Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
39 views
VYOTE NDANI GONGA94
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 11
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 11
Mhhh ile cm ilinifanya nichoke kabisa, nikarudi chumbani nikaingia chooni maana tumbo la kuharisha lilinibana ghafra, nimetoka tu chooni cm nyingine,, Chukua usafiri uwahi hapa sina mda wa kukaa hapa, mhhhh jmn Mamujee mie, umasikini huu ndio unanifikisha huku? mhh!! Nikasema ngoja niende tu sina jinsi, kweli aliniingilia kinyume ila amenisaidia sana acha niende ,, ikabidi nibadilishe nguo, nikavaa jeans na top nikabeba mkoba wangu nikatoka,, nilikodi bajaji hadi mliman cty,, kweli nilikutana na Mahamood,, kiukweli nilivyomuona Mahamood siku ya kwanza na leo tofauti, nadhani cku ya kwanza sikumuona vzr,, kumbe Mahamood ni mzuri tu mrefu, muarabu mwenyewe ila sio kivilee mhhh Amamu mie!! Bc alinikumbatia huku natetemeka balaa,, akaniambia Mamujee ww mwanamke una akili sana, angekuwa mwanamke mwingine tyr ningekuta kajichubua sura na iv hela nampa?, Nikamwambia mm sijawahi kujichubua, akasema ndio sababu nimekuchagua,, bc tulisalimiana pale akaniagizia chakula nikala huku nikiwa na hofu ila nilijipa moyo,, tulivyomaliza kula akaniambia tuondoke, sikujua tunaenda wp ila tulipanda gari yake hadi hotel moja iv, ilikuwa nzuri sana, akaniambia hapo ndipo amefikia,, tukaingia chumbani akatoa begi kubwa akaniambia Mamujee fungua hizo ni zawad zako, nilifungua lile begi nikakuta mabaibui mazuri mazuri jmn, magauni marefu yanangaa na mitandio yake,, pafyumu nzuri pamoja na udi, kiufupi nguo zilikuwa nyingi na nzuri sana,, akaniambia nikaoge nibadirishe nguo,, bc sikuwa na jinsi nikaenda kuoga nikavaa nguo mojawapo nikajipulizia pafyumu, akaniambia haya tutoke, hapo bado hatujafanya chochote
Bc tulitoka hadi nje akaita gari hao tukapanda lile gari alilokuwa analitumia yeye aliliacha pale pale Hotelini ila akaita gari lingine, hapo cjui tunaenda wp, bc tukafika hadi uwanja wa ndege akaniambia Mamujee ushawahi fika Zanzibar? Nikamwambia hapana,, bc leo tutalala Zanzibar nikakaa kimya tu, kweli tulipanda ndege mara tu tumefika nikasema huyu mwanaume ana hela ila tabia yke ndio mbaya,, tulifika tukaenda hadi hotel tulikula tena kisha akanipeleka hadi kwenye hard yake ya magari,, ni sehemu kubwa ina uzwa magari mazuri,, akanitambulisha kwa wafanyakazi wake kuwa mm ni mke wake wa tatu,, bc walinipokea kwa heshima sana,, alinitembeza kidogo tukarudi hotel,, akaniambia Mamujee nimekumisi sanaa nikaanza kulia akaniuliza vp? Nikamwambia mm sipendi huo mchezo akanikumbatia cjui alinipa nn nikapoteza fahamu tena nilivyoamka nikamkuta amelala tena anakoroma, nilijikagua vzr nikakuta ameniingilia tena nyuma tena sio mara moja nililia hadi akaamka, akaniuliza vp mke wangu? Hata sikuongea, nikaendelea kulia tu, akanibeba kwa nguvu hadi bafuni, akaniogesha, akaniambia nivae nguo, nikavaa huku nalia, tukatoka, ilikuwa tyr ucku umefunga, tukashuka chini hadi kwenye ufukwe wa bahari, tukakaa, ni hapo hapo Hotelini yaan kumetuliaa wamejaa wazungu tu,, akaniambia Mamujee nisamehe sana nakupenda sana, ila cwez kujizuia kufanya ivo ndivyo inanibidi nikufanyie ivo na nikikufanyia ivo ndipo nazidi kupata utajiri nililia sana, akanikumbatia akaniambia sema unataka nn kutoka kwangu nikupe? Chochote nitakupa ukitakacho, sikuongea chochote nikakaa pale akanipeleka sehemu kula vitu vya baharini
Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sik...
😂 CHIZI MLA NDOGO WAKE ZA WATU🔥 SEHEMU YA TANO ( Onyo ukiwa mtoto au ujakomaa akili usisome simulizi hii) 👉 Uwiiiiiiiiiiiiiii usuingize kwa nguvu mdogo mdogo uko sijazoea Aaaaaaaaa chomoa kwanza inauma chomoa...👇
MJESHI WANGU ___01 05 ......"mwajuuuu!! We mwajuu...! Mwajuma....." nilikuwa nikimsikia dada yangu ananiiita kwa Fujo kwelii ,sikutaka kuitika nilikuwa kimyaaa kwa sababu nilijua nilicho kifanya huko ndani, nilikuwa nmejibana kimyaa nyuma ya mti mkubwa
ulio kuwa mbele kabisa na nyumba yetu Nilimsikia mama nae anamjibu kwa hasiraa "Bwana hayupo embu nitolee kelelee" "Ila...
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 10 (Moshi mkubwa juu ya anga) wananchi wenzangu hali hii ni ngeni hapa kijiji kwetu toka kuzaliwa kwangu hadi umri huu sijawahi shuhudia janga kama hili sijui labda kwa baba zetu na babu zetu , wazee wote wa msindo
na vijiji jirani walikataa kwa pamoja hapana na sisi hatujawahi kuona kabisa janga kama hili ..endelea sio tu kukataa b...
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 20* Meneja aliomba nirudi tumalizane ndo niondoke☺️☺️ye ana kichumba chake kule hotelini kumbe ndo unyama anaufanyaga huko chumbani😞😞
Niliwaza sana hapa nachomokaje siwezi kuliwa kizembe hivo🤨🤨🤨niliwaza cha kumdanganya kikakosa🤨🤨 Meneja alinishika mkono...
Mhhh ile cm ilinifanya nichoke kabisa, nikarudi chumbani nikaingia chooni maana tumbo la kuharisha lilinibana ghafra, nimetoka tu chooni cm nyingine,, Chukua usafiri uwahi hapa sina mda wa kukaa hapa, mhhhh jmn Mamujee mie, umasikini huu ndio unanifikisha huku? mhh!! Nikasema ngoja niende tu sina jinsi, kweli aliniingilia kinyume ila amenisaidia sana acha niende ,, ikabidi nibadilishe nguo, nikavaa jeans na top nikabeba mkoba wangu nikatoka,, nilikodi bajaji hadi mliman cty,, kweli nilikutana na Mahamood,, kiukweli nilivyomuona Mahamood siku ya kwanza na leo tofauti, nadhani cku ya kwanza sikumuona vzr,, kumbe Mahamood ni mzuri tu...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mwarabu-huko-mi-sijazoea-11
Maoni