PENZI LA MHALIFU 18
Kiukweli nilikuwa kwenye wakati mgumu kwa wakati huo kwani nilihisi lazima atagundua kuwa nimetoka kufanya mapenzi mda mfupi uliopita.
"Tulia kwanza mme wangu nataka nikaoge alafu baadae nije nikufanyie mambo ambayo sijawahi kukufanyia" nilimwambia ila kama ilivyokawaida ya Cyborg akishaanza kupandwa na hisia ni ngumu kumzuia bado aliendelea kunishika kwa ajili ya kupandisha hisia zangu.
Siku hiyo sikuwa na hisia kabisa kutokana na mawazo niliyokuwa nayo hivyo sikutaka kumpa nafasi ya kuendelea kunishika kwani lazima angehisi kuwa nimetoka kufanya mapenzi.
Nilimtuliza kwa kumwambia asiwe na haraka na nipo kwa ajili yake. Cyborg alikubali kishingo upande na mimi haraka nilitoka na kwenda bafuni japo sikuwa na mpango wa kuoga kwa wakati huo.
Sikutaka kuvua nguo zangu mbele ya Cyborg sababu nilimjua vizuri mme wangu huwa akiona uchi wangu basi midadi lazima impande.
Nilifika bafuni huku nikiwa ni mwenye mawazo na yote ni kutokana na Mkuu wangu kufanya mapenzi na mimi nikiwa kwenye hali ya kutokujitambua.
Nilitumia mda mrefu nikiwa bafuni na kwa nje nilianza kusikia mlango wa bafuni ukigongwa kwa nguvu huku Cyborg akiniita.
"Malaika Malaika Malaika" aliniita zaidi ya mara tatu na mimi niliamua kuitikia ili nisikie anachotaka kuniambia.
Cyborg aliniambia kuwa kuna sehemu anaenda hivyo hatochelewa kurudi, moyo wangu ulipumua kidogo baada ya Cyborg kusema anaondoka.
Nilitoka bafuni na kuendelea na mambo mengine mpaka pale mda wa usiku ulipofika, nilifanya mapenzi na Cyborg japo nilikuwa na wasi wasi kwa kuhisi labda Cyborg atagundua kuwa nimemsaliti ila bahati nzuri hakuweza kugundua chochote kile.
Siku iliyofata nilienda kazini na nikiwa nimekaa kwenye ofisi yetu alifika Afande Davi nakuanza kunicheka kwa sauti ya juu.
Afande Davi aliendelea kucheka kwa dharau na mda huo huo alifika Afande Neema na kuamua kumuuliza.
"Afande Davi una matatizo gani!?, mbona umekuja kwenye ofisi yetu nakuanza kutupigia kelele!?" Afande Neema alimuuliza ila haikumfanya Afande Davi aache kucheka.
Alicheka na baada ya mda alinyamaza mwenyewe na kuongea.
"Hatimae jana umeliwa Angel na mkuu" aliongea na kuondoka huku akiniacha mikono yangu imeshika kichwa changu kwani nilijua tu lazima atakuwa kaambiwa kila kitu kilichotokea.
Afande Neema alinitazama na kuniuliza.
"Angel kile anachokisema Afande Davi kina ukweli wowote ule!?" aliniuliza na mimi niliona nikimwambia ukweli nitakuwa nazidi kujishushia heshima mbele yake.
"Hamna ukweli wowote ule na sijui ni kwanini ameamua kuniambia hivyo" nilimwambia Afande Neema ambae nae hakutaka kuyaamini maneno yangu kutokana na jinsi nilivyokuwa kwa wakati huo kwani nilikuwa siongei kwa kujiamini mbele yake.
Baada ya masaa kwenda niliitwa kwenye ofisi ya mkuu, moyo wangu ulilipuka kwani sikujua amepanga mpango gani mwingine.
Nilitumia kama nusu saa nikifikiria niende kwenye ofisi yake au niache kitu kilichowashangaza baadhi ya asikari wenzangu, Afande Neema aliamua kuniuliza kwanini sitaki kwenda kwenye ofisi ya mkuu ila mimi niliamua kumjibu.
"Sijisikii kwenda kabisa maana najua niusumbufu tu ndiyo anataka kunipatia na sio kitu kingine" nilimwambia Afande Neema.
"Lakini mimi nilikushauri Angel bora ungekubali tu kufanya nae mapenzi walau mara moja huenda asingekuwa anakusumbua ivi" Afande Neema aliongea bira kujua kuwa tayari nimeshafanya mapenzi na mkuu.
Ilinibidi niondoke na kwenda kwenye ofisi yake.
Nilifika nakusukuma mlango na kumkuta akiwa kalala kwenye kiti chake huku akiwa anakoloma.
Nilibaki nikimtazama kwa hasira na nilitamani nimfate sehemu aliyokuwa amelala kwa ajili ya kwenda kumnyonga kwa kutumia mikono yangu ila nafsi nyingine ilinikataza kufanya kile nilichokuwa nakikiwaza.
Huwezi amini nilisimama zaidi ya dekika 10 bira ata mkuu kuamka yani kiufupi alikuwa ni mwanaume mzembe sana ndiyo sababu iliyokuwa ikimfanya ashindwe mpaka kumlizisha mwanamke.
Niliamua kukohoa zaidi ya mara mbili na baadae alishituka baada ya kuhisi uwepo wangu.
"Kahaba wangu kumbe umekuja" mkuu aliongea akiniita kahaba na sikutaka kumjibu zaidi ya kunyamaza kumsikiliza kile alichoniitia.
Mkuu alisimama kwenye kiti chake na kunisogelea sehemu niliyokuwa nimesimama.
Alinifikia nakuongea "Na leo nataka nifanye mapenzi na wewe vip upo tayari? Aliniuliza.
"Unataka ufanye mapenzi na nani!?, leo sahau kabisa na jana ulinivua chupi kwa bahati mbaya tu leo hutoweza kabisa labda sio mimi Angel" nilimjibu na kutaka kuondoka ila aliniwahi na kushika kiuno changu na kuongea.
"Ukiendelea kuniletea kiburi nitakuja nikufanyie kitu kibaya na hautasahau, chaguo ni lako ufanye mapenzi na mimi au uendelee kuwa jeuri kwangu"
Baada ya kuongea hivyo mkuu alitoa mkono wake kwenye kiuno changu na kunipa nafasi ya mimi kuondoka.
Niliondoka huku nikiwa ni mwenye mawazo na msaada pekee niliona upo kwa Cyborg.
"Bira kumwambia Cyborg huyu mjinga atanitumikisha kingono mpaka nitajuta kumjua" niliongea mwenyewe huku nikiwa natembea kuelekea kwenye ofisi yangu ilipo.
Nilishika simu yangu nakujaribu kumtumia sms Cyborg na bahati mbaya hakuweza kujibu kwa wakati huo.
Mda wa kazi uliisha na mimi nilirudi nyumbani huku nikipanga kumweleza Cyborg usumbufu ninaopata kutoka kwa mkuu wangu japo sikuwa na mpango wa kumwambia kuwa tayari mkuu wangu kaisha nizagamua sababu ingekuwa kesi nyingine hiyo mbele ya Cyborg.
Majira ya Cybrog kurudi nyumbani yalifika na alirudi na kunikuta nikiwa sina raha kabisa siku hiyo.
Aliamua kuniuliza kipi kinachonisibu "Malaika una tatizo gani!?"
Baada ya kuniuliza niliwaza namna ya kumwambia ila baadae niliamua kujikaza na kumwambia.
"Mkuu ananisumbua sana kazini, toka utembee na mke wake amekuwa kero kwangu na yote yanatokana na wewe kufanya maamuzi ya kukulupuka" Niliongea huku Cyborg akinisikiliza kwa umakini.
"Nisamehe Malaika ila mimi sijawahi kutembea tena na mke wake na mara ya mwisho ni ile siku uliponiruhusu nifanye nae mapenzi na wewe ukiwepo" Cyborg aliongea.
"Hilo mimi sijui ila fanya unachojua ili mkuu asiendelee kunisumbua lasivyo atakuja kunizagamua maana ameshaanza kuniwekea mitego ya kila aina" nilimwambia Cyborg
Majeshi niliamua kuyahamishia kwa Cyborg wangu ila wapambane wanaume kwa wanaume.....ITAENDELEA..