MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 15
Bc jmn majibu yalivyotoka mhhhhh eti mjamzito nikamuuliza doctor itakuwa inamda gn, akaniambia kama wiki mbili iv yaan bado changa kabisa , bc akanipa dawa maana nilikutwa na maleria,, nilichanganyikiwa nikasema nitafanyaje kuhusu hii mimba? Hapo inaenda wiki ya pili hatujawasiliana na Mahamood,,,, nikatoka nje nikaenda pale nilipoambiwa na shangazi,, kweli nilimkuta amekaa ananisubiri,, akaniuliza vp una shida gani? Nikamwambia ni maleria tu,, akaanza kuniuliza eti una ishi wp? Maana nilikuwa nimependeza tu ukiniona hata ngozi yangu unajua tu nimebadirika sio Amamu yule,,, nikamwambia naishi kwa rafiki yangu,, akaniambia kwa nn sikwenda kijijini?? Nikamwambia nilikwenda ila baba mdogo alinifukuza , yaan shangazi akajifanya kama sio yeye eti anashangaa kwnn alikufukuza?? Nikasema cjui,, bc aliongea pale kama mtu mwema jmn,,, ila sikumfatilia sana maana nilikuwa na mawazo kuhusu ujauzito wangu,, akawa anaiangalia cm yangu maana niliitoa kwenye pochi nilikuwa naongea na mteja wangu,, akaniuliza unafanya kazi gn? Nikamjibu biashara,, ila alishindwa hata kuuliza huo mtaji umepata wp?? Bc alichukuwa namba yangu ya cm tukaagana maana ckutaka ajue ninapo ishi,, nikachukua bajaji hadi kwangu nimefika kwangu mawazo tele cjui nafanyaje Mamujee mm?? Bc niliendelea na dozi yngu hadi namalizia doz sijapigiwa cm na Mahamood, ila nikimuangalia wtsap pia simuoni,,, bc nikaendele kujiuguza hadi nikapata nguvu nikarudi kwenye biashara zangu,, hapo inakaribia mwezi,, shangazi akawa ananipigia cm Mara kwa Mara kujua naendeleaje,,, cku hio nimetoka zangu kwenye biashara zangu nimefika kwangu tu na cm yangu ikaita kuangalia namba za nnje,, nikapokea alikuwa Mahamood aliniuliza naendeleaje? Nikamwambia vzr tu, akaniomba samahani kwa kuwa kimya mda mrefu eti mke wake mdogo ni mkorofi sana huwa anakagua cm?? Nikamwambia sawa,, ila sikumwambia habari za mimba,, tuliongea akaniuliza kama nina shida yeyote au kama nina uhitaji wa pesa? Nikamwambia hapana,, bc akaniahidi atanipigia tena kesho yke,, tuliagana nikaendelea na Mambo yngu, nilijiuliza sn nafanyaje kuhusu huu ujauzito?? Ila nafsi inaniambia mbona hela unayo benki ya kukutosha tu hata huyo Mahamood asipo kuja?? Bc nikawa najipa moyo tu,, maisha yakaendelea ila mawasiliano na Mahamood yalikuwa ya tabu sana,, niliendelea kupambana hadi mimba yngu ikafika miezi mitatu cjamwambia Mahamood,,
Cku hio nimeshinda nimelala sana hata chakula nilishindwa kula nilishindia juice tu,, nikashangaa cm yangu inaita namba za Mahamood za hapa bongo,, nikapokea akaniambia amefika niende Hotelini,, nikajikuta namjibu tu siwezi kwenda popote cjisikii,, akaniuliza Mamujee unanijibu nn?? Nikamwambia sijisikii kutoka nikakata cm,, nikaanza kulia nikasema ina maana hadi kafika Tanzania hajaniambia ndio ananikurupusha niende Hotelini?? Nikanyanyuka nikaoga nikalala maana ckuwa hata na nguvu,, ucku wa saa tatu iv akanipigia nimfungulie get, kweli nikafungua akaingiza gari ndani, tumefika ndani wala sijamchangamkia ,, akaenda kuoga akaja nilipo kaa, akaniuliza nina shida gn?? Nikamwambia sina shida nipo kawaida,, bc alinibembeleza pale akaniambia nisijali akinioa ndio atakuwa huru kuongea na mm hata mbele ya wake zake,,, tulilala vzr na mechi tukapiga ila ile ya kipole maana naumwa,,, asbh kumekucha kama kawaida yangu lazima nitapike asbh ndio maisha yaendelee akaniona ninavyotapika tena huku machozi yananitoka akaniuliza nn shida? Nikamwambia siko sawa,, akaniuliza tena una mimba?? Nikamwambia ndio,, akaniuliza mbona hujaniambia?? Nikamwambia ningekwambia saa ngp wakati alikuwa hapigi cm?? Akaniambia sawa jiandae twende hospital,,, nilijiandaa hadi Agakhan hospital,, tulifika pale akaongea na doctor nifanyiwe ultrasound ili ajue ujauzito una mda gn,, mda wote huo nipo kimya hata yeye hachangamki sana,,, nikafanyiwa vipimo vzr na majibu yakatoka mimba yangu ina miezi mitatu na wiki tatu,, Mahamood alinitazama usoni,, akaniambia twende,,, hapo sielewi mwenzangu anawaza nn?? Tukatoka hadi nje tukaingia kwenye gari kimya kimya,,, tulienda hadi kwenye hard yake ya magari,, akashuka akaniacha kwenye gari,, alikaa kama nusu saa akaja kunifata nikashuka akanishika mkono tukaelekekea upande wa magari,,, akawaita wafanyakazi wake akawaambia msaidieni mke wangu kuchagua gari zuri lenye thamani yeyote ile nikajikuta machozi yananitoka nikaanza kuchagua gari, huku cjui hata aina ya magari,, wale wadada wakawa wananisaidia, nikachagua Verossa, bc Mahamood akawaambia wale wafanyakazi waandike jina langu kwenye kadi,, tuliondoka hadi Hotelini tukala tulifurahi yaan Mahamood alifurahi sana sana tena ckutegemea kesho yke akanipeleka driving school ili nijifunze kuendesha gari,,, akaniambia Mamujee nakuoa sasa ctaki mtoto azaliwe kabla ya ndoa,,, huku naendelea kujifunza gari nikawa nakaribia kumaliza,,, cku hio kanifata shule tukaingia kwenye gari yake hakuniambia tunaenda wp,, tukafika sehemu akapaki tukashuka huku akiwasiliana na watu,, kumbe alikuwa anaenda kuninunulia kiwanja Salasala jmn jmn Mamujee mie umasikini kwisha tena mhhhhh!!! Bc nikaonyweshwa kiwanja changu kikubwa sana kipo kwenye ramani,, nikamshukuru sana huku nalia,, akaniambia hapana ww ni mke wangu,,, akaniambia hapa nakujengea ghorofa mhhh!!! Bc tulirudi nikawa naweza kuendesha gari sikuchukua mda mrefu sana nikakabiziwa gari yangu na kadi yangu yenye jina langu,, Mahamood alikaa sana kama miezi miwili iv akaniambia anaenda Dubai kumpa taarifa mke mkubwa, ataenda na kwa mdogo, ili tuje kufunga ndoa rasmi,,, hapo kule Salasala ujenzi unaendelea
Nitarudi!!!!
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 16
Bc Mahamood alisafiri akaniacha pale pale nyumbani kwangu na kuniachia jukumu la kusimamia ujenzi wa nyumba yangu Salasala, alinunua vitu vya ujenzi vya kutosha na kuwaacha mafundi na kuniachia pesa ili mafundi wakihitaji chochote niweze kununua,, maisha yaliendelea mimba yangu ilikuwa ilitimiza miez mitano iv nipo tu mwenyewe ila Mahamood tunawasiliana kila cku,, Mahamood akiwa Dubai anakuwa hana shida mnawasiliana kama kawaida,, nakumbuka siku hio nimeamka zangu najiandaa niende Salasala nikakae na mafundi nilipigiwa cm na shangazi,, aliniuliza uko wapi nikamdanganya mjini, akaniomba sana niende nyumbani kwake, nikamuahidi nitaenda nikitoka huko,, bc niliendelea na ratiba yngu nikaenda kwa mafundi nikahakikisha kila kitu kipo sawa maana Mahamood lzm anipigie cm anataka ripoti
Nikarudi zangu nyumbani kwangu nikapaki gari nikachukua bajaji nikaenda kwa shangazi ckutaka ajue kama nina gari,, hata kuhusu ujauzito sikutaka ajue, tumbo langu lilikuwa dogo mno huwezi kujua kama nina mimba hadi nikuambie mwenyewe, nimefika kwa shangazi alinipokea vzr jmn tena kwa kuwaambia wanae mkaribisheni Dada mhhhh, bc niliingia ndani vzr,, wakaniletea kinywaji lkn nilikataa nikawaambia nimetoka kula muda sio mrefu,, bc akaanza kuniambia alichoniitia kuwa Kaka yangu wa Arusha anapiga cm mara kwa mara anataka kuongea na mm,, nilifurahi kusikia habari za Kaka yangu ila sikufurahishwa kwann hakumpa namba zangu wakati anazo?? Nikamwambia sawa shangazi nashukuru sana ila naomba namba zake,, akanijibu namba zake sikupi ila nampigia hapa kwenye cm yangu uongee nae mhhhh, nilitulia kimya, nazani alim beep maana gafra cm ya shangazi iliita alipokuwa akaanza kuongea nae yeye kwanza walikuwa wanaongea kiruga,, then akamwambia Amamu huyu hapa ongea nae, ila nilishangaa shangazi anaongea na Kaka kistarabu mnoo nikajiuliza kulikoni?? Bc nikaanza kuongea na Kaka yangu, nikajikuta nalia nikamwambia Kaka mbona umeniacha mwenzio? Hata kunitafuta hakuna?? Akaniambia mbona napiga cm mara nyingi kwa shangazi ananiambia umetoka? Mara upo jikoni?? Nikabaki kusema haya sawa maana shangazi alikuwa ananikata jicho balaa,, akaniambia anakuja kesho kutwa kutusalimia mara moja ana mambo mengi sana ya kuongea na mm,, bc tuliagana na Kaka nikampa cm shangazi wakaendelea kuongea,, cm ilivyokata shangazi akaanza kuniambia ni kweli Kaka yangu alikuwa anapiga cm ila yeye hakujua nilipo ndio sababu akawa anamdanganya ,, bc nikasema sawa mm niende,, akaniambia mbona haraka ivo,, nikamjibu tu naenda kupumzika nimechoka sana,, bc tuliagana huku akinisisitiza kesho kutwa niwahi mapema ili Kaka akija anikute pale,,, Niliondoka lkn nilikuwa na hamu sana ya kukaa na Kaka yangu ili ajue mapito yangu yote nilifika kwangu nikajikuta mawazo yamenishika nawaza kuhusu wazazi wangu, Cm yangu ikaita Mahamood alipiga akaniambia washa data nikupigie WhatsApp,, bc nikawasha, tukaanza kuongea, akaniambia kavae mtandio ufunike hiko kichwa, nikaingia chumbani nikajifunika, kumbe alitaka niongee na mkewe mkubwa bc nikashangaa tu cm imeshikwa na mwanamke, mzuri huyo muarabu, akanisalimia assalamualaikum!! Nikaitika, nikamuamkia, akaniambia ww ndio Mamujee?? Nikamwambia ndio, akasema karibu kwenye familia yetu mdogo wangu , Mm ndio Dada yako mkubwa, ila yupo anae nifata, karibu sanaa,, Mhhhh!! Nilishangaa sana jmn,, nikamwambia asante nimekaribia,, akaniambia hongera kwa kutubebea mtoto tumboni ,, nikaona kama anajifuta machozi,, akaniambia mdogo wangu ww ndio umepata bahati, kabla hujaingia umebeba mimba?? Akaniambia nina mwaka wa kumi na Mume wangu sijabahatika uzazi mhhhh, nikajiuliza kurikoni Mambo haya jmn?? Bc nikamwambia usijali Dada Mungu atafungua milango,, akanijibu inshallah!! Tuliagana pale cm akachukua Mahamood,, akaanza kuniambia kweli Mamujee wake zangu wote hawajabahatika uzazi hata bi mdogo nae kumbe hajazaa,, mhhhh nilijiuliza sn,,, bc tuliagana na Mahamood,, niliwaza sana jmn, nikaogopa, nikasema hawa watu wa aina gn?? Mamujee umasikini unaniponza mie, kuingia sehemu hata siijui vzr,,,
Bc cku zilipita ikawadia cku ambayo Kaka yangu anakuja dar, nilitamani sana cku hii ifike jmn, niliona kama cku haziendi,, niliamka mapema sana, nikaenda Salasala nikahakikisha mafundi wapo vzr,, shangazi akanipigia cm niwahi, nikatoka Salasala moja kwa moja hadi kwa shangazi na gari langu, sikujari wala nn,, nimefika napaki gari tu, namkuta shangazi amekaa nje na mjomba,, walikuwa wanakodoa macho kuangalia anashuka nani kwenye gari,, c mnajua vioo vya giza,, nikazima gari nikashuka kisha nikaroki, kumaanisha hakuna mtu mwingine ndani ya gari ujue shangazi alipata kigagaziko Amamu ni ww mwanangu?? Nikatabasamu tu , nikawasalimia akamwambia mwanae mletee Dada kiti,, nikaletewa kiti nikakaa, nikatoa cm yngu nikaingia mitandaoni sikuongea chochote,,, bc mjomba akainuka kwa aibu kuingia ndani,, shangazi akaniuliza Mamujee una biashara gn mwanangu?? Nikamwambia hizi hizi ndogo ndogo,, akaniuliza hilo gari lako,, nikamwambia ndio langu ujue aliniangalia kisha akahema mhhh tumekaa pale hadi jion frani iv,, shangazi akapigiwa cm na Kaka akawa anampa maelekezo mara nashangaa gari prado inaingia, inapaki nilipopaki gari yangu,, kuangalia namuona Kaka yangu anashuka,, yupo peke yake, amependeza kawa bonge la braza meni,, nikanyanyuka nikamrukia tukaanza kulia,, nikajiuliza Kaka huyu ni Mwita au naota,, shangazi akaja kutukumbatia wote kwa pamoja,,,
Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.