PENZI LA MHALIFU 19.
Baada ya kumwambia Cyborg aliniambia nimuachie yeye atajua atakachokifanya. Sikujua Cyborg amepanga kufanya kitu gani.
Siku hiyo ilipita na siku iliyofata Cyborg aliamka asubuhi na mapema bira kuniambia alielekea wapi.
Upande wangu nilisubiri mda wa kazini ufike ili niweze kwenda kazini. Hatimae mda ulifika wa kwenda kazini, niliondoka na siku hiyo tulishangaa asikari karibu wote kutokumuona mkuu wetu kazini baada ya mda wa kazi kuisha pasipo mkuu kuonekana.
Sikutaka kuwaza sana sababu kwa upande wangu ilikuwa ni furaha na nilitamani asiwe anakuja kazini ili niwe naishi kwa amani, niliamua kurudi nyumbani nakuendelea na ratiba zangu.
Cyborg alirudi mida ya saa 4 usiku huku usoni akiwa na tabasamu la kutosha.
"Mbona unatabasamu mme wangu?" ilibidi nilimuulize baada ya kuona tabasamu lake. Cyborg aliongea.
"Kwa sababu mkuu wako nimemshika penyewe hatajaribu tena kukusumbua" Cyborg alinijibu na kunifanya nitamani kujua nini anachomaanisha, Cyborg aliamua kutoa simu yake nakunionyesha.
Cyborg alinionyesha video iliyonifanya nishituke kwani iliwaonesha vijana waliokuwa wamefunika sura zao huku wakimwingilia kinyume na maumbile Mr Robert au mkuu wangu wa kazi aliyekuwa akitoa sauti za malalamishi kwa maumivu aliyokuwa akiyapata.
Nilimwangalia Cyborg maana sikutegemea kama atafanya maamuzi ya aina hiyo.
"Cyborg kwanini mmeamua kumfanyia hivyo!?"
Baada ya kumuuliza Cyborg aliamua kunijibu.
"hiyo ndiyo njia pekee ya watu kama hao, wewe mwenyewe utaona kama atakusumbua tena huko kazini kwako" Cyborg alinijibu na hakuwa na wasiwasi wowote ule.
"Huoni kama unazidi kuongeza matatizo zaidi na kwanini umeamua kurudiana na vijana uliokuwa na urafiki nao zamani!?" nilimuuliza sababu vijana alioshirikiana nao nilihisi ni wale wale waliokuwa wakifanya kazi pamoja ya kukaba watu kipindi cha nyuma.
Cyborg alinitoa hofu kuwa aliwaomba vijana wenzake wamsaidie tu na sio kwamba amerudiana nao.
Cyborg aliniambia kuwa video aliyonayo ndiyo siraha kubwa itakayomfanya Mkuu wangu aache kunisumbua kwani endapo atajaribu tu kunisumbua video ataisambaza na watu wataiona. Kwa upande mwingine nilifarijika maana niliamini nitakuwa huru.
Ilibidi nimuulize Cyborg alifanyeje mpaka kumkamata mkuu wetu na Cyborg aliniambia kuwa mke wa Mr Robert aliamua kuwasaidia kitu kilichonishangaza na nilihisi lazima watakuwa bado wanaendelea na mahusiano.
"Kelvin naomba unieleze vizuri ilikuwaje mpaka mke wake akakubali kukusaidia vinginevyo hatutaelewana kabisa" siku hiyo nilimwita jina lake halisi la Kelvin na sio Cyborg tena kama nilivyokuwa nimezoea kumuita.
"Kwani wewe unataka aendelee kukusumbua?"
Cyborg aliniuliza na mimi nilimjibu.
"Hapana sitaki ila iliwezekanaje kumshawishi mke wake mpaka akakubali kukusaidia au uliamua kufanya nae mapenzi kwanza?"
"Sio hivyo Malaika mimi na yule tumeshamalizana zamani tu ila nilimwambia anisaidie ili nimfanye mme wake asiwe anachepuka hovyo na atulie kwenye ndoa yake, vinginevyo angemletea magonjwa" Cyborg aliongea.
"Kwani anajua kuwa mme wake ameshatolewa marinda?" ilibidi nimuulize kwa mara nyingine.
"hapana hajui chochote kile" Cyborg alianza kunielezea jinsi ilivyotokea.
Aliniambia kuwa Mkewe alimuwekea dawa mmewe kwenye chakula aliyopewa na Cyborg na baadae mmewe alipoteza fahamu hivyo Cyborg pamoja na wenzake walimchukua nakwenda kumfanyia tukio la kumwingilia kinyume na maumbile.
Kiukweli Cyborg kuna mda alikuwa akinichanganya kwani alikuwa akifanya mambo ya kuogopesha lakini kilichokuwa kinanifanya niendelee kuwa nae ni kufanya mambo mengi kwa ajili ya kunitetea na kulinda penzi letu japo mara kadhaa alikuwa akikosea.
Kitu alichokisema Cyborg kilikuwa ni cha kweli kwani tangu mkuu wangu afanyiwe tukio hilo na Cyborg hakuwahi kunisumbua tena wala kunipa kazi za ajabu ajabu kama zamani. Pia ata ule mtindo wake wa kutembea na karibu kila mwanamke aliupunguza na mda mwingi alikuwa akifanya kazi yake kama inavyotakiwa akiwa kama kiongozi wa kituo chetu.
Siku moja tukiwa kwenye kituo chetu cha kazi aliletwa kijana aliyekuwa amekamatwa kutokana na kosa alilokuwa amelifanya la kukaba watu.
Kijana huyo alionekana ni mvuta bangi aliyekuwa akitukana matusi ya kila aina, alikuwa haogopi licha ya yeye kuwa kwenye kituo cha polisi.
Kabra hawajampeleka selo kwa Mbali aliweza kumuona mkuu wetu wa kazi na kumfanya aanze kuongea mbele yetu asikari polisi bira kuwa na aibu yoyote ile.
"Kumbe mke wangu uko hapa wambie vijana wako waniachie haraka lasivyo nitaenda kuwaambia masela wafanye yao" kijana huyo aliongea akimwambia mkuu wetu.
Kila mtu alibaki kwenye mshangao kwani lilikuwa ni kosa kubwa mno la kumwita mkuu wetu mke wake......ITAENDELEA.