Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

KIKOBA CHANZO CHA MIMI KULIWA sifuri???? Sehemu ya pili.

1st Jun, 2025 Views 46

???????? KIKOBA CHANZO CHA MIMI KULIWA sifuri????

Sehemu ya pili.

???? Lilinishuka sasa nishajua anachomaanisha duu nikubali kweli nachompa bwana angu ndio nitoe kwa wanaume wengine...????

Nikawaza uku mbali akuna anayenijua nikamwambia]

" Sawa nimekubali ila Tina usije ukasema kwa mtu yoyote.

" Mimi mwenyewe nakuofia wewe ndio maana nimekuja kukwambia uku uku chonde chonde dar kule asijue mtu.

" Siwezi kusema.

" Sasa sikia hapa si unaona tumekaa anaweza akaja mtu akakuuliza show time shilingi ngapi? Utamjibu 50 sawa.

" Show time ndio nini?

" Yani bao moja zabibu unakuwa mgeni kwakila jambo jamani.

" Sawa.

" Na mtu akitaka kulala na wewe ni laki mbili najua hapo utapigwa tatu au nne sawa?

" Sawa.

" Usiogope kuwa na amani ukimuudumia vizuri anakuwa mteja wako wa kudumu kikubwa kiuno ukiachie na uwe unamfinyia kwa ndani sawa?

" Sawa.

( Naitika tu uku nawaza kweli mwanaume atoe laki mbili kulala tu mimi nalalaga na bwana angu usiku kucha asubuhi ananipa elf kumi na nauli ipo hapo...dk 5 akaja mtu kumchukua Tina tena ni mwanamke)

" Tina twende tukale vichwa chap wapo wawili.

" Poa.

( Tina akaniambia]

" Zabibu nisubili nakuja.

( Nilikaa kama dk 15 Tina akarudi na 50 ananiambia)

" Unaona tayari nimekula kichwa chap 50 hii hapa uku sio kama wanaume wa dar washazoea kitonga wa uku wanatoa pesa.

( Duu nikasema kimoyoni kumbe wanawake sisi tuna siri nyingi Tina uchumi ajaukalia anaufanyia kazi kwa style hii vikoba ata vinne anacheza akaniambia)

" Zabibu usiwaze wanawake kibao baazi yetu dar tunadanga ila ujinga wenzetu wana danga na waume za watu wawalipie vikoba ndio wanaorogwa wale Zabibu chunga mume wa mtu sumu.

" Sawa.

" Aya unaitwa kule na kibaba cheupe nenda kaonge nae.

" Sawa.

( Nikaenda sasa kuongea na kibaba kile uku nawaza bei nilizopewa)

" Habari bibie.

" Salama.

" Nataka tuwe wote usiku wa leo.

" Sawa.

" Shilingi ngapi usiku kucha?

" Laki mbili.

" Sawa mtoto mzuri mbona kama una aibu aibu ivi kwanini?

" Wala sina aibu.

" Aya twende.

( Nawaza nikamuage Tina au niondoke tu kashafika bei aliyoniambia nawaza yeye kanishika mkono)

" Twende ukanipe utamu napenda sana wenye umbo kama hili.

( Anasema uku ananipiga matuta yangu mimi mwenyewe natanguliza atua namfata nawaza Tina awezi kukasirika sijamuaga naenda kulala nae uyu..na bahati mbaya simu yangu anayo yeye tina...kibaba kinanivuta tu tukaenda hotelini yani hapo hapo tu ila tukapanda lift tukawa juu sijawai fanya mapenzi juu ya ghorofa mimi ndio leo itakuwa ni mala ya kwanza kila kitu moja kutoa penzi kwa pesa pili juu ya ghorofa tukaingia chumbani akaniambia)

" Wewe sio mzoefu unaonekana.

( Najiuliza wazoefu wanafanyaga nini ila nikamwambia ukweli)

" Ndio mimi sio mzoefu wewe ndio wa kwanza kuninunua.

" Asante sana mimi ndio nafungua duka kwako kwenye anga za kutupa raha wanaume.

" Ndio.

" Karibu sana na imani utanipa utamu wa kiwango cha juu sana mimi napenda sana sifuli.

( Macho yamenitoka sijui sifuri nini nikamuuliza)

" Ndio nini iyo sifuri?

" Tupo pamoja utajua nitakuongeza mala mbili ya hii pesa ukinipa sifuri sawa.

( Najikuta naitika sawa bila kujua sifuri nini)

" Sawa.

" Sogea basi karibu yangu.

( Nikasogea karibu yake akanipa pesa)

" Shika laki mbili hii ya makubaliano je nikupe zengine mbili za kunipa sifuri?

( Mimi sijui nini kimenisukuma nikamwambia)

" Nipe.

( Akanipa kweli niliziweka wenye kwenye mkoba uku nawaza sifuri nini ananiambia)

" Aya toa nguo uje kitandani sasa mimi nipo tayari.

( Naona aibu kutoa nguo najikuta nasema)

" Zima taa basi.

" Kweli wewe leo siku yako ya kwanza aya ngoja nizime taa.

( Akazima taa kukawa na giza natoa nguo sasa dah yani...)

Itaendelea
Simulizi ya kikubwa sana
Wewe mpenzi wa chombezo ngumu
Njoo ununue
Full 1000

NAMBA YA MALIPO
0657774735.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

ANIPHA 6--7.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 05

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY???15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA? Sehemu 13.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY ???11

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest