Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 30 -- 31

15th Jun, 2025 Views 20

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 30
,, bi mkubwa na bi mdogo walikuwa wanaingiliwa kinyume na maumbile na Mume wao, ila sio mara zote au sio nyuma tu hata mbele kwenye njia ya uzazi walikuwa wanaitumia pia ndio sababu walitafuta watoto,, binafsi Mahamood aliniingilia kinyume mara mbili tu yaan cku mbili tofauti ila kwa kiasi gani sijui coz alikuwa ananiwekea madawa maana nilikuwa sijitambui kabisa ila nikiamka ndio najikuta nimechafuka na maumivu makali

Bc alivyoniambia vile nikashikwa na butwaa, akaniambia Mamujee NAKUPENDA SANA , ww ni mwanamke ambaye nimekupenda mm mwenyewe, nilikuona nikakufata, sio kama sijawahi kuwa na wanawake wengine kabla yako? Nilikuwa nao wengi tu ila ww nimekupenda kutoka ndani ya moyo wangu, nikawaambia sasa kwann unaendelea kuwaingilia hao wake zako kinyume?? Akaniambia wao wenyewe wamezoea wanaona kawaida tu mhhhh nikaziacha hizo habari maana nilikuwa naona kama naumiza moyo wangu nikikumbuka alivyoniingilia na mm

Akaniuliza Mamujee mbona unafanya vitu vyako kimya kimya na hunishirikishi mm?? Mhhh nikashangaa nikamuuliza vitu gn? Akaniambia ww mwenyewe unajua ni vitu gn unavifanya,, nikamwambia niambie ni vitu gn bhana,, akaniambia mbona umejenga nyumba bila kunishirikisha?? Mhhh, nikamwambia kweli Kaka yangu alinipa hela kwa mara ya kwanza nilivyokutana nae ndio nikanunua kiwanja na kujibana ndio nikajenga, akasema wala sikulaumu kujenga,, ni vzr na una akili nzuri, tatizo kwa nn umenificha?? Nikamwambia nilitaka nije nikwambie, bc akanyamaza, kiufupi Mahamood ni mtu muelewa sana,, kuhusu uganga wake ulizidi kunipa mashaka sana, niliogopa sana, kiufupi siwapendi waganga wa kienyeji nawaona kama wachawi tu,

Maisha yaliendelea huku nipo bize na biashara yangu, Mahamood nae yupo bize na biashara zake,, akiwa huku Tz hafanyi uganga wake,, Mahamood alikaa sana Tz kama miezi minne iv, mzigo dukani kwangu ukapungua, nikamuagiza tena bi mkubwa akanitumia, mawasiliano yangu na bi mkubwa yalizidi kuongezeka, tukatoka kwenye uke wenza tukawa marafiki wakubwa tu, bi mdogo akazidi kumsumbua mumewe anataka taraka,, Mahamood akaniambia Mamujee ngoja niende kwa bi mdogo nikampe taraka yake nikamwambia sababu nn ya kumpa taraka?? Akasema sitaki kupangiwa maisha, mhhh nikayaacha km yalivyo,, wakati Mahamood anajiandaa kusafiri,, nilipatwa homa kali sana, nikapimwa nikagundulika mjamzito,, hapo mapacha wangu wana miaka miwili kama na nusu iv,,. Mahamood alifurahi mapenzi yakazidi kwangu,, akajisahau kabisa kama ana wanawake wengine,, safari ya kwa bi mdogo iliwadia akaondoka zake,, mimba ilinisumbua sana tofauti na mimba ya mapacha, nikawa mtu wa kulala ndani tu,, dukani ikanibidi niongeze mtu mwingine,, nashukuru Mungu nilipata watu waaminifu sana,,, bc Mahamood alifika kwa bi mdogo akamwambia umetaka taraka nimekuja kukupa, bi mdogo akaanza kulia akimlaumu Mahamood kuwa yeye ndio chanzo cha yeye kuomba taraka,, hata ivo hataki taraka bado anampenda mumewe , bc waliyazungumza wao wakasameheana ,, Mahamood alikuwa ananipa taarifa zote za huko,, bi mdogo akakubali Mamujee kuwa mke mwenzie na kuniachia cheo cha bi mdogo

Bi mdogo alinipigia cm tukaongea akanikaribisha nyumbani kwake kwanza then yeye ndio aje kwangu,, tuliongea vzr, ila kuhusu mimba yangu hakuwa anajua chochote

Kiufupi mm sikuwa na shida na yeyote yule wote nilikuwa nawaona sawa, Mahamood hakukaa sana kwa bi mdogo alikaa kama wiki tatu tu akarudi Tz,, akakaa kwangu hadi mimba yngu ikafika miezi sita,, ile hali ikamkasirisha bi mkubwa,, nikashangaa tu nikimpigia cm hapokei, nikimtumia msg hajibu kwa wakati,, sikumwambia Mahamood kama bi mkubwa hapokei cm zangu, nikaanza kupata nafuu kidogo kidogo,, nikaongea na Mahamood nikamwambia nipo sawa Sasa aende kwake,, Mahamood akawa hataki kabisa kuniacha,, nakumbuka siku hio karudi zake nyumbani vzr,, nikakaa nae chini nikaongea nae kwa hekima,, nikamwambia Mume wangu,, ukumbuke ww una wanawake watatu,, sio Mamujee peke yake,, Sasa hao wanawake wengine nao wanakuhitaji nenda kawape haki zao,, nilimbembeleza sana mwisho akakubali kwenda Dubai,, akaniambia ila hatokaa sana,, nikamwambia hapana nenda kakae na mkeo

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 31

Mahamood aliondoka zake kwenda kwake, nikabaki mwenyewe najiuguza huku nikisaidiwa na madada zangu wa kazi, hali yangu iliendelea vzr, ilipita kama wiki tangu Mahamood aondoke ila tulikuwa tunawasiliana mara kwa mara, nikashangaa napigiwa cm na bi mkubwa, nikajiuliza kulikoni tena? Maana yeye CM zangu alikuwa hapokei, nikapokea vzr nikamsalimia wala sikuwa na shida, akaniitia Mama wawili, eti ww mjamzito?? Nikawaambia ndio Dada, akaniambia sasa kwa nn umenificha?? Nikawaambia Dada nilimuachia Mahamood akwambie mwenyewe kwan hakukwambia?? Akaniambia wala hakuniambia,, Sasa kwa nn umenificha mdogo wangu?? Mm nakulaumu kwa kosa la kuruhusu Mume wetu akae kwako mda mrefu, kumbe upo na shida? Bc nisamehe sana mdogo wangu, sikujua kama mjamzito na inakusumbua kiasi hicho, nikawaambia Dada usijali, nisamehe na mm kwa kukosa kukwambia mapema, akaniambia Mamujee huyu mwanaume ni Mume wetu wote, ukiona anafanya kitu cha kumuonea mwingine inabidi uikemee hio hali, usiiache ikakomaa, tumekubali wote kuwa wake wenza, bc tupendane tuishi kwa kupendana, ungeniambia mapema kama ni mjamzito wala nisinge kulaumu,, bc tuliongea mengi na Dada tukasameheana,

Nilipigiwa cm na shangazi kunipa taarifa za msiba, yule mgonjwa mtoto wa Baba mdogo amefariki, nikampigia Kaka kumpa taarifa kumbe na yeye tyr amazipata, msiba utasafirishwa kupelekwa nyumbani Musoma, bc nikamwambia kaka hali yangu ya afya tukakubaliana Kaka ndio ataenda mm nipumzike, bc nikawa nipo tu nyumbani kwangu,. Shangazi akawa anapiga cm kama ugomvi, we Amamu kwann huji msibani? Maana msiba waliweka nyumbani kwake kwanza taratibu za kusafirishwa zikiendelea, nikamwambia shangazi mm naumwa, bc kama nilimchokoza, unaumwa? Kuumwa ndio kukufanye usije msibani?? Nyie watoto mnaringa sana, mnajiona mmefanikiwa ndio mmekuwa na dharau, Sasa itajulikana tu, kwanza nyie sio damu yetu ingekuwa damu yetu bc mngekuwa mnatusikiliza na kutuheshimu,, shangazi aliongea hadi alichoka,, cm ilivyokata nikampigia Kaka nikamueleza, Kaka akaniambia Mamujee tulia niachie mm, mm nakuja huko leo, nikawaambia mbona mda umeenda sana utaanza safari usiku? Akasema atakuja kwa ndege,. Bc nikamsubiri Kaka aje ili tujadiriane tunafanyaje, nikampigia cm Mume wangu kumpa taarifa za msiba, alinipa pole akaniambia atanitumia pesa ya mchango ila mm nisiende popote,,

Kaka alifika alikuja moja kwa moja nyumbani kwangu, tukakubaliana yeye ataenda hadi Musoma, bc nikamwambia awahi kwenda msibani maana shangazi asizidishe lawama zake, Kaka alienda, shangazi alipomuona Kaka akapumua maana alichanganyikiwa kuhusu msiba ila alitaka huzuni zake azilete kwangu, nikajulishwa kuhusu mchango, wakati huo Mahamood alikuwa tyr amenitumia na mm nikatuma mchango wangu, walisafirisha msiba hadi nyumbani, wakazika vzr, Kaka alinipigia na kunipa wazo la kuwajengea wazazi wetu makaburi nikamwambia kaka sawa, ngoja nikutumie hela, Kaka akaniambia ni vzr na ww utoe hela ili wazazi wetu huko walipo waone tunawathamini, bc nilimtumia Kaka hela na yeye akatoka yake tukawajengea wazazi wetu , makaburi ya wazazi wetu yapo karibu,, tulimshukuru Mungu kutupa uwezo na akili ya kuwakumbuka wazazi japokuwa wametangulia mbele za haki,,

Biashara yangu iliendelea vzr mauzo yakawa makubwa cjui Mahamood alifanya kitu gn jmn ila nikazidi kumshukuru Mungu, na watu niliowaweka dukani walikuwa waaminifu kwa kiasi furani

Mimba yangu ilipofika miezi 8 hapo bado Mahamood yupo Dubai, Mahamood alinipigia cm akaniambia bi mkubwa anakuja kwangu kunihudumia hadi nijifungue, nikashukuru nikamwambia sawa, bc bi mkubwa nae akaniambia kuhusu safari yake, ila ananifungia mizigo kabisa anaanza kuusafirisha, bc tukakubaliana ivo,, kweli nilipokea mzigo wangu, wiki iliyofata bi mkubwa akaingia Tz, nilienda kumpokea airport na mimba yangu, aisee bi mkubwa alifurahi kuniona mie mjamzito, tulikumbatiana pale safari ya nyumbani ikaanza tuliongea mengi maana bi mkubwa hakutaka kabisa kulala chumba cha wageni tulilala pamoja, mtoto tumboni akicheza bc anashika tumbo langu anafurahi mwenyewe ananiambia cku akipata mimba bc Dubai nzima itajua ilikuwa raha sana bi mkubwa alivyo kuja kwangu, akanipa wazo la biashara lingine, akaniambia Mama wawili, iv unaonaje hapa kwako ukajenga fremu? Then ukawa unauza vitu vya umeme kutoka Dubai?? TV, friji, brenda NK? Nikawaambia Dada wazo zuri, akaniambia bc lifanyie kazi, hata sikuchelewa nikawaita mafundi wakaanza kunijengea fremu

Itaendelea

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 32
Wakati fremu inaendelea kujengwa mimi na bi mkubwa tukikuwa tunaishi kwa furaha nyumbani, mara nyingi yeye alikuwa ananipikia mimi napumzika lakini alishirikiana na wadada wa kazi kwa sababu waarabu kidogo vyakula vyao tofauti na vya kibongo hivyo alipenda kupika ili naye ale vizuri
Basi nikawa nafurahi, narelax nakaa tu, mara kwa mara nilikuwa naisimamia kikamilifu fremu yangu wakati mafundi wakiwa wanaijenga, huku nikiendelea kufanya biashara zangu taratibu
Nikiwa nimekaa nyumbani nikapokea simu ya kaka akaniambia, shangazi anataka kukuletea mtu aje kukaa hapo akusaidie majukumu nikamuambia mimi nina watu wamenizunguka sina shida ya mtu wa kunisaidia majukumu
Akasema kaa makini sana na huyo shangazi sijui anataka nini kwako, punguza upole akija mfukuze kama mbwa yule mama anaamini sana mambo ya kishirikina nikamuambia sawa sitampokea. Sawa
Siku mbili nimekaa tu nawaza na nishasahau kuhusu shangazi yangu ndo nashangaa dada mmoja wa kazi anaingia na begi kubwa analiendesha, nikaguna mhhhh ma kumuuliza Mahamood amerudi? Kabla hajanijibu ndipo nikaona Roby anaingia na miguu yake yenye vikuku kavaa kijora halafu akanisalimu kwema? Nikasema kwema halafu nikafuatia swali, vipi kuna nini mbona umekuja na mabegi
Akaketi kisha akasema mama yangu kaniambia nije niishi hapa kwa kipindi hiki ana hali mbaya ya uchumi hivyo nikae nikusaidie huku na nyie mnipe hata chakula
Shangazi ndo kakutuma? Roby akaniangalia juu mpaka chini akasema ndiyo hutaki au halafu akainuka na kwenda chumbani akaniacha mimi nimeduwaa
NAAAM HUU NDIO MWISHO WA SEASON ONW
SEASON TWO INAPATIKANA WHATSAPP KWA SH 1000
NJOO UIMALIZE LEO
NAMBA NI 0743433005 YAANI (+255743433005).
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 30 -- 31 https://gonga94.com/semajambo/mwarabu-huko-mi-sijazoea-30-31 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 37

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 36

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

Obi's Pain Chapter 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 02.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DEAR DOCTOR 01

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MPANGAJI ... 01

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 01

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

Obi's Pain Chapter 1

mjukuu rewards 100 Comments 1
 

MSHANGAZI EPISODE 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MSHANGAZI EPISODE 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

YAMENIKUTA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 9

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINSI YA KUTUNZA UKE

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

PART 5 MY HEART

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest