha ya Rola yalikuwa chini ya Hussein ambaye alimwamini kwa kila kitu, mipango yake ilianzia kwa huyu mwanaume. Hussein akawa kama Baba na Mama kwake, alimwamini na Husseina akupokea uaminifu kutoka kwa kigoli huyu.

Maisha ya Dar es salaam hayakuwa mabaya sababu nilirudi tena katika biashara yangu ya kuuza Ice cream kama ilivyokuwa kawaida. Kwahiyo ikawa nashirikiana na Rely katika biashara hii huku siku zingine akabakia nyumbani kwa ajili ya kumtazama Mama yake ambaye kadri siku zilivyozidi kwenda, ndivyo alivyokuwa akizidi kurenduka.

Siku za mwanzoni Mama yangu alikuwa yupo sawa lakini kadri siku ambavyo zilivyozidi kwenda ndivyo Mama alianza kuchoshwa na uwepo wetu pale nyumbani hasa Mama Rely. Nilianza kuyasikia maneno kwa majirani kuwa Mama yangu anamnyanyasa Rely na familia yake huku akisema kwamba wapo pale kama misukule na siku yoyote anaweza kuwafukuza. Mwishowe nikaja kujionea mwenyewe waziwazi.

Siku moja asubuhi kabla ya kuingia katika mihanjo yangu, Mama aliniita na kunikalisha kitako. Nikajua kwamba Mama angekuwa na jambo la maana la kunieleza lakini haikuwa hivyo.

“Hii hali inayoendelea ndani unaielewa?”

“Ipi tea Mama?”

“Baba wewe, huyu mtu atakuwa hapa kila siku au wanapanga kuondoka? Maana nimechoshwa kwakweli, nyumba kila sehemu unayokaa kuna mate”

“Mama, kwani nilikueleza nini? Hawa watu hawana pa kwenda zaidi ya mimi kuishi nao hapa”

“Weee! Hapana kwakweli, nimechoka kufuga huyu mgonjwa. Kwani mie ndio nilimwambia aroge sasa?”

“Mama, kwanini unafika mbali hivyo?”

“Rahim, kiukweli nimechoka kuishi na huyu mwanamke hapa ndani. Ikiwezekana ondoka naye, sitaki kabisa. Tafuta eneo lingine la kuishi. Tazama, wamekaa hapa ndani ya mwezi mmoja tu lakini sina amani katika maisha yangu. Nyumba inanuka mate kila sehemu. Sasa jifanye mbishi, haki ipo siku nitamtupa huyu mtu” Mama alifoka huku akiwa hataki kabisa kusikia lolote lile ambalo ningemweleza

Huu ukawa ni wakati mwingine mgumu kwangu kwani sikuwa na sehemu ya kwenda kuishi nje ya pale nyumbani. Niliumiza kichwa mno, nikatamani nimwambia Rely juu ya kile ambacho nilikuwa napitia lakini nilishindwa. Nikabaki kuwa mpweke na mwenye mawazo sana.

Afya ya Mama Rely ikazidi kuwa mbaya, alikuwa anaweza kuamka saa tisa usiku akaanza kupiga kelele mithili ya kuku aliyeona mwewe. Bila kumfunga kamba ama kumwekea dawa za kumlaza asingeweza kulala.

Maumivu yakamwandama Mama Rely, huu ndio ukawa upande wa pili wa mwanamke huyu, ile roho mbaya ambayo nilikuwa nayo ya kumtaka ateseke iliniisha kabisa. Nilianza kumuonea huruma kwakweli.

“Natamani Mungu angemchukua Mama yangu, hii ni zaidi ya adhabu anapitia” Rely alizungumza kwa uchungu sana akiwa anamtazama Mama yake ambaye aliendelea kutema mate.

“Kesho kuna sehemu nitakupeleka ili tuone inakuaje?”

“Wapi huko mume wangu?”

“Kule ambako Rola alipona, huenda atapona pia” Nilimuahidi huku nikiwa tayari kumpeleka kwa mganga ili aweze kupona.

Nakumbuka tulilala vizuri na asubuhi ilipopambazuka tu, jambo la kwanza lilikuwa ni kwenda katika chumba ambacho Mama Rely alikuwa akilala. Maskini! Sikumkuta. Nikapatwa na mashaka huenda Mama yangu atakuwa amemtoa, nilienda kumuuliza.

“Mama Rola yupo wapi?”

“Khe! Nimemtupa bwana, haiwezekani awe ananipigia kelele usiku kucha nashindwa kulala. Nimemfungulia mlango katoka”

“Mama, unafanya nini lakini?”

“Bwana usinipangie namna ya kuishi sijui kama unanisikia? Yumba ya kwangu, maji ya kwangu na kila kitu cha kwangu humu ndani. Nimeshakuambia ondoka na huyu chizi wenu hukunisikia. Ulitaka nifanyaje sasa?” Mama aligomba

Dah! Sikutaka kugombana naye, kwa bahati mbaya Rely alisikia kile ambacho kilikuwa kimeongelewa na Mama. Nilipoingia chumbani nilimkuta akiwa analia mno, alihisi kunyanyasika.

“Kumbe Mama yako hana mapenzi na Mama yangu halafu hujaniambia? Leo hii amemterekeza. Wapi nitampata Mama yangu sasa?”

“Baby, mimi sikujua kama Mama angefanya hivi. Lakini hili la kumtafuta, naomba uniachie mimi....
Tangazo - usiku mmoja tu alidata
usiku mmoja tu alidata
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DO YOU LOVE ME 05

DO YOU LOVE ME 05


ACCEPT THE REALITY
Ugumu wa maisha ulianza hapa maana hatukuwa na chaguzi tena, kutoka kumsaidia mtu hadi anarudi katika afya yake hadi anakuja kukufukuza kama mtumwa, mwizi ama mtu mwingine mtenda mabaya. This was pain to us lakini hatukuwa na jinsi, tulikubali kuuchukua ukweli ule na kuondoka nyumbani kwake.

Safari yetu ilienda kutua hadi Dar es salaam ambako nilifikia nyumbani kwa Mama....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/do-you-love-me-05

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi do-you-love-me
DO YOU LOVE ME 03 (S2)
DO YOU LOVE ME 03 (S2)
DO YOU LOVE ME..... 01 (S2)
DO YOU LOVE ME..... 01 (S2)
DO YOU LOVE ME 18 (S2)
DO YOU LOVE ME 18 (S2)
DO YOU LOVE ME 10 (S2)
DO YOU LOVE ME 10 (S2)
DO YOU LOVE ME 07 (S2)
DO YOU LOVE ME 07 (S2)
DO YOU LOVE ME 06 (S2)
DO YOU LOVE ME 06 (S2)
DO YOU LOVE ME 15 (S2)
DO YOU LOVE ME 15 (S2)
DO YOU LOVE ME 17 (S2)
DO YOU LOVE ME 17 (S2)
DO YOU LOVE ME..... S2 (16)
DO YOU LOVE ME..... S2 (16)
DO YOU LOVE ME 04 (02)
DO YOU LOVE ME 04 (02)
DO YOU LOVE ME 09 (S2)
DO YOU LOVE ME 09 (S2)
DO YOU LOVE ME 11 (S2)
DO YOU LOVE ME 11 (S2)
DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)
DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)
DO YOU LOVE ME 14 (S2)
DO YOU LOVE ME 14 (S2)
DO YOU LOVE ME 08
DO YOU LOVE ME 08
DO YOU LOVE ME 13
DO YOU LOVE ME 13
DO YOU LOVE ME 12 (S2)
DO YOU LOVE ME 12 (S2)
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

9.36K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.8K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.32K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.21K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.98K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

1.81K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.79K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.78K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest